Mke wangu hampendi mtoto wangu niliyempata kabla ya ndoa

Kumbuka kuna waliobakwa na waliokimbiwa na waume au wake zao na kuachiwa watoto.

Siungi mkono kwa wanaozaa nje ya ndoa wakiwa ndani ya ndoa
Kubakwa huwa ni rare case pia kukimbiwa na mume sio excuse ya kutafta mserereko na kuacha watoto wateseke maisha huwa ni vita Kali sana, ka mtu ulizaa jiandae kwa lolote lazima tuwe na huruma na tufikirie vyema watoto na kuja na mbinu za kuwalea vizuri kuepusha abuse, na watoto kuharibikiwa kiakili, sikuhizi watu hawana ndoa wao ni kuzaa tu vile Wana mayai bila kufikiria ulezi.
 
Mtu anajijua hayupo tayari kulea halafu wanatiana mimba

Hivi hii nayo ni hoja ya kujitetea kwani!
Yani St Anne Hawa wanaume wao kila mwanamke akimtani ana mwambia nizalie na wengine hawajaoa ila wametia mimba mabinti zaidi ya kumi then akikuoa mwanaume anakukusanyia ka shule uwalee na haya maisha yalivo magumu hivi , na watoto wote mtawapa kweli huduma za msingi kama ada na shule nzuri.
Pia Kuna wanawake na wao wakishaona mwanaume yuko vizuri kipato na ana vitz wanategesha mimba Ili wapate child support then hao wakizaa wanategemea mwanamke mwingine eti awasaidie kulea huyo mtoto kilazima na akigoma eti roho mbaya anayo
 
Kila mtu apambane na zigo lake.

Nashangaa watu wanalialia humu, wanatafuta sympathy kisa makosa yao wenyewe! ..
Watazidi kupambana na hali zao,,,mtu akitaka fairness hapa duniani basi ajiheshimu asitotoe hovyo.
 
Pia nakerwa sana na wanaume wenzangu wanaozaa nje ya ndoa zao! Au wanawake wanaozaa nje ya ndoa zao! Maana mke wako anazaa watoto,huko nje unafata nini?? Bora upige na kifungashio! Kuzaa nje ya ndoa kwanza unaleta shida tu kwenye familia yako,pia unaweza leta maradhi bure ndani ya ndoa yako! JamiiForums mobile app
Sikuhizi watu kuzaa nje hata hawajali hicho kitu mwishowe ndio kuleta migogoro na kuleta shida kwenye ulezi wa watoto maana inakuwa kufichwa fichwa tu kwa watoto
 
Kila mtu apambane na zigo lake.

Nashangaa watu wanalialia humu, wanatafuta sympathy kisa makosa yao wenyewe! ..
Watazidi kupambana na hali zao,,,mtu akitaka fairness hapa duniani basi ajiheshimu asitotoe hovyo.
Ni kweli kila mtu tu apambane na Hali yake ya maisha na asitafte lawama kwa watu wengine kisa starehe aliyoi fanya tena, wanaume wao huwa hawajali kazi Yao kuchojoa tu zip then baadae Wana force mambo sijui ya upendo.
Maisha yenyewe magumu kila kitu kimepanda ukimpata mpenzi badala mu enjoy mnaletewa agenda nyingine woooi
 
Yes I will teach hata nikiondoka mapema they will survive coz spirit inside me itakuwa juu Yao kama Mimi Nili survive at my age with minimal supervision and I am old enough mpaka Leo so sioni hyo ka ni good excuse ya kutetea watu wasio take full responsibility for their actions.
Pia Mimi ka mama I have to protect my genes by any means ensuring their wellbeing by creating good evironment ya wanangu by any means, wa nje kwangu ni intruders for the future of my own kid's survival loh, halafu hyo ya future ya wanangu naongelea kwangu au kwa wamama wanaowekeza vitega uchumi na wanaofanya kazi na biashara na sio kutegemea Cha mumewe sikuhizi hamna kitu ka hicho Cha kuwa goalkeeper tu, so I work hard and I have invested heavily to different properties in town yet huyo mtoto wa mama mwingine hajagi kutoa lolote hata nguo za mwanawe yet aje kupata sawa na wanangu vitu nilivojiandaa huku yeye alikuwa na mambo yake Mimi niache tu kimya na kujifanya eti mwema?
Tena huyo mtoto baba hayupo wataungana na mama yake kuleta chaos kwa watoto wangu nivumilie tu, it's not bad to fight for the future of own eggs or na sio dhambi kabisa jamani na sio roho mbaya ooh.
N. B hii case ni Kwa watu walio hai tu na wanaotekeleza watoto na kuachia baba au mama kulea, maisha ni Kwa walio hai so msije hapa na excuse sijui mtu kafa na blah blah nyingi za kutafta huruma za ulezi
😂😂 you dont even know where your spirit will be after death let alone ability to guide your kids after death.

...Mimi sitetei wanaozaa nje wakiwa ndani ya ndoa.

...Natetea waliokuwa na watoto kabla ya ndoa maana baadhi yao (sio wote) walizungukwa na mazingira ya bahati mbaya sana.

Roho ya ubinafsi ni zao la shetani,sisi watu weusi hali hii tunayo sana...na hili linaonekana sana kwako na habari ya 'fighting for my eggs'

Tuache roho mbaya na ya ubinafsi.Wenzetu wazungu wanabarikiwa sana kimaisha kwa kuwa focus yao ya kusaidia ni beyond 'eggs',siblings and the like primitive ideas. Wenzetu wana vision kubwa zaidi wanafocus kusaidia communities and the world at large(eg.Madonna na Angelina Jolie wanalea zaidi ya watoto 10 wasio wao tena wengine ni blacks na wanaishi nao na wamewaingiza ktk urithi wao)...na hii ndio tabia ya kufanana na Mungu,maana Mungu anaruhusu mwanga wa jua kwa kila binadam wema kwa wabaya na sio wema pekee.BE A BLESSING TO THE WORLD AND NOT JUST YOUR FAMILY...it is selfishness and satanic .

...Think beyond the box,and stop being narrow minded person as to be a selfish mother with no legacy when you die.
 
Msimamo wangu na ninachoamini why ukiite ubinafsi don't personalize my standing in this issue na ku ita eti roho mbaya, kwanza roho mbaya inategemea mtu unavoamini Kwa Dunia ya ubepari hamnaga kitu Cha roho mbaya ukiwa hata maskini tu lazima uwe exploited, so msimamo wangu usihusishe na roho mbaya Kwa hichi ninachoamini maana ka matendo mema natenda mengi tu na haihusiani na ninachosimamia so don't quote mi wrong in this threads sio wewe tu na single father mnaoza hovyo watoto na kutaka wengine wabebe misalaba yenu.
Maandiko yenyewe yaandika kila mtu atabeba msalaba wake Sasa why ubebe yasiyo kuhusu hizi mentality zenu ndio zinazofanya watoto wateseke wengine machokoraa tuwe responsible na actions zetu ukipanda mahindi usitegee kuvuna njegere never, wewe mwenyewe tu hapo kukosa malezi ya wazazi halisi ukawa chokoraa na jela ukaenda vizuri ka sio waliotuzaa walizembea nini?
You are daaaamn wrong,,tunaishi kwa word ambayo iko structured my dear,, social value structure our f*cking society,, hata hierarchy iko socially constructed,

By nature man ni aggressive from the genes (xsome number 27 if i am not mistaken), so just because we're aggressive doesn't mean we can move around and fight with anyone or rape,, bloody NO., Following the structure of the society haiepukiki maybe kama u are a tyrant.

A mom should feel the pain of a person,, hata kama hajamzaa yeye

But unfortunately miss we can't put ya kwa that category ya being a mom,,, but waweza kuwa a mother, that's what you are

In our society what u stand for ni morally wrong,, no one can change that,, misimamo yako ikipingana na ya Society hyo ni chaos tayari

U want your ideology itumike! Right? Nenda katengeneze your own society au deconstruct hii structure tuliyonayo now, then rebuilt yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_20211204-134559.jpg

Zamaradi Mketema

Screenshot_20211204-201127.jpg

Sebastian Ndege
 
Mimi siishi kwa wrong perception za society ambazo huwa zimepitwa na wakati I live in my own world, free like molecules in H2O and I enjoy it, sifungwi na jambo lolote kile, kitu unachokiamini I don't believe it, hasa hyo ya pain za uzembe ni I don't care kabisa, life is to short to stress myself minding people's busineses jamani woooi
 
Watu mliozaa kwanini huwa mnapenda ku force watoto wenu wapendwe na wengine kilazima hasa ukichukulia mitoto yenyewe huwa mikorofi imeathiriwa na ugomvi wenu wa mahusiano yali yovunjika na ni watoto wasio pendeka hata ufanyeje wataona huyu sio mama yetu.

Kuku tu mwenyewe huwa anakimbiza vifaranga visivo mhusu sembuse binadamu, na kama kweli ulikuwa na upendo why haukupatana na uliyezaa naye mkamlea mwanenu yeye aligoma then una force mtoto apendwe na mpenzi wako mpya.

Mpenzi wako kaja kwako ku enjoy mahusiano na sio kuhangaika na mtoto asiye mhusu
Mawazo ya kizazi cha sneki yaani unampendaje mtu umchukie yule anaempenda yeye? Alooh kuna watu mna roho kama ina kipande cha chuma ndani
 
Wengine humu wanashauri eti kumpeleka mtoto akalelewe na bibi,huku ni sawa na kumtupa mtoto.

Upungukiwi kitu kulea mtoto usiemzaa,KUMBUKA UKIFA LEO WATOTO WAKO WATAFANYIWA KAMA ULIVYOWAFANYIA WATOTO WA WENZAKO
Fact na ni kwa matured tu ndio wenye kulielewa hili
 
Watu hawataki ukweli kulea mtoto asio wako ni kazi mno,na hawapendeki hata ukiwa mwema lazima ulaumiwe na hasa mtoto ukute huenda kwa mamake na kulishwa sumu kuwa huyo ni mubaya utalea vipi. Mama wa kambo hupata shida bado na lawama na wakikua wanakutenga.
Kulea mwana asiye wako ni shughuli hata mapenzi hayanogi bana
Sema una roho mbaya sana! Wapo wenye upendo wa kweli, kama wewe huwezi usisemee mioyoyo ya watu! Kuna watu wamelelewa na mama wa kambo kwa mapenzi mazuri mno. Baki na roho mbaya yako, usiambukize watu wengine. , Kwan ukimpenda utapungukiwa nini!
Kma umeolewa na una watoto, umejaribu kupiga hesabu, ukifa sasa ivi ni nani atakaa na watoto wako????? Hao watoto sio wote unakuta baba zao wameachana na mama zao, kuna vifo, we unafikiri unadumu milele, au una guarantee utamaliza malezi ya watoto, had wajitegemee!!! hata vitabu vya dini vinasisitiza kumpenda jirani yako kama unavyojipenda!
 
Jibuni hoja yangu msikimbilie roho mbaya hivi unazaaje mtoto then utegemee asiye mamake akulelee, watu acheni uzembe Dunia ya Sasa ni ubepari sio kuzaa kutegemea huruma za wasio mama kulea starehe zenu na mtu asije kusema wengine mbona wanafanya hivi hao hawana kazi za kufanya.
Acheni zinaa zenu zinazo gharimu watoto wenu mxieeeew zenu kweli
 
Usingizie vifo hyo inajulikana hapa tunaongelea walio hai na tatizo linalokua daily nyie mnasingizia roho mbaya kweli?
 
Na wewe acha tamaa zako zinazogharimu utu wako!

Hela unapokea then mtoto hutaki kupokea! Hakuna mapenzi hapo maana kama utashindwa kumpokea na kumpenda mtt mdogo asie na hatia,mtu mzima mwenye hatia kibao utamuweza? Mapenzi ya kufuata hela hatuyataki.

Ni heri mtt abaki maana ni kwangu ndio nyumbani kwake na ni ndugu na damu yangu ila wewe uondoke tu maana una kwenu...kwa baba yako.
 
Usingizie vifo hyo inajulikana hapa tunaongelea walio hai na tatizo linalokua daily nyie mnasingizia roho mbaya kweli?
Kwa nini azae nje tuanzie hapo?

Kwa nini anazini nje na wewe mkewe upo?

Tibu mapungufu yako ktk ndoa yako,vinginevyo utaletewa watt tu hakuna namna,tatizo limeanzia kwako.
 
Wanawake ni viumbe wabinafsi sana,wao humtazama mtoto kama mke mwenza yaani wanakuwa kama wanamuona mwanamke uliyezaa naye na siyo mtoto kama mtoto.
Wivu wao ndiyo hupelekea chuki.
Wanaume wachache mno wanaonyanyasa watoto wa wake zao.
 
Sasa unachokosea ni kumlazimisha mtu kuwa na hisia kama zako. Usitumie kipimo cha yeye kutokumkubali mtoto wako kama kipimo sahihi cha mapenzi kwako.

Huyo mwanamke hakuja hapo kumsaidia mwanamke mwenzake kulea mtoto amekuja kujenga familia mpya na wewe. Yaani mpate watoto wenu. Hiyo kulea mtoto wa mke mwingine ni ziada au bonus tu.

Sasa fanya hivi hebu kwanza acha kumlazimisha yeye kumkubali mtoto wako. Mchukue huyo mtoto mpeleke kwa mama yako mzazi au ndugu yako wa damu au mpeleke kwa upande wa mama yake mzazi akatulie kwa muda huko ukiendelea kumlea.

Tenga muda kila baada ya muda fulani mfano kila baada ya wiki mbili au kila weekend mtoto awe anakuja na akifika wewe ndie uwe busy nae kumhudumia. Ila usiache kutoa attention kwa mkeo unapokuwa na mtoto.

Watoe out pamoja mtoto na mkeo kisha jenga mazingira ya mkeo na mtoto wasomane tabia na kubond taratibu. Hii acha ichukue muda hata kama ni miaka. Mtoto na mkeo watazoeana taratibu hadi ipo siku utasikia mkeo anamuulizia mbona fulani haujamleta wiki hii.

Usipende kumpa mwenzako "emotional pressure" sababu ya namna wewe unataka iwe.Unapomleta mtoto wako wa nje kwa mkeo ni kama kumtangazia vita sababu anajua huyo mtoto ana mama yake ambae ni mzazi mwenzio so mtoto anaweza waleta karibu, lakini kuna maswala ya mali katika ndoa huwa mwanamke anakuwa na hofu kuwa mali anayochuma na wewe mwanamke wa nje yaani mama mtoto anaweza jimilikisha kupitia huyo mtoto kama akikubali awe sehemu ya familia. So kuna mambo mengi ambayo yanakuwa yanampelekesha anashindwa kuwa sawa kifikra ndo maana unaona anaamua kumind mtoto.

So don't take personal na ukahisi kwa haraka haraka kuwa mkeo ni mtu mbaya kwako.
Sisi tumelelewa kuishi na watu,bila kujali ni ndugu yako au laa
Nimeanza kuishi na watu(siyo ndugu) hata kabla sijaoa.
Swali langu ni Je kuna ugumu gani kuishi na mtu mwingine achilia mbali mtoto wa mumeo/mkeo?basi watu tunatofautiana sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom