Mke wangu hajarudi hadi sasa hivi

Mke wangu hajarudi hadi sasa hivi

Mkuu piga kimya wala usimtafute mana ni mtu mzima mwenye akili timamu we mkaushie. Hata kama akirudi home usimulize kitu chochote, busara itunike
 
Si ulimtolea mahari mkuu? Sasa kwa kaka amefuata nini wakati ulishamtoa huko... Angekuwa na akilibangeenda kwa wakwe zake... I bet hayupo kwa kaka
 
Huu niuzi wa ukweli.

Mkewangu Jana tulikwazana na msababishi ni yeye Tena alinikwaza kwelikweli.

Basi asbuhi kaamuka nakutokomea kusikojulikana , nimejaribu kumpigia simu bila mafanikio ,hakuweza kujibu Wala kupokea jumbe.

Hadi saivi hajaja nyumbani nimeambiwa tu yupo kwa Kaka yake nahuyo Kaka yake hatujawai kumuona asee naandika hapa Ila nashindwa ninahasira. Sijui nifanyeje je.

Amini Mungu ana mume wake wa pili
 
Fanya mambo haya Ngosha.


USIMPIGIE SIMU WALA USIMTUMIE MESEJI.

USIWAJULISHE NDUGU ZAKE, AU RAFIKI.

USIANGAIKE KUJUA YUKO WAPI KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE



PAKI VITU VYAKE .


SIKU AKIJA ,MWAMBIE VITU VYAKO HIVO HAPO, RUDI ULIPOKUA.
Hata mm ningefanya hivyo na hayo ndio maamuzi sahihi unless nijiridhishe tofauti na uhalisia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mke wako ninae mkuu, tumepanga kuenjoy nae wiki hili lote la burudani[emoji16] ikiwezekana mpaka pasaka. Ila ulikuwa unafaidi mkuu.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Nilishaacha wanawake wawili kwa tukio na kisa km chako tena mimi walikuwa mahawala tu. Mmoja aliondoka na kuniambia naenda Muhimbili sijui kuona mgonjwa lakini mavazi aliyovaa hayakuwa ya kwenda muhimbili. Ikafika muda wa kurudi akanitumia msg kuwa hawezi kurudi analala na mgonjwa. Nikamjibu akae tu mpaka mgonjwa hapone ndio arudi nikakusanya vitu vyake alivyorudi tu nikampatia na tukamalizana. Mwanamke mwenye hekima na busara na aliyelelewa vyema hawezi kulala nje ya nyumba yake bila makubaliano. HUYO SIO TENA MWANAMKE fukuza najua itakuuma ila utapona na utapata mtu mwema zaidi ya huyo kibaka. Au kaenda kwenye project ya Erick Omondi. FUKUZA HUYU HAFAI.
 
tunaanza na jina umeandika MusuKuma hio K katikati ya sentensi mbona herufi kubwa.. maana yake umeanza neno jipya.. anyway umeleta mashtaka jamii forum sisi kama nani.. ebu toka hapa kamtafute mkeo..
 
Usiogope, mke yuko mahala salama kwa kaka yake wa kiroho hapa 😸!!!

Tuko katika maombi maalum tumealika uwepo wa roho mtakatifu hapa "MTIRU LODGE" ili aweze kuiponya ndoa yenu. Usihofu ni maombi ya kitumishi ya muda tu. Baadae atarejea nyumbani ila usimpige tena mwenzio.

Shalom!
Akitoka kwako kwenye maombi apitie kwangu kuchukua MAFUTA na MAJI ya upako,itachukua Lisaa tu kumhudumia ili akifika amwage mlangoni ndio aingie.
 
Huu niuzi wa ukweli.

Mkewangu Jana tulikwazana na msababishi ni yeye Tena alinikwaza kwelikweli.

Basi asbuhi kaamuka nakutokomea kusikojulikana , nimejaribu kumpigia simu bila mafanikio ,hakuweza kujibu Wala kupokea jumbe.

Hadi saivi hajaja nyumbani nimeambiwa tu yupo kwa Kaka yake nahuyo Kaka yake hatujawai kumuona asee naandika hapa Ila nashindwa ninahasira. Sijui nifanyeje je.
usisahau kuleta mrejesho
 
Sikia mwanangu msu-"**** "

We si umemkosea sasa mkeo yupo kwenye kifua cha kaka yake wa hiyari anabembelezwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom