Mke wangu hajarudi hadi sasa hivi

Mke wangu hajarudi hadi sasa hivi

Pole sana, atarudi ila ndo hivyo tena atakuwa anarudi kutoka kwa kaka.
Wanawake wenye akili na wanaowajali waume zao na wasiotaka ndoa ivunjike huwa wanakimbilia kwa wakwe sio kwa kaka. Ss huyu wako itakuwa kaamua kufanya anayofanya.
Hii ndio njia sahihi.
 
Duh..toa taarifa kwao ita mashahidi kwao ,mwite mtendaji na mwenyekiti wa mtaa wasbuhudie upo pekr yako..piga hesabu zikipita siku tatu wewe mpandishe cheo...maisha ni hayahaya usiumize kichwa sana
Ila kuwa makini sasa maana unaweza uliwa hawa viumbe siku hizi hawatabiriki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom