Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,313
- 46,825
bila kusahau micrometer screw gauge..Vernier Caliper itahusika [emoji3]
bila kusahau micrometer screw gauge..Vernier Caliper itahusika [emoji3]
Cheka tu mama maisha yenyewe ndo haya haya😁😁Hahaha we kiboko, eti kitakachofuata ITV, nimecheka hadi basi
Kama ulivyosema, kuna mahali mwamba aliteleza na ameshindwa kusimama kwenye nafasi yakee matokeo yake mke anajiamulia tu anavyotaka
Anatakiwa kunrudisha kwenye mstari kwa sheria ngumu, na kama hataki kutii basi arudi kwa kaka yake
Mimi nipo salama kabisa, i missed you dear habari za wewe
Yeah huyo kaka atakua mcheuko lazimaCheka tu mama maisha yenyewe ndo haya haya😁😁
Inaonekana mwanamke ameshajua udhaifu wa jamaa wa kutokutumia uanaume wake kumnyoosha ndo mana ameamua kumchezea makida makida na mume kuja kuomba ushauri huku badala ya kunyoosha bibie.
Wanawake hatuhitaji mazoea ya kupitiliza.
🤣🤣🤣eti kama hataki arudi kwa kaka yake.😅😅kakamchepuko 🤔🤔🤔
Mimi niko mzima kabisa namshukuru Mungu kwa zawadi ya uzima na afya dear..
MzeeHuu niuzi wa ukweli.
Mkewangu Jana tulikwazana na msababishi ni yeye Tena alinikwaza kwelikweli.
Basi asbuhi kaamuka nakutokomea kusikojulikana , nimejaribu kumpigia simu bila mafanikio ,hakuweza kujibu Wala kupokea jumbe.
Hadi saivi hajaja nyumbani nimeambiwa tu yupo kwa Kaka yake nahuyo Kaka yake hatujawai kumuona asee naandika hapa Ila nashindwa nina hasira.
Sijui nifanyeje
Lazimaaa...Yeah huyo kaka atakua mcheuko lazima
Nafurahi upo salama mamii, nikutakie weekend njema kabisa
Kula like mkuu enye ukomavu mkubwaFanya mambo haya Ngosha.
USIMPIGIE SIMU WALA USIMTUMIE MESEJI.
USIWAJULISHE NDUGU ZAKE, AU RAFIKI.
USIANGAIKE KUJUA YUKO WAPI KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE
PAKI VITU VYAKE .
SIKU AKIJA ,MWAMBIE VITU VYAKO HIVO HAPO, RUDI ULIPOKUA.
Hahaaah! Ukiwa na hii mindset hakuna boya atakuzinguaFanya mambo haya Ngosha.
USIMPIGIE SIMU WALA USIMTUMIE MESEJI.
USIWAJULISHE NDUGU ZAKE, AU RAFIKI.
USIANGAIKE KUJUA YUKO WAPI KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE
PAKI VITU VYAKE .
SIKU AKIJA ,MWAMBIE VITU VYAKO HIVO HAPO, RUDI ULIPOKUA.
Upuuzi huu!Hama nyumba kaanze maisha kwengine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna mwanaume wa Kisukuma wa hivi. Huyu likely ni wa huko Dar au pwani [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1724059
🙏Lazimaaa...
Asante Mamii na kwako pia uendelee kuwa salama wewe na familia🥰🥰❣️❣️
Huwezi kufanya lolote kwa kuwa bado una hasira, zitulize kwanza hasira ndiyo utapata majibuHuu niuzi wa ukweli.