Kama umekolea haswa maushauri ya wadau yahitaji uwe na spare ya moyo mwingine,ndio utaweza yatimiza kwa vitendo,ila kama kweli una hasira na kakukera kosa linalohusiana
au linaloendana endana na "usaliti" braza njoo nkuazime huu moyo wangu,Achana na hiyo kiumbe,ila kama ni kosa lingine halina uhusiano wala kuendana na mambo ya "usaliti" ninachokushauri ni "kausha"
punguza jazba (japo sjui hata mimi kama ningeweza),nawewe tia nyumba Kufuli kakae hata wiki 1 hotel toka home,nenda kazini ukirudi unarud hotel utakuta umeandaliwa msosi asubuhi/mchana/jioni (just a week) kaa huko huko.
Nyumbani ukiondoka badilisha kitasa,badlisha kufuli la gril (kama lipo) weka heavy duty padlock,kisha sepa hapo home nawewe si lazima uende hotel kama huna hela,nenda tafuta hata cheap lodge au close friend kakae kwake (in just a week) hii wiki 1
nakushauri uondoke mazingira ya home kwako ili akili imsahau,usione chochote kinacho ku connect na yeye,huku pia ukiendelea na mishe zako za kila siku,kuzidi kukaa hapo nyumbani huku unaona vichupi vyake/nguo zake/sahani yake anayoliaga chakula sana
dressing table ina makorokoro yake aseee unaweza jikuta unaongea na zile nguo zake ukihisi ni yeye,so Kwasasa Clean up your mind ondoka hapo home kwa muda,na yeye akirudi kutoka alipokua atakutana na mkufuli mmoja matata sana mlangoni Akili itamkaa sawa
atawaza mambo mengi sana labda umeenda jiua,yani atawaza kila anachojua,atakupgia simu "usipokee" na wewe usirudi home mpk wiki ikate ili nayeye huku nyuma akirudi akukose atie adabu.
ila Kama ugomvi wenu una connect dot's na ishu za usaliti usaliti,wewe Jiweke pembeni tu mapema kausha MPOTEZEE IN CAPITAL LETTERS...sema kuachana na mpenzi uliempenda sazngine hta ukijua sio mwamnifu yahtaji moyo sheheeeee..
Kosa linaloendana na usaliti kusamehe yahtaji uwe umekwiva kiroho na sio kimwili.