mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,337
- 57,160
[emoji16][emoji16][emoji16].yupo kwa mwenzio
Hata miki hii naikubali.Fanya mambo haya Ngosha.
USIMPIGIE SIMU WALA USIMTUMIE MESEJI.
USIWAJULISHE NDUGU ZAKE, AU RAFIKI.
USIANGAIKE KUJUA YUKO WAPI KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE
PAKI VITU VYAKE .
SIKU AKIJA ,MWAMBIE VITU VYAKO HIVO HAPO, RUDI ULIPOKUA.
Hahahaaa. Watu wengine duu.Usiogope, mke yuko mahala salama kwa kaka yake wa kiroho hapa [emoji75]!!!
Tuko katika maombi maalum tumealika uwepo wa roho mtakatifu hapa "MTIRU LODGE" ili aweze kuiponya ndoa yenu. Usihofu ni maombi ya kitumishi ya muda tu. Baadae atarejea nyumbani ila usimpige tena mwenzio.
Shalom!
Huu niuzi wa ukweli.
Mkewangu Jana tulikwazana na msababishi ni yeye Tena alinikwaza kwelikweli.
Basi asbuhi kaamuka nakutokomea kusikojulikana , nimejaribu kumpigia simu bila mafanikio ,hakuweza kujibu Wala kupokea jumbe.
Hadi saivi hajaja nyumbani nimeambiwa tu yupo kwa Kaka yake nahuyo Kaka yake hatujawai kumuona asee naandika hapa Ila nashindwa ninahasira. Sijui nifanyeje je.
anakata kiuno kama hatokata tena milele,anapelekewa moto tuHuko alipo hasira zake zote amezihamishia kiunoni.
Ila hawa watu wanaoanzishaga nyuzi humu halafu wanatuacha hewani hawaleti mrejesho mi wananiudhi sana. Watu hatuwezi kufanya shughuli zetu tumekaa tu tunasubiria.....!🙄amerudi?
usikute tunampa ushauri hapa alafu ni stori ya kutungaIla hawa watu wanaoanzishaga nyuzi humu halafu wanatuacha hewani hawaleti mrejesho mi wananiudhi sana. Watu hatuwezi kufanya shughuli zetu tumekaa tu tunasubiria.....!🙄
Yaani kakukwaza alafu kaondoka yeye? Huyo ana eneo lingine.Huu niuzi wa ukweli.
Mkewangu Jana tulikwazana na msababishi ni yeye Tena alinikwaza kwelikweli.
Basi asbuhi kaamuka nakutokomea kusikojulikana , nimejaribu kumpigia simu bila mafanikio ,hakuweza kujibu Wala kupokea jumbe.
Hadi saivi hajaja nyumbani nimeambiwa tu yupo kwa Kaka yake nahuyo Kaka yake hatujawai kumuona asee naandika hapa Ila nashindwa ninahasira. Sijui nifanyeje je.
Vernier Caliper itahusika 😀Mkuu,
Akirudi kagua matundu yote, uhakikishe "radius na diameter" ziko vile vile kama zilivyokua kabla hajaondoka.
Kabisa, apime kwa usahihi wote....Vernier Caliper itahusika 😀
Chapa kaziHuu niuzi wa ukweli.
Mkewangu Jana tulikwazana na msababishi ni yeye Tena alinikwaza kwelikweli.
Basi asbuhi kaamuka nakutokomea kusikojulikana , nimejaribu kumpigia simu bila mafanikio ,hakuweza kujibu Wala kupokea jumbe.
Hadi saivi hajaja nyumbani nimeambiwa tu yupo kwa Kaka yake nahuyo Kaka yake hatujawai kumuona asee naandika hapa Ila nashindwa nina hasira.
Sijui nifanyeje