Huu niuzi wa ukweli.
Mkewangu Jana tulikwazana na msababishi ni yeye Tena alinikwaza kwelikweli.
Basi asbuhi kaamuka nakutokomea kusikojulikana , nimejaribu kumpigia simu bila mafanikio ,hakuweza kujibu Wala kupokea jumbe.
Hadi saivi hajaja nyumbani nimeambiwa tu yupo kwa Kaka yake nahuyo Kaka yake hatujawai kumuona asee naandika hapa Ila nashindwa ninahasira. Sijui nifanyeje je.
Bado kaamukaaaHuu niuzi wa ukweli.

Hakuna mwanaume wa Kisukuma wa hivi. Huyu likely ni wa huko Dar au pwani [emoji2099][emoji2099][emoji2099]Pole musukuma
Huu niuzi wa ukweli.
Mkewangu Jana tulikwazana na msababishi ni yeye Tena alinikwaza kwelikweli.
Basi asbuhi kaamuka nakutokomea kusikojulikana , nimejaribu kumpigia simu bila mafanikio ,hakuweza kujibu Wala kupokea jumbe.
Hadi saivi hajaja nyumbani nimeambiwa tu yupo kwa Kaka yake nahuyo Kaka yake hatujawai kumuona asee naandika hapa Ila nashindwa ninahasira. Sijui nifanyeje je.
Usiogope, mke yuko mahala salama kwa kaka yake wa kiroho hapa 😸!!!Huu niuzi wa ukweli.
Mkewangu Jana tulikwazana na msababishi ni yeye Tena alinikwaza kwelikweli.
Basi asbuhi kaamuka nakutokomea kusikojulikana , nimejaribu kumpigia simu bila mafanikio ,hakuweza kujibu Wala kupokea jumbe.
Hadi saivi hajaja nyumbani nimeambiwa tu yupo kwa Kaka yake nahuyo Kaka yake hatujawai kumuona asee naandika hapa Ila nashindwa ninahasira. Sijui nifanyeje je.
Kaka kaka kwelHuu niuzi wa ukweli.

Mtafute bwana shemejiHuu niuzi wa ukweli.
Mkewangu Jana tulikwazana na msababishi ni yeye Tena alinikwaza kwelikweli.
Basi asbuhi kaamuka nakutokomea kusikojulikana , nimejaribu kumpigia simu bila mafanikio ,hakuweza kujibu Wala kupokea jumbe.
Hadi saivi hajaja nyumbani nimeambiwa tu yupo kwa Kaka yake nahuyo Kaka yake hatujawai kumuona asee naandika hapa Ila nashindwa ninahasira. Sijui nifanyeje je.
Abort the missionMan Down!
I repeat man down!
Delta 2 you copy code redMan Down!
I repeat man down!
Loh acha roho mbayaFanya mambo haya Ngosha.
USIMPIGIE SIMU WALA USIMTUMIE MESEJI.
USIWAJULISHE NDUGU ZAKE, AU RAFIKI.
USIANGAIKE KUJUA YUKO WAPI KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE
PAKI VITU VYAKE .
SIKU AKIJA ,MWAMBIE VITU VYAKO HIVO HAPO, RUDI ULIPOKUA.
Kama mkwe yuko kilomita 1000 toka alipo bado ende huko?,Pole sana, atarudi ila ndo hivyo tena atakuwa anarudi kutoka kwa kaka.
Wanawake wenye akili na wanaowajali waume zao na wasiotaka ndoa ivunjike huwa wanakimbilia kwa wakwe sio kwa kaka. Ss huyu wako itakuwa kaamua kufanya anayofanya.
Hivyo viganja havitakuwa na maslahi ni TLK tu, kwanza mimi hiyo ingekuwa teket yake,hakukuwa na sababu ya kuondoka.Umeambiwa na nani kwamba yupo kwa kaka yake?
Chunguza vizuri na hata akirudi muulize akuambie wapi alipokuwa, akijidai anakupanda kichwani mkate viganja kadhaa