Niko nasoma nje ya Tanzania huku nifanya kazi katika company fulani nikilipwa mshahara dollar 1,800 kwa mwezi,najigharamia mwenyewe masomo yangu kwa 50% nyingine ni sholarship na gharama nyingine za maisha.
Jamani mke wa namna hii nimfanyeje?
Niko nasoma nje ya Tanzania huku nifanya kazi katika company fulani nikilipwa mshahara dollar 1,800 kwa mwezi,najigharamia mwenyewe masomo yangu kwa 50% nyingine ni sholarship na gharama nyingine za maisha.
Sio siri mkuu.,kuna mwanaume anamchuna huyo mwanamke..tena inawezekana huyo jamaa ndo anamforce kukuomba pesa...TSHS Million 1.8 kwa mwezi ni pesa nyingi sana kwa maisha ya mtanzania.
Mkuu fanya uchunguzi wako taratibu tena kwa watu ambao unawaamini kuwa ni nini kipo nyuma ya pazia
Maana unaweza kuta anajenga kwao au anahonga wanaume na mtoto wako anaishi kwa shida
Kwa sababu kwa hali halisi yeye na mtoto tuu kutumia 1.8m ni issue sana kaka
Kuwa makini kabla ya kuchukua maamuzi yako kaka
Niko nasoma nje ya Tanzania huku nifanya kazi katika company fulani nikilipwa mshahara dollar 1,800 kwa mwezi,najigharamia mwenyewe masomo yangu kwa 50% nyingine ni sholarship na gharama nyingine za maisha.
Nimeacha mke na mtoto mmoja nyumbani.mke wangu najitahidi kumtumia dollar 1,000 kila mwezi.yeye anafanya kazi katika shirika fulani Tanzania na anapokea mshahara kiasi fulani mara zote analalamika pesa ninayomtumia haitoshi imagine juzi nimetuma kwa exchange rate ya Tanzania alipokea kama Tsh,1,800,000 bado ananipigia cim na kunigombeza pesa haitoshi kwenye matumizi yake ya maisha na mtoto sasa jamani huyu ni mke au mzigo?nimemweleza hari halisi ya maisha ya huku haelewi naishi kwa kujibana ili kile kinachopatikana tukiserve lakini wapi.nahisi kama nilikosea kwenye uchaguzi au anafanyia nini hiyo pesa ya kila mwezi au anaamua kunifanyia ushenzi tu.nimemwambia kuna watu wanalia mchana na usiku wanakosa bahati kama hiyo lakini haelewi.ila ninafikiria kumchukua mtoto wangu akalelewe na mama yangu mzazi au nimchukue nihishi naye ..nahisi huyu mwanamke nimzigo tena haubebeki..nasiyo kwamba kuna assets za ndani ananunua nyumba hiko full hadi usafiri nilimpatia wa kutumia.
Jamani mke wa namna hii nimfanyeje?
hehehe FA hili ndilo nililoliongelea kwenye post iliopita. Ughaibuni ukipigika unapigika mbaya sana hizo mentality ni vyema tukaziondosha. Na ukiwaambia jamaa warudi nyumbani pia ni kosa cuz ughaibuni wengi wao wanaishi kwa matumaini kwamba ipo siku watatoka, lakini nyumbani matumaini ziro.Unanikumbusha dada mmoja yeye mumewe yuko ughaibuni, anamtumia hardly dollar 100 (mia moja kwa mwezi). Akimwambia pesa hajatosha mwanaume ananuna!
Jamani mnaoishi ughaibuhi, siku hizi tunasema laki si pesa, maana ukipewa laki moja mwezi mzima mama na mtoto! Hivi mtu kama huyu akikutama na Jamii01 akawa anamtumia 500 kwa mwezi (assuming Jamii01 atakuwa kasave $500 na huyo bibi kagain $400 zakumtosha matumizi)
Enyi baadhi ya wanaume wa kitanzania muishio ughaibuni, acheni ubahili au unganeni na familia zenu. Mwanaume si suruali bali kulea familia na kuitosheleza.
Jamani inategemea na standard ya huyo mke. Si vema kutoa comment kwa mtu asiyejulikana hata ana historia gani na anafananaje. Its an evil to lower down our living standards...kama mme alianza na dola 2000, basi inabidi apandishe mpaka 2500 ili ndo isiwe ndoano
hehehe FA hili ndilo nililoliongelea kwenye post iliopita. Ughaibuni ukipigika unapigika mbaya sana hizo mentality ni vyema tukaziondosha. Na ukiwaambia jamaa warudi nyumbani pia ni kosa cuz ughaibuni wengi wao wanaishi kwa matumaini kwamba ipo siku watatoka, lakini nyumbani matumaini ziro.