Mke wangu bado anawasiliana na Ex wake

Mke wangu bado anawasiliana na Ex wake

KANYEGELO,

Pole sana mkuu, najaribu kuvaa viatu vyako na ninaona wakati mgumu ulionao nakusihi kua mvumilivu wa wasira. Nina mambo mawili nayotaka kunwambia.

1. Hebu fuata ushauri wa watu hasa watu wazima mfn wazazi na viongozi wa imani yako kwani naamini wameshakutana na case kama hzo na pasina shaka watakua na ushaur unaofaa.

2. Naomba uniruhusu kukulaumu mkuu, yani pamoja na thread zote hapa kutuadharisha kuoa SINGLE MOTHERS wewe hukusikia, huko mtaani kwenu najua ushahusiwa kua usioe mwanamke aliezalishwa labda kama aliezaa nae amekufa wewe hukusikia. Pole ila kujifanya unajua sana kupenda leo unakula jeuri yako.

Muwe mnaelewa mnapoambiwa single mother hafai kuolewa haya yako wapi ?! Kujifanya una phd ya kupenda na diploma ya ubishi yako wapi mkuu ?! All in all pole ila ndo ukome kujifanya mbishi
 
Na wewe wasiliana na Ma X girlfriends. wako kama unadhani itakupa amani.

Lakini pia, amua kupuuza upumbavu wake, usiuweke akilini, jiepushe kushishika simu ya mkeo, utagundua Kuna Bodaboda anamfumua Malinda.

Simu ya mke ni kifo iepuke na kuigopa kama ukoma, as long as hafanyi mbele yako, anakuhishimu, anakutunza na kukutumikia.
Hakuna ushauri ambao huwa unamfaa mtu anayegongewa mke wake.Yeye mwenyewe tu atatulia au atapata kitu kitakachomtuliza au maamuzi yatakayomtuliza.Ukigongewa mke hakuna ushauri utauelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom