Exactly anatakiwa kuwa mwanaume, aache mambo ya utotoEmbu kuwa mwanaume basi hata kwa siku moja atleast utakuwa na maamuzi sahihi ya nini cha kufanya.
Alafu anakuja kutusumbua sisi huku JF bila aibu, mpaka amegundua wamepasha kiporo jua kuwa walishapasha vyakutosha kabla ya kuja kujua. Wanaume wengine wanaudhi kweli kwelihujielewi ww mke kakiri kapigwa mti na ex wake na ww bado upo nae tu taraka iliwekwa ya nn au umepikiwa na chakula cha maji ya ukeni hujielewi
Sent using Jamii Forums mobile app
Suala kama hili sio la Kuomba ushauriii acha uboyaaa... FUKUZAAAAAAA MBWA HIYOO
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu inabidi achukue maamuzi magumu la sivyo suruali zote zitamlegeaHaiwezi kuwa sawa Ukiona mwanamke unamakataza asiwasiliane na mwanaume flani lakini hakusikiii jua Huyo mwanaume is far better than u ndo maana mwanamke haogopi kuwa utamuachaa wala nini..!!
Sent using Jamii Forums mobile app