Mke wangu bado anawasiliana na Ex wake

Mke wangu bado anawasiliana na Ex wake

Yaani itakuwa kila unapokuwa ktk wajibu wa kulinda ndoa ukikumbuka kuwa Kuna jamaa anauliza hapa, epitaiti zote zinakata. Unabaki unautafuta mguu wa Tatu umepotelea wapi! Yataka moyo, mimi inaweza kunitesa mno!
 
Dah pole sana kijana mwenzangu haya Mambo yapo Sana rayvany alisema hawara Hana talaka hata wewe ex wako ukimuitaji wampata kiulaini cha muhimu muekee mtego uwafume chakufanya unamfira jamaa hatorudia tena
 
Samahani mkuu nimejikuta nashindwa kuvumilia.
Yaani mke wako anawasiliana na X wake. Na umepata ushahidi kwamba ananyanduliwa. Kisha ukamuuliza na akakiri. Na bado unaona wakiendelea kuwasiliana.
Na baada ya hayo yote, umekuja kutuomba ushauri...!!
Sasa mkuu.....
Weunadhani sisi tutakushauri nini..??
Zaidi ya kukwambia tu vumilia, na hata pengine mshauri mke wako akukutanishe na huyo X wake ili mfahamiane tu

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama situation iko hivo, yamkini ya naweza kutoka mauaji ktk dhana ya "tukose wote". Inafaa huyu kaka a jiandae kisaikolojia ya kuacha a na huyo shem ili shem aende Lee na huyo ex wake maana inaonekana penzi la mzazi mwenza lime-rejuvinate. It's difficult to renounce.
 
Back
Top Bottom