Mke wangu bado anawasiliana na Ex wake

Mke wangu bado anawasiliana na Ex wake

MOYO WANGU UNAUNGUA, SINA RAHA TENA!

Nimeoa mwanamke ambaye nimeishi naye miaka mitano hadi sasa. Wakati tunaingia katika mahusiano nilimkuta tayari ana mtoto ambaye alizalishwa na mwanaume mwingine na akamkimbia.

Kwa kuwa nilimpenda sana naye akanipenda sikuona mtoto kama kikwazo katika mahusiano yetu. Niliendelea kumpenda yeye pamoja na mtoto wake na kuwatunza wote vizuri.

Maisha yetu yalikuwa ya furaha sana, lakini miaka miwili iliyopita niligundua kumbe bado anawasiliana na mwanaume ambaye alimzalisha akamkimbia.

Nilimkanya, akaniambia hakuna chochote zaidi ya kutaka kujua hali ya mwanaye. Siku moja wakati nachungulia simu yake niliona kuna ujumbe kutoka kwa huyo mzazi mwenzie ambaye anamsifia kuwa sasa hivi amekuwa mtamu na anajua kukatika mauno.

Moyo ulinienda kasi sana, kwa ujasiri niliamua kumuuliza ambapo alikubali kuwa ni kweli amefanya naye mapenzi ila nimsamehe hatarudia tena.

Kuanzia hapo, nimekuwa sina raha katika ndoa yangu, moyo wangu unaungua kwa sababu mara kadhaa naendelea kuona wakiwasiliana.

Naomba ushauri wako, nifanyeje? Nitasoma comment zote kwani nahitaji kuokoa moyo wangu

Au nikanyage tu maisha yaendelee?

Sent using Jamii Forums mobile app

Pole sana, I feel it. Ni kweli lazima uumie.

1.Kwa Maslahi ya watoto wenu, endelea kukaa nae ila control stress zako ingawa sio rahisi maana si rahisi kufuta unalolifahamu kuhusu mkeo na x wake

2. Acha kufuatilia nyendo za mkeo (puuza na endelea na shughuli zako)

3. Make any possible means kumfanya x wa mkeo afahamu kuwa wewe unalifahmu hilo kwamba wapo bado wanaendelea na mahusiano, that will call his senses to stp

4. Acha kuendelea kulalamika kwa mkeo kuhusu mahusiano yao. Mara inapotokea mkafanya mgogoro huo, ongea kama mwanaume, usiongee kama hawala, wewe ndio mme. Speak with authority, black and white

5. Take measures, kama huyo mtoto walio zaa unae, force your wife to send the child to his/her father as soon as possible

6. Think of seperation, kwa sababu hili linaweza kukuingiza kwenye shida zinazotokana hasira na kufanya matukio mabaya yanayoweza kukuweka jela.

Ni ushauri tu, chagua unachhona kinakufaa
 
MOYO WANGU UNAUNGUA, SINA RAHA TENA!

Nimeoa mwanamke ambaye nimeishi naye miaka mitano hadi sasa. Wakati tunaingia katika mahusiano nilimkuta tayari ana mtoto ambaye alizalishwa na mwanaume mwingine na akamkimbia.

Kwa kuwa nilimpenda sana naye akanipenda sikuona mtoto kama kikwazo katika mahusiano yetu. Niliendelea kumpenda yeye pamoja na mtoto wake na kuwatunza wote vizuri.

Maisha yetu yalikuwa ya furaha sana, lakini miaka miwili iliyopita niligundua kumbe bado anawasiliana na mwanaume ambaye alimzalisha akamkimbia.

Nilimkanya, akaniambia hakuna chochote zaidi ya kutaka kujua hali ya mwanaye. Siku moja wakati nachungulia simu yake niliona kuna ujumbe kutoka kwa huyo mzazi mwenzie ambaye anamsifia kuwa sasa hivi amekuwa mtamu na anajua kukatika mauno.

Moyo ulinienda kasi sana, kwa ujasiri niliamua kumuuliza ambapo alikubali kuwa ni kweli amefanya naye mapenzi ila nimsamehe hatarudia tena.

Kuanzia hapo, nimekuwa sina raha katika ndoa yangu, moyo wangu unaungua kwa sababu mara kadhaa naendelea kuona wakiwasiliana.

Naomba ushauri wako, nifanyeje? Nitasoma comment zote kwani nahitaji kuokoa moyo wangu

Au nikanyage tu maisha yaendelee?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ningekua ndio wewe basi wakati naandika huu uzi tayari ningekua nishampiga chini huyo mdada kitambo tu, no matter what.
Ila sababu wewe sio mimi basi endelea tu kuomba ushauri hapa jinsi ya kumsamehe.
 
MOYO WANGU UNAUNGUA, SINA RAHA TENA!

Nimeoa mwanamke ambaye nimeishi naye miaka mitano hadi sasa. Wakati tunaingia katika mahusiano nilimkuta tayari ana mtoto ambaye alizalishwa na mwanaume mwingine na akamkimbia.

Kwa kuwa nilimpenda sana naye akanipenda sikuona mtoto kama kikwazo katika mahusiano yetu. Niliendelea kumpenda yeye pamoja na mtoto wake na kuwatunza wote vizuri.

Maisha yetu yalikuwa ya furaha sana, lakini miaka miwili iliyopita niligundua kumbe bado anawasiliana na mwanaume ambaye alimzalisha akamkimbia.

Nilimkanya, akaniambia hakuna chochote zaidi ya kutaka kujua hali ya mwanaye. Siku moja wakati nachungulia simu yake niliona kuna ujumbe kutoka kwa huyo mzazi mwenzie ambaye anamsifia kuwa sasa hivi amekuwa mtamu na anajua kukatika mauno.

Moyo ulinienda kasi sana, kwa ujasiri niliamua kumuuliza ambapo alikubali kuwa ni kweli amefanya naye mapenzi ila nimsamehe hatarudia tena.

Kuanzia hapo, nimekuwa sina raha katika ndoa yangu, moyo wangu unaungua kwa sababu mara kadhaa naendelea kuona wakiwasiliana.

Naomba ushauri wako, nifanyeje? Nitasoma comment zote kwani nahitaji kuokoa moyo wangu

Au nikanyage tu maisha yaendelee?

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana ambao hawajui maumivu hayo mtupishe kdogo ,,ushauri,bro ,muache hata kama amekuzalia ,maana huchukui round utakufa na mawazo ,tafuta mwanamke uwe naye huyoo muaji amesahau mema yako ,,pole sana usipoangalia utakufa ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mi mwanaume sijui inakuwa haina namna ya kutongoza? Au ina akili tegemezi kwa wake wao? Au ina vgezo haba? Hapo kosa la mkeo sio kufanywa fanywa bali ana kosa la kutojua kukuficha. Fukuza. Bora ukose mke kuliko moyo kuwaka moto wa hasira kila ukumwangalia. Mjifunze kuacha.
 
MOYO WANGU UNAUNGUA, SINA RAHA TENA!

Nimeoa mwanamke ambaye nimeishi naye miaka mitano hadi sasa. Wakati tunaingia katika mahusiano nilimkuta tayari ana mtoto ambaye alizalishwa na mwanaume mwingine na akamkimbia.

Kwa kuwa nilimpenda sana naye akanipenda sikuona mtoto kama kikwazo katika mahusiano yetu. Niliendelea kumpenda yeye pamoja na mtoto wake na kuwatunza wote vizuri.

Maisha yetu yalikuwa ya furaha sana, lakini miaka miwili iliyopita niligundua kumbe bado anawasiliana na mwanaume ambaye alimzalisha akamkimbia.

Nilimkanya, akaniambia hakuna chochote zaidi ya kutaka kujua hali ya mwanaye. Siku moja wakati nachungulia simu yake niliona kuna ujumbe kutoka kwa huyo mzazi mwenzie ambaye anamsifia kuwa sasa hivi amekuwa mtamu na anajua kukatika mauno.

Moyo ulinienda kasi sana, kwa ujasiri niliamua kumuuliza ambapo alikubali kuwa ni kweli amefanya naye mapenzi ila nimsamehe hatarudia tena.

Kuanzia hapo, nimekuwa sina raha katika ndoa yangu, moyo wangu unaungua kwa sababu mara kadhaa naendelea kuona wakiwasiliana.

Naomba ushauri wako, nifanyeje? Nitasoma comment zote kwani nahitaji kuokoa moyo wangu

Au nikanyage tu maisha yaendelee?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu pole sana wanawake co watu wazuri yaani hata ufanyeje jamaa anajipigia tu pole kwa sababu najaribu kuvaa viatu vyako naona ni vikubwa havinitoshi kwa ushauri wangu kuepuka kuumiza moyo na uje uambiwe una moyo mkubwa mara pressure ooooh huyo mke wako achana nae kbs atakuua ili arudiane na huyo xxl wake ndugu yangu achana na kufunika kombe mwanaharamu apite no we piga chini then kaa mbali na wanawake kuwa kama mimi mtumishi wenu Jr binadamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu hujui ufanyeje, wanaume tunapungua sana aiseee.....

Sasa nakupa ushauri huu.
Muite huyo EX wake muishi nae kwako muwe mnapokezana kulala na huyo mke wenu

Hii ndio dawa yake huyo mwanamke... Yaani mnapigaga threesome kila leo hadi raha.
 
MOYO WANGU UNAUNGUA, SINA RAHA TENA!

Nimeoa mwanamke ambaye nimeishi naye miaka mitano hadi sasa. Wakati tunaingia katika mahusiano nilimkuta tayari ana mtoto ambaye alizalishwa na mwanaume mwingine na akamkimbia.

Kwa kuwa nilimpenda sana naye akanipenda sikuona mtoto kama kikwazo katika mahusiano yetu. Niliendelea kumpenda yeye pamoja na mtoto wake na kuwatunza wote vizuri.

Maisha yetu yalikuwa ya furaha sana, lakini miaka miwili iliyopita niligundua kumbe bado anawasiliana na mwanaume ambaye alimzalisha akamkimbia.

Nilimkanya, akaniambia hakuna chochote zaidi ya kutaka kujua hali ya mwanaye. Siku moja wakati nachungulia simu yake niliona kuna ujumbe kutoka kwa huyo mzazi mwenzie ambaye anamsifia kuwa sasa hivi amekuwa mtamu na anajua kukatika mauno.

Moyo ulinienda kasi sana, kwa ujasiri niliamua kumuuliza ambapo alikubali kuwa ni kweli amefanya naye mapenzi ila nimsamehe hatarudia tena.

Kuanzia hapo, nimekuwa sina raha katika ndoa yangu, moyo wangu unaungua kwa sababu mara kadhaa naendelea kuona wakiwasiliana.

Naomba ushauri wako, nifanyeje? Nitasoma comment zote kwani nahitaji kuokoa moyo wangu

Au nikanyage tu maisha yaendelee?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mle tiGo
 
Kaa ukijua hao hawataachana Abadani,na alikudanganya tuu kuwa alimtelekezea mtoto

Hiyo yote aliona fursa kwako kuwa ataishi vizuri na mwanae....Utatombewa mpaka mmoja kati ya hao wawili anafumba macho

Sent using Jamii Forums mobile app
Single mother waongo kisenge, kuna X mmoja alipigwa mimba na mchizi tukiwa 3rd year. Sahivi nikiwasiliana nae anadai kuwa jamaa yake hawapo in good terms na imefikia hawalali kitanda kimoja na wana mtoto mdogo.

Hammad mara ananiomba hela kwamba anapata discharge ya ajabu haelewi anataka aende hospitali. Namuuliza kulikoni hujilindi? Anasema anajilinda na hana multiple patners..nikamwambia freshi ila ukapime na mwenzio hapo.
 
Mwache huyo mwanamke. Mwanamke akizini, akakiri jawabu ni kuachwa mara moja.

Kaka Kama utaendelea kung'ang'ania kitakachokukuta ni kifo au ulemavu mbaya sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom