Mke wangu bado anawasiliana na Ex wake

Mke wangu bado anawasiliana na Ex wake

Kuoa single maza ambaye mzazi mwenza hajafa ni sawa na kujenga nyumba kwenye kiwanja chenye jina la mtu mwingine.

Mkuu hao waache kwa amani wakaendeleze penzi lao, wewe kaa pembeni mtu wa size yako utampata baadaye huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu uliamua mwenyewe kwenda kujiunga na familia ya mtu badala ya kuanzisha yakwako!vumilia tumikia maamuzi yako
 
Wanawake wengi tu wanahitaji kuolewa na kupewa dudu. Unaoaje mwanamke mjinga. Mzalishe na wewe ata watoto wawili hafu muache akili itamkaa sawa. Hataacha tamaa za kijinga siku zijazo. Na unapo oa mke hafu alikuwa na mtoto nyumbani wewe ndiye baba wa mtoto hata kama damu si moja ila mwanamke inabidi amkane baba mtoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usimlaumu huyo mwanamke kwasababu hana makosa. Mwenye kosa ni wewe kuoa mke wa mtu. Kuoa mwanamke mwenye mtoto hakikisha baba mwenye mtoto amekufa, vinginevyo utasumbuka sana kwenye familia yako. Kuwa mpole kwasababu ulinunua kiwanja chenye mgogoro.
 
Mtoa mada naomba kujua wewe ni mtu kutoka mkoa gani
Harafu kingine mwanamke aliyetolewa ubikira na mwenye mtoto sio Mali yako hata ufanye nini siku njema
 
Mwache aende. kaka maisha ya msongo mabaya sana utakuja kufa na kuwaacha. Mwanamke akinajisi hafai tena narudia hafaiiiii. Mwanamke mpaka kuvua chupi zaid ya mara moja ana hisia.
 
MOYO WANGU UNAUNGUA, SINA RAHA TENA!

Nimeoa mwanamke ambaye nimeishi naye miaka mitano hadi sasa. Wakati tunaingia katika mahusiano nilimkuta tayari ana mtoto ambaye alizalishwa na mwanaume mwingine na akamkimbia.

Kwa kuwa nilimpenda sana naye akanipenda sikuona mtoto kama kikwazo katika mahusiano yetu. Niliendelea kumpenda yeye pamoja na mtoto wake na kuwatunza wote vizuri.

Maisha yetu yalikuwa ya furaha sana, lakini miaka miwili iliyopita niligundua kumbe bado anawasiliana na mwanaume ambaye alimzalisha akamkimbia.

Nilimkanya, akaniambia hakuna chochote zaidi ya kutaka kujua hali ya mwanaye. Siku moja wakati nachungulia simu yake niliona kuna ujumbe kutoka kwa huyo mzazi mwenzie ambaye anamsifia kuwa sasa hivi amekuwa mtamu na anajua kukatika mauno.

Moyo ulinienda kasi sana, kwa ujasiri niliamua kumuuliza ambapo alikubali kuwa ni kweli amefanya naye mapenzi ila nimsamehe hatarudia tena.

Kuanzia hapo, nimekuwa sina raha katika ndoa yangu, moyo wangu unaungua kwa sababu mara kadhaa naendelea kuona wakiwasiliana.

Naomba ushauri wako, nifanyeje? Nitasoma comment zote kwani nahitaji kuokoa moyo wangu

Au nikanyage tu maisha yaendelee?

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu, najaribu kuvaa viatu vyako na ninaona wakati mgumu ulionao nakusihi kua mvumilivu wa wasira. Nina mambo mawili nayotaka kunwambia.

1. Hebu fuata ushauri wa watu hasa watu wazima mfn wazazi na viongozi wa imani yako kwani naamini wameshakutana na case kama hzo na pasina shaka watakua na ushaur unaofaa.

2. Naomba uniruhusu kukulaumu mkuu, yani pamoja na thread zote hapa kutuadharisha kuoa SINGLE MOTHERS wewe hukusikia, huko mtaani kwenu najua ushahusiwa kua usioe mwanamke aliezalishwa labda kama aliezaa nae amekufa wewe hukusikia. Pole ila kujifanya unajua sana kupenda leo unakula jeuri yako.

Muwe mnaelewa mnapoambiwa single mother hafai kuolewa haya yako wapi ?! Kujifanya una phd ya kupenda na diploma ya ubishi yako wapi mkuu ?! All in all pole ila ndo ukome kujifanya mbishi.
 
Back
Top Bottom