Mke wangu bado anawasiliana na Ex wake

Mke wangu bado anawasiliana na Ex wake

Kabla ya ushauri, ninaomba kujua mahali hiyo ndoa mlifunga; Kanisani, bomani, ya jadi au ni sogea tukae?
 
pole sana mkuu
kosa la kwanza mkuu ni kuoa mtu aliye zaa na mtu akamkimbia bola wangeachana ungejua wameachana lakini amekimbiwa hujui ni kwa nn alimkimbia labda alienda kutafuta now amezipata unafikili kuna dem analukaga hapo
chapili mkuu binafsi mimi ni mfuasi wa u specially tukiwa wapenzi lazima unionyeshe uspeciall tofauti na hapo ni kapun(make sure na ww huchepuki) i
mambo ya mahusiano sio kuambiwa na watu muachane ukaenda kumpa talaka mkeo hapana kaa nae kwanza ongea nae then mpe muda mtafute huyo jamaa mpe mtoto wake ili uendelee kufuraia ndoa yako
 

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sent using Jamii Forums mobile app
Cc KANYEGELO njoo ufungue Uzi huu halafu majibu utakuwa nayo mwenyew

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naweza kua nmechelewa, ila naomba usome hiki kitu...

Hisia za Mapenzi hutenganishwa na Hisia izoizo za mapenzi .

Mwanaume wake kumkimbia , Hakuondoshi hisia za mapenzi, swali nijee kwann alimkimbia ??? Yawezekana walipeana mimba wakiwa chuon ,au jamaa alikua hajakaa sawa, so akamua kusepa n.k??? Nani anajua ??NDIO MANA HUWA NAWAAMBIA WATU KUA, KUJUA KISA CHA MPENZI WAKO KUACHANA NA MTU WAKE, HUTOA MWANGA WA MNAPOELEKEA!!!.


Yawezekana alikuja kuoana nawewe sababu hakua na namna yakufanya akizingatia malezi ya Mtoto nahuduma zake pia...ndioo ukioa mwanamke maana Yake LAZIMA UMTUNZE!!.....

Sasa wewe kumtunza yeye namwanawe hakumfanyi apoteze hisia za mapenzi najamaa wake...


Unawezeje kutoka hapo???

So far NJIA PEKEE YA KUACHANA NAHILO NI KUACHANA NA HUYO MWANAMKE MAPEMA IWEZEKANAVYO.

kwann??? Kwasababu amekuonyesha kua Hawezi KUACHANA na mzazi mwenzake ,nayeye ndo alikua MTU pekee wa KUACHANA naye .


HAUNA CHOCHOTE UNACHOWEZA KUFANYA CHAKUSAIDIA HUYO MWANAMKE ASITEMBEE NA MZAZI MWENAKE..HAUNAAA HAUNAAAA NAHAUNAAAAAA..

NASEMA HIVI HATA UMFANYIE WEMA GANI KAMWEEEEEE ATAENDELEA KULIWA TU NA MCHIZI.



Jambo pekee linaloweza kumbadili ni MUDA...yaan huyo saizi muda tu ndo unaweza kumuonyesha ubaya wa alichokutendea.


ACHA KUA PUMZIKO... UMEZAAA NAYE, HUJAZAAA NAYE, KUNUSURU MOYO WAKO ACHANA NAHUYO MWANAMKE HARAKA SANA.


KINYUME NAHAPO, UTAKUFA SIKU SIO ZAKO, NAUTAKUFA KWASABABU YA MAWAZO..


NA NIKUAMBIE....Kitendo chake kukubali kua ameliwa NA jamaa.... HAUTAKAA UKISAHAU HATA SIKU MOJA..NA NDICHO KITAKACHOKUA KINAKUTESA MAISHA YAKO YOTEEEE UTAKAYEKUA NAYE HUYO MWANAMKE.



AMUA SASA, KWAAJILI YAKO NAKWAAJILI YA BAADAE !!..........


Siku nyingine, Msipende kuamua maamuzi ya kijinga sababu tu uonekane ni mwenye huruma.


KUNA SINGO MAMA ,HAWATAKIWI KABISA KABISA KUOLEWA !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu ugomvi wa kimapenzi hauhitaji huruma . Ukifanya hivyo utapotea haraka sana kabla ya muda wako. Hakuna binadamu aliye mkamilifu kwenye mapenzi asilimia kubwa ya wanaume na wanawake wanamichepuko yao iwe wanafanya kwa siri kubwa sana ama hawafanyi kwa siri. Na pia jifunze hili asilimia kubwa ya wanawake huwa hawaachi mpenzi aliyemtoa bikira hata kama ameolewa na mtu tajiri sana. Cha msingi fanya maamuzi ambayo yataleta afya kwa upande wako zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HIVI wewe ni mwanaume au MWANAMUME.....unajua ktk makuzi kuna vistage ukiskip imekula kwako.....kuvuta fegi au ganja,,, au vyote kwa pamoja,, kupiga puli,,,chabo....kubashia vitoto vya kike....mara umekamatwa umeiba mahindi ya jirani mkayachomea sijui mtoni......kesi nyingiii za utoto.....inasaidia kukuandaa na maisha......sasa huyu bwege mkewe amekazwa na kakubali....bado anaomba ushauri......ningekuwa POPOBAWA ninekutembelea daily wewe.....
 
Back
Top Bottom