Witmak255
JF-Expert Member
- Feb 5, 2019
- 3,264
- 5,449
sasa ubwege wangu niniBwege wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app

niufanye kwako hahaha
Ni matokeo tu, mwanadamu hachungiki
Mambo ya kuvumiliana kwenye ndoa ni mawili tu,MOYO WANGU UNAUNGUA, SINA RAHA TENA!
Nimeoa mwanamke ambaye nimeishi naye miaka mitano hadi sasa. Wakati tunaingia katika mahusiano nilimkuta tayari ana mtoto ambaye alizalishwa na mwanaume mwingine na akamkimbia.
Kwa kuwa nilimpenda sana naye akanipenda sikuona mtoto kama kikwazo katika mahusiano yetu. Niliendelea kumpenda yeye pamoja na mtoto wake na kuwatunza wote vizuri.
Maisha yetu yalikuwa ya furaha sana, lakini miaka miwili iliyopita niligundua kumbe bado anawasiliana na mwanaume ambaye alimzalisha akamkimbia.
Nilimkanya, akaniambia hakuna chochote zaidi ya kutaka kujua hali ya mwanaye. Siku moja wakati nachungulia simu yake niliona kuna ujumbe kutoka kwa huyo mzazi mwenzie ambaye anamsifia kuwa sasa hivi amekuwa mtamu na anajua kukatika mauno.
Moyo ulinienda kasi sana, kwa ujasiri niliamua kumuuliza ambapo alikubali kuwa ni kweli amefanya naye mapenzi ila nimsamehe hatarudia tena.
Kuanzia hapo, nimekuwa sina raha katika ndoa yangu, moyo wangu unaungua kwa sababu mara kadhaa naendelea kuona wakiwasiliana.
Naomba ushauri wako, nifanyeje? Nitasoma comment zote kwani nahitaji kuokoa moyo wangu
Au nikanyage tu maisha yaendelee?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenda huko [emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]niufanye kwako hahaha
wapi niende jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wew ni kiboko cha matatizo ya kipuuzi kama hayo.mkuu hujui ufanyeje, wanaume tunapungua sana aiseee.....
Sasa nakupa ushauri huu.
Muite huyo EX wake muishi nae kwako muwe mnapokezana kulala na huyo mke wenu
hebu na wewe mpe ushauri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wew ni kiboko cha matatizo ya kipuuzi kama hayo.
Unavyo andika huu uzi bado uko naye??MOYO WANGU UNAUNGUA, SINA RAHA TENA!
Nimeoa mwanamke ambaye nimeishi naye miaka mitano hadi sasa. Wakati tunaingia katika mahusiano nilimkuta tayari ana mtoto ambaye alizalishwa na mwanaume mwingine na akamkimbia.
Kwa kuwa nilimpenda sana naye akanipenda sikuona mtoto kama kikwazo katika mahusiano yetu. Niliendelea kumpenda yeye pamoja na mtoto wake na kuwatunza wote vizuri.
Maisha yetu yalikuwa ya furaha sana, lakini miaka miwili iliyopita niligundua kumbe bado anawasiliana na mwanaume ambaye alimzalisha akamkimbia.
Nilimkanya, akaniambia hakuna chochote zaidi ya kutaka kujua hali ya mwanaye. Siku moja wakati nachungulia simu yake niliona kuna ujumbe kutoka kwa huyo mzazi mwenzie ambaye anamsifia kuwa sasa hivi amekuwa mtamu na anajua kukatika mauno.
Moyo ulinienda kasi sana, kwa ujasiri niliamua kumuuliza ambapo alikubali kuwa ni kweli amefanya naye mapenzi ila nimsamehe hatarudia tena.
Kuanzia hapo, nimekuwa sina raha katika ndoa yangu, moyo wangu unaungua kwa sababu mara kadhaa naendelea kuona wakiwasiliana.
Naomba ushauri wako, nifanyeje? Nitasoma comment zote kwani nahitaji kuokoa moyo wangu
Au nikanyage tu maisha yaendelee?
Sent using Jamii Forums mobile app
Point yenye akili nyingi big up [emoji119]Haiwezi kuwa sawa Ukiona mwanamke unamakataza asiwasiliane na mwanaume flani lakini hakusikiii jua Huyo mwanaume is far better than u ndo maana mwanamke haogopi kuwa utamuachaa wala nini..!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali; je alitumia protection alivyolala na huyo ex?MOYO WANGU UNAUNGUA, SINA RAHA TENA!