Mke wangu bado anawasiliana na Ex wake

Mke wangu bado anawasiliana na Ex wake

Kasie,
anyway.....ni your comment......over 40 ndio usamehe......kugonga K daily sio adhabu kwa mwanamke.....ni kujichosha....hapo ni kukubali kuanza maisha....no matter uko 55.......mwanamke mtamu akiwa wako pekee, na uamini ni wako....acheat nisijue milele....
 
Ili mwishoni apate tuzo ya HIV!
Na wewe wasiliana na Ma X girlfriends. wako kama unadhani itakupa amani.

Lakini pia, amua kupuuza upumbavu wake, usiuweke akilini, jiepushe kushishika simu ya mkeo, utagundua Kuna Bodaboda anamfumua Malinda.

Simu ya mke ni kifo iepuke na kuigopa kama ukoma, as long as hafanyi mbele yako, anakuhishimu, anakutunza na kukutumikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom