Mke wangu ataniua... Hii siyo haki kabisa!

Waungwana sasa mimi maji yamefika shingoni. Mke wangu amezidi sana kutaka kale ka mchezo ketu mpaka mimi mwenyewe sasa nachanganyikiwa! yaani eti hata kama nina malaria yeye anataka tu! Kwa mfano wiki iliyopita nilikuwa na malaria na nikaenda hospitali kupimwa na nikakutwa na malaria na nikapewa dozi ya mseto. Pamoja na kuwa nilikuwa nameza vidonge na yeye akiwa anaona, lakini ikifika usiku haishi kutaka huduma. Na mimi kwa kuona kuwa labda nisipotekeleza hitaji lake hatanielewa, nampa vitu kama kawaida lakini huku nabaki hoi!
Sasa mwenzenu hali ikiendelea hivyohivyo basi mimi mhhh!...ataniua!
Naombeni ushauri nifanyeje wadau!

Kabila gani mkeo?
 
Think of your absence si utamkuta wanaume washararua. Kila kitu kiwe na kiasi. Mtafutie mkuyati then mpeleke chooni mwenyewe appetite itamwisha nawe utapumzika
 
Bora anakudai wewe na unatambua hilo kuliko akaenda kumuomba kwa house boy wako au kwa best wako..
 
Mlete tukusaidie ndugu naona unaelemewa na mzigo bure
Waungwana sasa mimi maji yamefika shingoni. Mke wangu amezidi sana kutaka kale ka mchezo ketu mpaka mimi mwenyewe sasa nachanganyikiwa! yaani eti hata kama nina malaria yeye anataka tu! Kwa mfano wiki iliyopita nilikuwa na malaria na nikaenda hospitali kupimwa na nikakutwa na malaria na nikapewa dozi ya mseto. Pamoja na kuwa nilikuwa nameza vidonge na yeye akiwa anaona, lakini ikifika usiku haishi kutaka huduma. Na mimi kwa kuona kuwa labda nisipotekeleza hitaji lake hatanielewa, nampa vitu kama kawaida lakini huku nabaki hoi!
Sasa mwenzenu hali ikiendelea hivyohivyo basi mimi mhhh!...ataniua!
Naombeni ushauri nifanyeje wadau!
 
Waungwana sasa mimi maji yamefika shingoni. Mke wangu amezidi sana kutaka kale ka mchezo ketu mpaka mimi mwenyewe sasa nachanganyikiwa! yaani eti hata kama nina malaria yeye anataka tu! Kwa mfano wiki iliyopita nilikuwa na malaria na nikaenda hospitali kupimwa na nikakutwa na malaria na nikapewa dozi ya mseto. Pamoja na kuwa nilikuwa nameza vidonge na yeye akiwa anaona, lakini ikifika usiku haishi kutaka huduma. Na mimi kwa kuona kuwa labda nisipotekeleza hitaji lake hatanielewa, nampa vitu kama kawaida lakini huku nabaki hoi!
Sasa mwenzenu hali ikiendelea hivyohivyo basi mimi mhhh!...ataniua!
Naombeni ushauri nifanyeje wadau!

Kweli upele humwota asiye na kucha mimi napenda sana ngono ningekuwa wewe kweli angekoma
 
Nimegundua kuna waume wengi hawapati tendo la ndoa kama ambavyo wangependa. Maana posts nyingi ni za kumuonea wivu jamaa.
Ushauri wangu, ongezeni mautundu, ubunifu na kuwafanya wake zenu warelax, mkiweza hayo watawang'ang'ania kama mleta mada.
 
Hit the nail on the head gal. She should be salvating!

Kuna mtu wa ofisini tulisafiri pamoja. Niliishia kumwambia kama ungalitumia nusu ya nguvu na attention unayoipa nyumba ndogo kwa mkeo, ungekuwa na ndoa ya mfano.

Yaani ni kweli kabisa, yaani nyumba na unyumba inakuwa kama routine au kutimiza wajibu tu tofauti na wakati wa uchumba halafu wanawalaumu wake zao, na badala ya kutibu wanabomoa zaidi kwa kutafuta romance outside.
Siri ni ndogo sana, mfanye acheke kama awali, ajione special kama wakati unamtokea, mshirikishe ktk kuexolore na kujaribu new styles, positions na sehemu kama ulivyokuwa unajitahidi kuprove kuwa unayajua wakati wa mwanzo.
Ofcourse nasi we have a role to play, hilo somo lilishatolewa sana na makungwi wa humu snowhite, gfsonwin et el.
Hit the nail on the head gal. She should be salvating!

Kuna mtu wa ofisini tulisafiri pamoja. Niliishia kumwambia kama ungalitumia nusu ya nguvu na attention unayoipa nyumba ndogo kwa mkeo, ungekuwa na ndoa ya mfano.
 
Last edited by a moderator:
Dah wakati wengine tunabembeleza wengine wanalia. Ningekuwa mimi naamini ningekuwa ningepiga mpaka basi. Coz mimi nipo tayari hata kufanya mapenzi kila siku. Lakini wife wangu ni mvivu sana, naweza maliza hata 2wks without. Hongera sana mkuu, mpende mkeo coz usipotimiza atatafuta wakumkuna

usimlaumu mkeo mvivu,,,,,,wewe ndo wa kumtoa uvivu huoooo....
 
Sasa wapendwa nimepona yaani nafidia dozi ndogondogo nilizokuwa nampa shemeji yenu wakati nina Malaria. yaani naamini huyu mke wangu anapata raha kuliko wanawake wengi maana mpaka namuonaga anavokunja vidole vya miguu na anavyohangaika kwa miguno katika hatua fulanifulani ivi mpaka najisemea ...swadaktaaaa!....
Nawapa pole wale wote ambao wanabaniwa na wake zao maana wanakosa mengi. Pia naungana sana na ushauri wa Kaunga kuhusu suala kuwa namtimizia sana mke wangu ndio maana kila anionapo anatamani nimfikishe kunako kilele cha Mlima Everest!
 
Last edited by a moderator:
So what?

Wewe utakuwa hauna akili za kutosha.
Mambo yako binafsi na mkeo unayaleta hapa ili iweje?
Je ulimwomba ruhusa mkeo kuja kuanika mambo yenu ya sirini hapa?
Kesho mkeo akikunyima unyumba utakuja tena kutulilia.

Wewe ulitaka nani akamuhudumie mkeo kimapenzi?

*Please Moderator futeni hii topic haraka, maana haina msingi wala maslahi kwa jamii.

Kwani unamfahamu? Na wewe kuweka mambo yote Moyoni utajiua siku moja. Hapa ni punguza stress.
 
Dah wakati wengine tunabembeleza wengine wanalia. Ningekuwa mimi naamini ningekuwa ningepiga mpaka basi. Coz mimi nipo tayari hata kufanya mapenzi kila siku. Lakini wife wangu ni mvivu sana, naweza maliza hata 2wks without. Hongera sana mkuu, mpende mkeo coz usipotimiza atatafuta wakumkuna

bahati ya mtende kuota jangwani, hata mimi mkuu ningekuwa naipiga hiyo kila siku bila kukinai, hapa nilipo napata shida na demu wangu ni mvivu, wanawake wengi wa siku hizi ni wavivu wamebaki mashauzi tu hawana lolote kitandani, usipokuwa mvumilivu utachukua spea,naomba nipate mke kama huyo haki ya mungu looh
 
hili kwa wanawake ni janga la Taifa, kama wapo humu wanatkiwa wajitahidi kubadilika other wise small house hazitakufa for sure
 
Watakukazia wenzio we endelea kulemba
 
Swala la uvivu lipo sana wala sio lazima mwanaume awe hamfikishi mwenzake. Mie wala siendi raudi ya pili naambiwa nakaa sana na raundi ya kwanza siwezi kumtosheleza mwenzangu. Nifanyeje?
 
Back
Top Bottom