Snipper
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,339
- 2,179
Waungwana sasa mimi maji yamefika shingoni. Mke wangu amezidi sana kutaka kale ka mchezo ketu mpaka mimi mwenyewe sasa nachanganyikiwa! yaani eti hata kama nina malaria yeye anataka tu! Kwa mfano wiki iliyopita nilikuwa na malaria na nikaenda hospitali kupimwa na nikakutwa na malaria na nikapewa dozi ya mseto. Pamoja na kuwa nilikuwa nameza vidonge na yeye akiwa anaona, lakini ikifika usiku haishi kutaka huduma. Na mimi kwa kuona kuwa labda nisipotekeleza hitaji lake hatanielewa, nampa vitu kama kawaida lakini huku nabaki hoi!
Sasa mwenzenu hali ikiendelea hivyohivyo basi mimi mhhh!...ataniua!
Naombeni ushauri nifanyeje wadau!
Sasa mwenzenu hali ikiendelea hivyohivyo basi mimi mhhh!...ataniua!
Naombeni ushauri nifanyeje wadau!