Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,584
- 171,419
nilizingatia ushauri wako na mpka sasa wifi yako anapata haki yake kisawasawa!
safi sana mwanaume......!!!!!!!!
nilizingatia ushauri wako na mpka sasa wifi yako anapata haki yake kisawasawa!
Waungwana sasa mimi maji yamefika shingoni. Mke wangu amezidi sana kutaka kale ka mchezo ketu mpaka mimi mwenyewe sasa nachanganyikiwa! yaani eti hata kama nina malaria yeye anataka tu! Kwa mfano wiki iliyopita nilikuwa na malaria na nikaenda hospitali kupimwa na nikakutwa na malaria na nikapewa dozi ya mseto. Pamoja na kuwa nilikuwa nameza vidonge na yeye akiwa anaona, lakini ikifika usiku haishi kutaka huduma. Na mimi kwa kuona kuwa labda nisipotekeleza hitaji lake hatanielewa, nampa vitu kama kawaida lakini huku nabaki hoi!
Sasa mwenzenu hali ikiendelea hivyohivyo basi mimi mhhh!...ataniua!
Naombeni ushauri nifanyeje wadau!
kwa mwanaume kama mwili hauruhusu psychollogically you cant (sustain) erect.kuwa makini mkuu usijilazimishe kama mwili haukuruhusu cuz utajiathiri mwenyewe ndugu yangu na kama ni kufa ufe,
.
kwa mwanaume kama mwili hauruhusu psychollogically you cant (sustain) erect.
Kitu kikienda winga manake uko poa.
piga kazi then, its the only way ya kuituliza
Hili ni jukwaa la MMU, ulitaka alete uzi wenye maslahi gani hapa!? ulitaka aje kuongelea kilimo kwanza na ufugaji wa mbuzi wa mayai ndo uone maslahi mkuu... you might be right but in a wrong place
kumbe tuko tofauti.mkuu siwezi kubishana na wewe katika hilo kwasababu sina ujuzi nalo ila mimi kuna wakati wife alikua anataka nimpe dose wakati mie nimetoka kazini na mi-stress na uchovu kibao kwasababu anajua wapi akinitouch nasisimka then tuna keep doing it, ila siku inayofuatia nakua nimechoka sana,sometime nilikua najihisi kama kuumwa vile, siku moja nikatafuta nafasi nzuri mahali tofauti nikamkalisha mwenzangu nikamuelewesha akanielewa mpaka leo tunaenda tu fresh, hivyo kama sipo kwenye mood nikimueleza ananielewa.
siyo mnyaturu ndugu yangu!
kumbe tuko tofauti.
mi nikiwa nimechoka kabisa,
hata kama nimekuwa kazini for more than 12hrs, ndo nakuwa na nguvu ya kupiga kazi za home.
Siwezi lala bila kuweka mambo sawa.
na gemu inakuwa babkubwa, ndefu anaweza fika kibo mara mbili.
baada ya hapo ndo uchov unakuwa complete and sleep ensues.
kesho naamka kama kawaida
mkuyati ndio nini mkuu na inafanyaje kai? hebu fafanua! au unamaanisha mtandao pendwa?Think of your absence si utamkuta wanaume washararua. Kila kitu kiwe na kiasi. Mtafutie mkuyati then mpeleke chooni mwenyewe appetite itamwisha nawe utapumzika
mkuu siwezi kubishana na wewe katika hilo kwasababu sina ujuzi nalo ila mimi kuna wakati wife alikua anataka nimpe dose wakati mie nimetoka kazini na mi-stress na uchovu kibao kwasababu anajua wapi akinitouch nasisimka then tuna keep doing it, ila siku inayofuatia nakua nimechoka sana,sometime nilikua najihisi kama kuumwa vile, siku moja nikatafuta nafasi nzuri mahali tofauti nikamkalisha mwenzangu nikamuelewesha akanielewa mpaka leo tunaenda tu fresh, hivyo kama sipo kwenye mood nikimueleza ananielewa.
mkuu nashukuru kwa ushauri na nimekupata vilivyonakuunga mkono, uwazi ni mzuri, na wakati unataka kumweleza mwenzako, lazima uweke mazingira mazuri, ya upendo na kumwonyesha unamjali.
but further more make sure u "HOLD" it t least for 10 to 15 min, kwani "the man" akiwa well erect you can make her reach the "heavens" na kwa kweli hapo ndo utaona una ratiba nzuri sana kwani akiwa if she reaches the heavens , utaona anapata ka usingizi , then kukuomba tena will take 3 to 5 days, ambapo tayari utakuwa ume gain nguvu.
THE BOTTOM LINE, LEARN TO TALK EACH OTHER OPENLY
how do you expect Tanzania kuendelea wakati mazungumzo yanayoletwa kwenye blog ya great thinkers ni haya na pia yanapata wachangiaji, I am very embarrassed ndio maana JK aliamu uspika apewe mwanamke, kwa akili hii hata uraisi ujao apewe mwanamke maana huyu hata wanaume wenzake hamumkemei? na usishangae ni mtu mwenye matatizo ya nguvu za kiume hapa anajifalagua tu, huwezi kukuta a pedigree in a man talking this shit, imekula kwako
nakuunga mkono, uwazi ni mzuri, na wakati unataka kumweleza mwenzako, lazima uweke mazingira mazuri, ya upendo na kumwonyesha unamjali.
but further more make sure u "HOLD" it t least for 10 to 15 min, kwani "the man" akiwa well erect you can make her reach the "heavens" na kwa kweli hapo ndo utaona una ratiba nzuri sana kwani akiwa if she reaches the heavens , utaona anapata ka usingizi , then kukuomba tena will take 3 to 5 days, ambapo tayari utakuwa ume gain nguvu.
THE BOTTOM LINE, LEARN TO TALK EACH OTHER OPENLY