Mke wangu ataniua... Hii siyo haki kabisa!

mueleweshe taratibu kama ni msikivu na anakupenda ataelewa....lakini kama si msikivu na akigoma mlete Tumkekete itakuwa kwisha habari yake
 
ha ha ha ha watu nyie ha ha ha
how do you expect Tanzania kuendelea wakati mazungumzo yanayoletwa kwenye blog ya great thinkers ni haya na pia yanapata wachangiaji, I am very embarrassed ndio maana JK aliamu uspika apewe mwanamke, kwa akili hii hata uraisi ujao apewe mwanamke maana huyu hata wanaume wenzake hamumkemei? na usishangae ni mtu mwenye matatizo ya nguvu za kiume hapa anajifalagua tu, huwezi kukuta a pedigree in a man talking this shit, imekula kwako
 
Solution ya kudumu ya tatizo lako ni hii; mfungulie mkeo mradi hata wa biashara ya duka ili apate akili yake iwaze vitu tofauti na ile kitu tu.

Pia hata kama ana kazi mpe kazi za nguvu ili mwili wake usijiachie tu. Pia zingatia posts za members!
 
Solution ya kudumu ya tatizo lako ni hii; mfungulie mkeo mradi hata wa biashara ya duka ili akili yake iwaze vitu tofauti na ile kitu tu.

Pia hata kama ana kazi mpe kazi za nguvu ili mwili wake usijiachie tu. Pia zingatia posts za members humu!
 
how do you expect Tanzania kuendelea wakati mazungumzo yanayoletwa kwenye blog ya great thinkers ni haya na pia yanapata wachangiaji, I am very embarrassed ndio maana JK aliamu uspika apewe mwanamke, kwa akili hii hata uraisi ujao apewe mwanamke maana huyu hata wanaume wenzake hamumkemei? na usishangae ni mtu mwenye matatizo ya nguvu za kiume hapa anajifalagua tu, huwezi kukuta a pedigree in a man talking this shit, imekula kwako

ndo maana kuna ma jukwaa tofauti,unataka maendeleo tanzania MMU umekuja kufanya nin? why not elimu or siasa! mijitu mingine, eti your very embarassed? get a life WANNABE! uku ni mapenzi mahusiano urafiki, hatudiscus maendeleo uku kuna right place for that,
 
Waungwana sasa mimi maji yamefika shingoni. Mke wangu amezidi sana kutaka kale ka mchezo ketu mpaka mimi mwenyewe sasa nachanganyikiwa! yaani eti hata kama nina malaria yeye anataka tu! Kwa mfano wiki iliyopita nilikuwa na malaria na nikaenda hospitali kupimwa na nikakutwa na malaria na nikapewa dozi ya mseto. Pamoja na kuwa nilikuwa nameza vidonge na yeye akiwa anaona, lakini ikifika usiku haishi kutaka huduma. Na mimi kwa kuona kuwa labda nisipotekeleza hitaji lake hatanielewa, nampa vitu kama kawaida lakini huku nabaki hoi!
Sasa mwenzenu hali ikiendelea hivyohivyo basi mimi mhhh!...ataniua!
Naombeni ushauri nifanyeje wadau!

Gangamara mwanaumme!! Maana ukilegeza kamba hapo ujue utapata wasaidizi sasa hivi!!!! Na MUNGU akusaidie msaidizi asiwe mwendesha guta; maana akidandia DEREVA wa guta hata huo mgao wa siku moja moja hutopata tena!!!!
 
pole mkuu hakika kikubwa hapo ni kukaa na bibie na kuintroduce stori flani za kuchekesha au insipiration topics baadae unamuingizia na lile la kwako huku ukimbembeleza taratibu na hakika atakuelewa, mtizamo wangu na uelewa mdogo katika mambo hayo mi siyo mtaalamu.
 
Dah wakati wengine tunabembeleza wengine wanalia. Ningekuwa mimi naamini ningekuwa ningepiga mpaka basi. Coz mimi nipo tayari hata kufanya mapenzi kila siku. Lakini wife wangu ni mvivu sana, naweza maliza hata 2wks without. Hongera sana mkuu, mpende mkeo coz usipotimiza atatafuta wakumkuna

Mkuu umeongea kwa uchungu sana!
Kama vipi badilishaneni tu wake itakuwa safi kabisa

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
how do you expect Tanzania kuendelea wakati mazungumzo yanayoletwa kwenye blog ya great thinkers ni haya na pia yanapata wachangiaji, I am very embarrassed ndio maana JK aliamu uspika apewe mwanamke, kwa akili hii hata uraisi ujao apewe mwanamke maana huyu hata wanaume wenzake hamumkemei? na usishangae ni mtu mwenye matatizo ya nguvu za kiume hapa anajifalagua tu, huwezi kukuta a pedigree in a man talking this shit, imekula kwako

We NDONDO!!!
Hata nchi iliyoendelea vp huwezi ukasema hawafikirii mapenzi! Mapenzi yana nafasi yake bwana
Kwanza kwenye MMU umefata nini kama unataka maendeleo?au ulitaka mtu alete uzi kwamba akijivinjari na mkewe wanadiscuss business?
Ebu kakojoe ukalale huko

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Waungwana sasa mimi maji yamefika shingoni. Mke wangu amezidi sana kutaka kale ka mchezo ketu mpaka mimi mwenyewe sasa nachanganyikiwa! yaani eti hata kama nina malaria yeye anataka tu! Kwa mfano wiki iliyopita nilikuwa na malaria na nikaenda hospitali kupimwa na nikakutwa na malaria na nikapewa dozi ya mseto. Pamoja na kuwa nilikuwa nameza vidonge na yeye akiwa anaona, lakini ikifika usiku haishi kutaka huduma. Na mimi kwa kuona kuwa labda nisipotekeleza hitaji lake hatanielewa, nampa vitu kama kawaida lakini huku nabaki hoi!
Sasa mwenzenu hali ikiendelea hivyohivyo basi mimi mhhh!...ataniua!
Naombeni ushauri nifanyeje wadau!
Pole sana ndugu yangu ila nionavyo mimi ni kwamba mkeo alikuwa na uwezo wa kukuvumilia siku mbili tatu kama hujisikii vizuri...Naelewa mtu akiumwa anakuwa dhoofu na unatakiwa kutumia muda mwingi ukijitibu upumzike ili mwili upate nguvu tena au recovery yako itachukua muda zaidi na kwa upande wa mkeo naelewa vilevile kwamba anahitaji haki yake,ila kama anakupenda lazima ajali afya yako kwasababu mapenzi sio kukomoana bali ni kuvumiliana kwenye shida na raha,afya na uzima, wala asingepungua chochote kama asingepata haki yake kwa baadhi ya siku!Na vilevile kama amezidiwa sana hawezi kuvumilia anao uwezo wakujisaidia mwenyewe!
Lazima wakati mwengine tuwe waelewa jamani huyu kaka ndo anaeumwa kwahio ni yeye tu ndo anayejua anavyojisikia!
 
wewe lala chali tu,kama dushelee ataisimamisha mwenyewe,na mengine yote atamaliza yeye.
 
how do you expect Tanzania kuendelea wakati mazungumzo yanayoletwa kwenye blog ya great thinkers ni haya na pia yanapata wachangiaji, I am very embarrassed ndio maana JK aliamu uspika apewe mwanamke, kwa akili hii hata uraisi ujao apewe mwanamke maana huyu hata wanaume wenzake hamumkemei? na usishangae ni mtu mwenye matatizo ya nguvu za kiume hapa anajifalagua tu, huwezi kukuta a pedigree in a man talking this shit, imekula kwako

ndo mana likaitwa jukwaa la MMU na mada iliyoko hapo juu ndo mahali pake ulitaka watu wachangie nini? Siyo lazima kila thread mtu uchangie kama huna cha kuchangia kaa kimya
 
hacha uvivu ndugu mshughulishe mkeo mpaka aridhike na husijaribu kumkwepa kwa visingizio vyovyote vile maana akitoka tu nje utakuja kujuta,na uku nje kuna watu wanapiga mzigo balaa!
 
Waungwana sasa mimi maji yamefika shingoni. Mke wangu amezidi sana kutaka kale ka mchezo ketu mpaka mimi mwenyewe sasa nachanganyikiwa! yaani eti hata kama nina malaria yeye anataka tu! Kwa mfano wiki iliyopita nilikuwa na malaria na nikaenda hospitali kupimwa na nikakutwa na malaria na nikapewa dozi ya mseto. Pamoja na kuwa nilikuwa nameza vidonge na yeye akiwa anaona, lakini ikifika usiku haishi kutaka huduma. Na mimi kwa kuona kuwa labda nisipotekeleza hitaji lake hatanielewa, nampa vitu kama kawaida lakini huku nabaki hoi!
Sasa mwenzenu hali ikiendelea hivyohivyo basi mimi mhhh!...ataniua!
Naombeni ushauri nifanyeje wadau!

Piga kazi ndugu acha visingizio.Au kama vp tugawie
 
Mkuu uko wapi?, kama K yake imetunia juu, basi njoo tubadirishane wakwangu tunataka kuachana mimi nataka kila siku kumpolomoshea yeye hataki
 
Wanaume pia tuna cycle. Kuna wakati (siku 4-5) mtu unakuwa huna appetite kabisa na hiyo mambo. Ingawa ukishtua gari inawaka lakini unafanya tu basi. Najua wanawake nao wanakuwa na kipindi wanakuwa hawana hamu kabisa. Kama mkeo yeye anakuwa na appetite mda wote, anaweza kuwa na tatizo la kiafya (probably persistent oocysts au cysts). Inaweza ikakuletea matatizo katika ndoa usipomtafutia tiba. Lakini kumbuka pia wale wasikuwa na hamu siku zite nao wanakuwa na matatizo ya afya (kwa mfano persistent CL).
 
Vipi operation ilikuaje, pole mkuu
 
Mshughulikie tu maana usipofanya hivyo utapata msaidizi.
 
Back
Top Bottom