switch Off
Member
- Oct 30, 2019
- 50
- 205
Habari zenu wauu
lewekeke tuu kuwa Mimi ni mume wa mke wangu na MUNGU ametubariki watoto kadhaa
Kama munavyo jua kuhusu Tendo la ndoa kwenye ndoa, Kuna muda mke anaweza kujiachia kushiriki tendo na Kuna muda anaweza kukaza kwamba hataki, lakini ukiforce mazingira jambo linafanyika vizuri kabisa
Wiki mbili zilizopita nilihitaji kushiriki tendo na mke wangu, lakini alionyesha kama hataki kwa wakati ule, nikambembeleza hatimaye jambo likafanyika vizuri tuu.
Juzi tumekuwa na mgogoro kidogo nikashangaa ananiambia naomba nikuuliza jambo nikasean sawa niulizie.
Akauliza ""kwanini siku fulani ulinibaka"" Mimi nikabaki na mshangao ""kukubaka kivipi ?"" yeye akakazia "siku fulani ulinibaka "" Mimi nikamjibu tu sijawahi kukubaka mke wangu.
Sasa mgogoro wetu umeisha na tunaendelea na maisha vizuri kabisa lakini sasa nimeanza kumuogopa huyu mwanamke, nahisi anaweza kunipoteza kwenye huu ulimwengu na akanipeleka gizani
Sasa nimeacha kumuomba unyumba Hadi atakapo sema yeye anataka, kama asipotaka basi sitofanya chochote.
NB; huyu ni mke wangu wa ndoa kabisa.