Mke wangu anashindia kanga moko muda wote

Wadau hii hali mpaka inanikera kabisa huyu mke wangu akiwa ndani muda wote anakuwa mtupu tu. Mtoto akienda kucheza na wenzake anavua na kubakia na pichu tu. Binafsi sipendezwi na hii hali nishamwambia aache hii tabia ila hasikii. Muda mwingine umetoka zako kazini mara anakuja kukukalia daaah. Ananiboa sana yaani. Wakuu naombeni ushauri nimkatie tiketi aende kwao au nimuache tu? Napitia kipindi kigumu sana wakuu.
Nahisi ipo hivi, kiwango cha nyege kwa wanadamu kinatofautiana. Sasa ukikutana na mwenye nyege nyingi halafu wewe ndiyo hivyo tena kichwa kina mambo mengi, hapo ni hatari, ipo siku atatafuta pa kutolea nyege zake zilizobakia. Nilikutana na mshkaji mmoja analalamika demu wake anataka kutomb kila siku, kwa nguvu zipi? Hata ukijifanya mwamba, lakini miaka ya mbele injini itawahi kuchoka tu. Ile mashine ni kama injini ya gari, jinsi kilomita zinavyosoma ndivyo na yenyewe inachoka! Unajikuta umefika miaka 40 ngoma imechoka.

Njia mojawapo ya kupunguzia nyege ni kujiweka bize na shughuli mbalimbali. Sasa fanya umfungulie hata genge hapo nyumbani awe bize, la sivyo nyege zitamuua! Kama kuna housegirl mtoe abaki awe bize kuanzia asubuhi mpaka jioni!
 
Sahihi Mzee mwenzangu, awe bize!
 
Wadau hii hali mpaka inanikera kabisa huyu mke wangu akiwa ndani muda wote anakuwa mtupu tu. Mtoto akienda kucheza na wenzake anavua na kubakia na pichu tu. Binafsi sipendezwi na hii hali nishamwambia aache hii tabia ila hasikii. Muda mwingine umetoka zako kazini mara anakuja kukukalia daaah. Ananiboa sana yaani. Wakuu naombeni ushauri nimkatie tiketi aende kwao au nimuache tu? Napitia kipindi kigumu sana wakuu.
Vipi tukusaidie
 
Labda kijana wakiz mkazi una matatizo hiyo Mimi kama msukuma nikipata mwanamke wa hivyo akiwa geto nitakuwa napiga show kutwa mara 10
 
Kuna Wanawake Mashallah.😍😍😍
Washinde tu na kanga.
tena sio Kanga. Mm ningemnunulia vikoi.

Shida inakuja kama huyo mwanamke ana umbo halieleweki.
Yaan ukiangalia huoni kiuno kiko wapi, tumbo kubwa. Mtindi ndio unamwagika had kwenye kitovu,
Miguu spoku, sura haikuridhishi.

Aaagh mzee. Wa namna hii ajisitiri tu kwakweli. Msubiri giza liingie mfanyane mkiwa kwnye giza. 😊😊😊😊😊.
 
Wadau hii hali mpaka inanikera kabisa huyu mke wangu akiwa ndani muda wote anakuwa mtupu tu. Mtoto akienda kucheza na wenzake anavua na kubakia na pichu tu. Binafsi sipendezwi na hii hali nishamwambia aache hii tabia ila hasikii. Muda mwingine umetoka zako kazini mara anakuja kukukalia daaah. Ananiboa sana yaani. Wakuu naombeni ushauri nimkatie tiketi aende kwao au nimuache tu? Napitia kipindi kigumu sana wakuu.
Umri wako tafadhali! Akibabuliwa huko nje usije kutulilia hapa! Changamka na wewe aisee!
 
Back
Top Bottom