Siyo kweli mkuu, asilimia kubwa ya wanawake siku hizi wako hivyo.HII NDO KADHIA YA KUTAFUTA MKE KWENYE VGODORO
Yaani aache mitandao ya kijamii kwa sababu ya upumbavu Wa mkewe? Huo utakuwa double ujinga.Unisntall WhatsApp achana kabisa na WhatsApp alafu leta mrejesho kama utaona hivyo vijembe.
Ubaya ni kuwa anajua kila kijembe akiweka status unaona ila ungekuwa huna WhatsApp wala asingekuwa anapost kijembe zaidi angeugulia moyoni
Mimi mke wangu alipompata kiboko wangu au mwanaume halisi nilijua. Nilichofanya nikukaa kimya na kutafuta ushahidi. Amempata kiboko wako hata kama unampenda sana mkamate kisha piga kimya ajitafakari kama bado anastahili kuendelea kuishi na wewe. Ataondoka tuu aende kwa mwanaume halisi wewe siyo mwanaume kama mimi ni upupu tuu. Unahangaika nini tafuta ushahidi kisha atafurahi ataenda kwa mwanaume halisi siyo upupu.Wazee kwa vijana
wadada kwa wamama.
Jina la bwana lihimidiwe!
Kwa muda mrefu sana hili jambo huwa linatokea baadae linapotea kisha linajirudia tena!
Huyu wife wangu amekuwa akirusha vijembe sana huku whatsap status! Kwa uchunguzi nimegundua kila ikitokea tumepishana kidogo kauli haipiti dakika unakuta ameweka status whatsup:
Mara "USIZARAU DAFU EMBE TUNDA LA MSIMU", siku yingine utakuta "KIKIWA NDANI CHAKO KIKITOKA SIO CHAKO"
LIMEKUSHINDA LIMAO UNAFATA NDIMU"
"WE NI KONOKONO KAMA KONOKONO WENGINE"
"UKITAKA HALUA KUNDU PANUA"
Hizo baadhi ya vijembe ambavyo moja kwa moja najua vinanihusu mimi ni zaidi ya hapo nishamkanya kama anaona tofauti yoyote anieleze kuliko kuanika huko ili kila mtu ajue tumekosana lakini hasikii!
Nikaanza kufikiria niwe namjibu lakini haitakuwa fresh kidume kurushiana maneno mitandaoni. Yaani hata akinipigia simu bahati mbaya sijapokea nikija kuingia tu whatsapp nakuta "MBUZI KUWA NA NDEVU SIO NDIO UANAUME" au "MWANAUME BUKTA".
Kiukweli huwa inanikosesha amani maana kila nikimweleza polepole hanielewi hembu nisaidieni mawazo nifanyaje!
Wazee kwa vijana

Hii nzuriUKITAKA HALUA KUNDU PANUA[emoji2][emoji2]
Anyway fanya hold moja ya status yake then click MUTE hapo hata aandike gazeti hutaliona wewe
Poleni sanaHata wasio waswahili siku hizi wako hivyohivyo. Mi Nina ushahidi Wa wanawake watatu ambao naelewana na waume zao, wana tabia hizi hizi. Yaani huu mtindo nao uanaanza kuota mizizi kwa wanawake kuwatupia vijembe waume zao utafikiri wake wenza. Hili linatokana na usawa unaotafutwa. Yaani kuna mtu katoa thread Jana akasema mwanaume anayedhani demokrasia ndani ya nyumba ndo usasa ahesabu hana ndoa, yuko sahihi 100%.
Ni mwanadada hatar sana huyoNimegundua hiki kipindi cha wanawake live ni chanzo cha matatizo kwenye ndoa nyingi za mjini. Joyce alijifanya mtetezi Wa wanawake kumbe alikuwa anasambaza hisia zake na kuwataka wanawake waige tabia zake.
Atazidishaje wakati huzioni hizo statusSio ndio atazidisha sana
Nimegundua hiki kipindi cha wanawake live ni chanzo cha matatizo kwenye ndoa nyingi za mjini. Joyce alijifanya mtetezi Wa wanawake kumbe alikuwa anasambaza hisia zake na kuwataka wanawake waige tabia zake.