Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,390
Uzinzi ni dhambi ujue.
Shindwaaa
Ww mwnyw unajua hapo cha muhimu ni hizo paja zilivyonona na kung’aa
Hizo picha za mazingira sijui ndio zitakuwaje kwa hii mitego yako

Huoni kama hiyo nayo ni picha mazingira? Ama unaona masofa hapo boss kaka?
Mke kaishia darasa la ngapi? Kuandika hajui. Kwa kifupi ana tabia za uswahilini.Wazee kwa vijana
wadada kwa wamama.
Jina la bwana lihimidiwe!
Kwa muda mrefu sana hili jambo huwa linatokea baadae linapotea kisha linajirudia tena!
Huyu wife wangu amekuwa akirusha vijembe sana huku whatsap status! Kwa uchunguzi nimegundua kila ikitokea tumepishana kidogo kauli haipiti dakika unakuta ameweka status whatsup:
Mara "USIZARAU DAFU EMBE TUNDA LA MSIMU", siku yingine utakuta "KIKIWA NDANI CHAKO KIKITOKA SIO CHAKO"
LIMEKUSHINDA LIMAO UNAFATA NDIMU"
"WE NI KONOKONO KAMA KONOKONO WENGINE"
"UKITAKA HALUA KUNDU PANUA"
Hizo baadhi ya vijembe ambavyo moja kwa moja najua vinanihusu mimi ni zaidi ya hapo nishamkanya kama anaona tofauti yoyote anieleze kuliko kuanika huko ili kila mtu ajue tumekosana lakini hasikii!
Nikaanza kufikiria niwe namjibu lakini haitakuwa fresh kidume kurushiana maneno mitandaoni. Yaani hata akinipigia simu bahati mbaya sijapokea nikija kuingia tu whatsapp nakuta "MBUZI KUWA NA NDEVU SIO NDIO UANAUME" au "MWANAUME BUKTA".
Kiukweli huwa inanikosesha amani maana kila nikimweleza polepole hanielewi hembu nisaidieni mawazo nifanyaje!
Alafu mwanamke kama huyo anaweza kua na vyeti fekiMke kaishia darasa la ngapi? Kuandika hajui. Kwa kifupi ana tabia za uswahilini.

[emoji23]Hebu tudiscuss aliposemaHuyu bidada ana matusi kweli 😡😡
yawezekana alikua anamaanisha nini!?.MWANAUME BUKTA
Yeye ataviona ila yeye mkewake ndo hatamona .mwache azidishe kwasababu wewe huvioni sio tatizo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Wazee kwa vijana