[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukitaka harua upanue nini [emoji28] [emoji28] wallah hio ndoa ingeisha.....
Aisee kama wa kwangu tuu Ila hana maneno kama ya wa kwako.......mm niliisha mpuuzi tuuWazee kwa vijana
wadada kwa wamama.
Jina la bwana lihimidiwe!
Kwa muda mrefu sana hili jambo huwa linatokea baadae linapotea kisha linajirudia tena!
Huyu wife wangu amekuwa akirusha vijembe sana huku whatsap status! Kwa uchunguzi nimegundua kila ikitokea tumepishana kidogo kauli haipiti dakika unakuta ameweka status whatsup:
Mara "USIZARAU DAFU EMBE TUNDA LA MSIMU", siku yingine utakuta "KIKIWA NDANI CHAKO KIKITOKA SIO CHAKO"
LIMEKUSHINDA LIMAO UNAFATA NDIMU"
"WE NI KONOKONO KAMA KONOKONO WENGINE"
"UKITAKA HALUA KUNDU PANUA"
Hizo baadhi ya vijembe ambavyo moja kwa moja najua vinanihusu mimi ni zaidi ya hapo nishamkanya kama anaona tofauti yoyote anieleze kuliko kuanika huko ili kila mtu ajue tumekosana lakini hasikii!
Nikaanza kufikiria niwe namjibu lakini haitakuwa fresh kidume kurushiana maneno mitandaoni. Yaani hata akinipigia simu bahati mbaya sijapokea nikija kuingia tu whatsapp nakuta "MBUZI KUWA NA NDEVU SIO NDIO UANAUME" au "MWANAUME BUKTA".
Kiukweli huwa inanikosesha amani maana kila nikimweleza polepole hanielewi hembu nisaidieni mawazo nifanyaje!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Haaaaa haaaaa....mbavu zangu, wanawake sisi[emoji23] [emoji23]
King'asti na uboora wakeNgumu kukubali eeh? Kama ambavyo mie siamini kuwa vijembe vinakuhusu, nahisi unajistukia tu.
Napenda sana kupiga picha (za mandhari), kuna mtu alikuwa anazoom profile zangu kila siku anataka tuzijadili. Nikaona ananichosha. Yaani nahisi anatamani kuniuliza mbona sibadilishi.
Hata wasio waswahili siku hizi wako hivyohivyo. Mi Nina ushahidi Wa wanawake watatu ambao naelewana na waume zao, wana tabia hizi hizi. Yaani huu mtindo nao uanaanza kuota mizizi kwa wanawake kuwatupia vijembe waume zao utafikiri wake wenza. Hili linatokana na usawa unaotafutwa. Yaani kuna mtu katoa thread Jana akasema mwanaume anayedhani demokrasia ndani ya nyumba ndo usasa ahesabu hana ndoa, yuko sahihi 100%.Umeoa mswahili au mlikutana whatapp group nini
Nimegundua hiki kipindi cha wanawake live ni chanzo cha matatizo kwenye ndoa nyingi za mjini. Joyce alijifanya mtetezi Wa wanawake kumbe alikuwa anasambaza hisia zake na kuwataka wanawake waige tabia zake.Mke wako atakuwa na vinasaba na yule mwanamke wa wanawake live