Mke wangu ananipa wakati mgumu

We handle situation differently. Ilo swala ni gumu kinoma, kwasababu linahusisha mambo mengi yanayoumiza.

1. Mwanamke kacheat
2. Kagongwa dry, maana yake hajali magonjwa.
3. Kabeba na mimba.

Hivi vitu ukivifikiria ndio vinachanganya kabisa akili.
Haya mambo we yasikie tu
 
Wamesema mengi, tumia akili kuchambua yakufaayo , mapuuza , dhihaka na ujinga mwingine achana nao.
 
Kiburi ,jeuri , Magonvi yatokanayo na Mwanamke mwenye Mume /Mpenzi ..Mara nyingi sana ikiwa wee Mume uko poa tu.

Basi ujue hayo yanatokana na yeye kua na Bwana .


Kwa maelezo hayo yako.

1-Ulishatombewa sanaaaaaaa tu mpaka akabeba mimba , yaan sanaaaaaaa .
( Kuna mambo Wanawake Huwa hawana gut ya kusema, mpaka pale mwenyewe aone anakukosea ,Nawewe ni mwema kwake, so anaamua kukiri).


Ulikoswa sana kuanza kumuuliza, umetombwa Mara ngapi, point yako ilikua nn?? Mtombaji Yuko hukohuko na mkeo, na ataendelea kumtomba ...na hizo dakika ishirin alikua anaongea na mtombaji wake, na mtombaji aoamshauri akuzuge Ivo !!


Unaweza kumuacha??? Vunja Ndoa ,OA mwanamke wa Nyumbani.


Huwez kumuacha, basi endelea kumpenda Mke wenu.
 
Ngoja nicheke kwanza afu nitarudinkusoma PDF 😂😂
 
Hii Ni Kamba na chai ya Moto kabisaaa
 
Hivi mkuu pombe inamalizaje CV ya mtu??


Lkn pia nahisi hata mtoto wenu wa miaka 3 si wako.

Andaa Hela pima DNA wewe na mtoto ujue ni wako? Then kama ni wako fuata ushauri wa Mkuu pale Juu #11
 
Mkuu unaweweseka kiwenda wazimu sio ? 🤣🤣Sawa mlumbi
 
Ko ulivouliza kaliwa mara ngp na uyo jamaa ulitaka kufanya nn,au ulitaka kutoa bonus aongeze tena kugegedwa
 
Mke wao au sio. Inaelekea wewe ni gwiji eee. Sisi wamama tunatomber Sana tu, kusuguliwa hakuhitaji siku nzima ya 9 Disemba na Gwaride.

Hata toilet tu, kazi inafanyika Kwa dakika 7-8. Kutiwa ni kitu kinafanyika kiwiziwizi na mwanamke anaweza akainama tu na kazi ikafanyika ikaisha.

Wanaume wanaowaacha wake zao bila huduma muhimu kwanza wake hao huwadharau waume hao na ndio matokeo ya kutiwa.

Kingine ni kwamba wanawake hatupendi au niite hatuhitaji saaaana uwe romantic. Sometimes uwe Simba,uwe mkali, mwanaume unajifanya kila saa unanijali Sana kama mdoli hayupo anayependa... Kwa mfano mdg.....kama kweli harmonize alimlia Dii Frida hata kama Frida analiwa mke wa harmo Leo harmo hapaswi kubebishabebisha.

Nadhani miaka 5 ya ndoa kubebishana ni Kwa kias then mwanaume anapambana.

Mwanaume usimshobokee saaana Dem sio sawa. Be a man. Let her go.

Usinywe pombe Kwa sabab yake, kunywa kwa sababu zako.
 
Unapimwa upepo hapo ushamulikwa hutoboi lazima ukae tu labda kama umefulia hali yako kiuchumi, kama economic state yako iko poa ushanasa. Imeisha hio
 
Neno kut*ombewa limerudiwa mara nne humu bila shaka ujumbe utakua umefika
 
Ni jambo la fasta tu nashangaa sana watu wanaohisi kutombewer ni lazima kuwe na mazingira mazuri au muda mrefu demu akiamua kupigwa pipe ni sekunde tu[emoji16]
 
Aisee pole sana hapo nadhani ni ukweli kwa asilimia zote.Na inaonyesha mkeo hajutii kukupoteza kwa ufupi hakuhitaji tena,ushauri wangu Anza kupunguza mawasiliano nae ili ujiandae endapo amedhamiria kweli kuondoka maishani mwako.
hapa nakazia
 
Una moyo sana.
Mimi ningemwambia kuwa kwa usalama wako talaka ninakutumia kwa Whatsapp.
Mchezo ungeisha.
Yaani wanawake walivyo wakatili angeitoa kimyakimya hata kama ni ya miezi 8 bila wewe kujua.
Mpaka anakuambia hivyo daaaahhh
 
Bro pole Sana dah.... Amua kiumee kaka
 
Hivi mkuu pombe inamalizaje CV ya mtu??


Lkn pia nahisi hata mtoto wenu wa miaka 3 si wako.

Andaa Hela pima DNA wewe na mtoto ujue ni wako? Then kama ni wako fuata ushauri wa Mkuu pale Juu #11
Nadhan inakuharibia cv nzuri. Hilo la kupina kama kunakugombaniwa kwa mtoto utapata majibu sahihi ila kama unataka kujua tuu kama mtoto ni wako ama ha! Jua utaambiwa MTOTO NI WAKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…