"Mke wangu ana tattoo yenye jina la jamaa aliyemtoa bikira"

Wewe unazidi kunivunja mbavu. Isije kuwa namjua huyo kijana. Kuna kijana namfahamu alioa mwanafunzi wa UD. Ndoa ilivunjika wakiwa honeymoon. Mwanamke kasepa mpaka kesho. Hamna aliyewahi fikiri kuwa ni sababu ya kibamia. Mfano mama yangu alikuwa anasema mambo ya ndoa inawezekana wanaamini mizimu huko kwao ndiyo imewaletea nuksi.
Kuna umuhimu wa kupima aisee ili kuepuka kuwa cheaters. Ndio wale wengine wanavumilia lakini unakuta watoto wote wa nje. Maana binti anamrudia ex.

Yaan ndugu acha tu...kwa mda huu kumchukua bila kupima hapana..HATA AKIWA BABAMCHUNGAJI..ntamwambia baba tafadhali ..sitak kukuletea watoto wasio wako..stak kukuibia nje..twende tukapime...mzigo ukiwa robo nasepa..kisa cha kupata aibu?manake watu watauliza vip jen mbona talaka?utaanzaje kujibu?

au kakazako wanaulizwa vp dadayenu kisa cha talaka?
watajibu dada kaona jamaa kiduduHABA?
ahh apana...BABA ATAKA PIMA MIMI...ATAKI DANGANYA....MI OGOPA ADUDU AFUP KM KAPET..akigoma natandaza kinuno kesho yake nampa waraka wa AREJEE ALIKOTOKA KWA KUTUMIA MWONGOZO HUSIKA..

unachek vgezo vyooote mwsho wa siku angaza mwsho wa siku PMAKIFAA..kikionyesha felia basi sifa nyngne zote znakuwa counted as ZERO...

mwanaume bora awe maskini lakin KIU IKATWE..MAHELA NGOO KIDUDU KIDUCHU YAHUU?AKWENDE ZAKE.

Siku nyingine Rose utaambiwa unanyanyapaa walemavu..

KDUDUKIDUCHU ni ulemavu jaman?

kwan uhalali wake ni kwwa kipimo kip?
inch 8?19?

urefu au ufup ni relativ its upon user..thats y kupima muhimu..joyce anaweza sema tom anantosha lakin grace anaweza sema ahh tom jaman kbamia..mage atasema tom mhh anamturinga...

so kila mtu na kipimo chake..hakuna formula moja like size 8 its universal accepted...

chukua kimwanamke cha kichna..then limama la kinyakyusa au nigeria..afu wape mume mmoja..awe ametoka china..WOTE WATARIDHKA?

lazima kuna mtu atasema ahh antosh mwngne atasema yap size

wana jamvi, msaada tutani.
Ni rafiki wangu wa karibu sana. Aliamua kunifuata kwenye chama cha wanandoa hivi karibuni kwa kufunga ndoa iliyoambatana na harusi iliyofana sana hapahapa jijini.
Bahati nzuri au mbaya, hakuwahi fanya mapenzi na mke wake huyu kabla hawajafunga ndoa. Anadai kila alipoomba tunda demu alikataa, hii ikamfanya amwamini sana huyu demu na hivyo kujitosa kuoa kabisa.
Sasa shida imeanzia honeymoon. Jamaa kaona tattoo kwenye paja la kulia la mkewe ikiwa imeandikwa i ikifuatiwa na alama ya moyo na mbele yake kuna jina ango. Mke alipoulizwa kadai alipigwa chapa na jamaa aitwaye ango ambaye ndiye alimtoa bikira.
Rafiki inamsumbua sana, hasa wanapokuwa wakicheza ngoma. Nimemshauri kwa kuwa ana kipato kizuri wakatoe tattoo, ila nahisi ana kinyongo maana analalama kwanini hakuambiwa mapema na demu huyu zaidi ya kunyimwa kumega pale alipohitaji. Sijui nimsaidieje rafiki yangu...

wakati unamuoa hukuiona hiyo? Ungetushirikisha wakati KABLA hujaoa. Msiwe mnafakamia tu wanawake na inawezekana hata ukimwi hamkupima. Halafu hayo ni mambo ya ndani kabisa ni siri kubwa

rafiki yako amebambikiwa....
huyo dada aliona mashine yake hailipi ndio maana akazuga kuficha mpaka siku ya ndoa......
wanawake tujigadhari na sex before marriage,inachakaza mashine zetu na kutuondolea kujiamini.......

Kama haifutiki itamuumiza sana jamaa maishani mwake. Ajitahid aitoe. Kumuacha sio perfect maana ameshaoa. Lakini kwa wale hawajaoa, epukeni wapenzi wanaoficha sana uchi kabla ndoa...

Wengine ni vigumu sana kujua kama ni mwnamke kweli,kwanini akubanie kwanza?
aku,ntajuaje kama wewe sio dume mwenzangu?

Haya mambo yapo, hasa kwa wasichana wa kike wanapoanza mapenzi, wakidhani mfunguaji ndiyo mume mtarajiwa... Mambo ya utotoni. ANGO kwa lugha ya jamaa ni kirefu cha majina kibao, kama Angolwisye yaani kaniongoza.

ANGO kwa kisukuma ni "Eti eh",...

Mimi nadhani huyu mwanamke alijua ni nini anakifanya ndiyo maana alikataa kukutana na jamaa kabla ya ndoa. Japo kuwa sina maana ni lazima kukutana kabla ya ndoa. Na jamaa pengine angeona labda asingemuoa. Makosa haya watu wengi huwa wanafanya ama kwa ushabiki ama kwa kutojua nini kitatokea wakidhani wamepata mtu na mwenzi wa kuwa naye maishani. Na wanajikuta kuwa na alama ambazo ni vidonda maisha yao yote. Najua hata bibie ana wasiwasi hajui itakuwaje baada ya jamaa kuona. Lakini kinachompa moyo ni kama mkristo ukifunga ndoa kutengana ni vigumu. Tatizo hapo litamsumbua jamaa, ni kwa nn hakuambiwa siku zote za uchumba mpaka jamaa aone mwenyewe? Hapo ndipo swala la uwazi na uaminifu linapokuwa na maana. Cha msingi jamaa akubaliane na hali halisi na asonge mbele, japo hata kama ingekuwa mm ningejisikia vibaya sana na pengine nisingekuwa na uwezo wa kuandika haya niandikayo. Tujitahidi sana kuwa wawazi kwa wenzi wetu. Alafu tukumbuke pia kuna mzunguko mkubwa wa maisha watu tunapitia. Kuniambia umewahi kuachwa ama mm nimewahi kuwa msichana tukaachana sioni kama ni nongwa sana.

KDUDUKIDUCHU ni ulemavu jaman?

kwan uhalali wake ni kwwa kipimo kip?
inch 8?19?

urefu au ufup ni relativ its upon user..thats y kupima muhimu..joyce anaweza sema tom anantosha lakin grace anaweza sema ahh tom jaman kbamia..mage atasema tom mhh anamturinga...

so kila mtu na kipimo chake..hakuna formula moja like size 8 its universal accepted...

chukua kimwanamke cha kichna..then limama la kinyakyusa au nigeria..afu wape mume mmoja..awe ametoka china..WOTE WATARIDHKA?

lazima kuna mtu atasema ahh antosh mwngne atasema yap size

Rose duh umegusa wanyakyusa ngoja waje wakuulize wao zao zikoje!! Napita tuu.

duhh!!!
lakin poa ...mavi ya kale....

amchek ,amuhoji km akionekana kweli ni tattoo tu na wala hawaendelei basi poa apotezee..ASKIP KUONA IYO TATTOO...ist pocbo?

kwa utapel uliozagaa siku izi et ..walahi ata mtu akinambia rose pls tusichunguliane mpaka ndoa ahh HAPANA..SIKUBALI....

mara nyng watu wanatumia mbinu iyo km defence flan katika UPUNGUFU WALIONAO..TEST B4 ANYTHNG IS CRUCIAL....

Kuna rafik yangu alimpata jamaa enzi izo tupo mabibo hostel ..jamaa akawa anajifanya mwema sana eti ataki tendo mpka ndoa..bas bibie akawa anajisifia ahh bfrend wangu mtumwema ..nimepata mume mwema...ahh watu wwakamwambia wewe fanya UPEKUZI YAKINIFU USIJE UKAUZIWA MBUZI KWENYE GUNIA ..AHH bwana ndoa ikafungwa usiku honey moon nakwambia jamaa bado anavuga et atak..kachoka basi bibie akalia sana ehh jamaa akasema basi poa ngoja nikupe nakwambia alivyochojoa ahh bibie kidogo atoke nduki..kitu kifup mithili ya funguo wa STARLETi nakwambia..apo ndo kimedinda..ahh bibie mwez tu akatanga ndoa imemshnda..jamaa kidudu kifuuuuuuuuuuuup km mtoto mchanga....

zaman watu walikuwa na maadili wakisema tusifanye basi ni kwa sababu ya maadili na wala hana nia mbaya ..lakinj siku izi watu wanaitumia iyo mbinu kuficha maovu...

mtu anajifanya ahh mi bikra tusidoo mpk unioe...ahh mwisho wa siku ukija kumchek unamkuta bibie ana mattattoo kila pembe ..

paja la kushoto tattoo ya juma,paja la kulia tattoo ya john titi la kushoTo kuna tattoo ya samweli ..titii la kulia tatoo ya tom...**** la kulia tatoo ya ben...ahh wewe usikubali HAKIKISHA MALI/MZIGO KM UPO KAMILI KABLA AUJAUBEBA.

Huyo dada nae hakuwa fair,angekua mvumilivu jamaa angekiongeza urefu kuna mazoezi yake
kwa ajili ya kurefusa (sio dawa)

Ngoja nicheki na Invincible nirudi kwenye ID yangu ya zamani ya ANGO

Ila kuna wanawake wana mioyo ya chuma. Sijuhi kama mimi ningeweza kukimbia wakati wa honeymoon? Kwanza hayo maswali yake. Sijuhi kwao kawaambia ukweli? Huyu naemjua mimi na kanisa limekubali kutoa talaka ila bado sababu haiko wazi; ila mada ya leo inanifanya ni guess.

ha ha ha... NK una mambo weweee....

Ina maana jamaa, kipindi cha uchumba hakuwahi kumuuliza binti alikopita?. Mi nadhani si mbaya ukijua alikopita.Hata hivyo, kama alikuwa na tatoo atakuwa alimpata disco tu.We unampata mdada disco usiku, mnaanza uchumba na kuamua kuoana halafu leo unalalamika nini?.Kama kweli wanapendana wanahitaji kusameheana na kutafuta suluhisho.That was past.Love is greater than that tatoo.
"Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni; haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya; haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli; huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote. " (1 Wakorintho 13:4-8).

Hayo mazoezi kama yapo angeyafanya kabla ya kuoa ili kieleweke kama yana work au la.

Sio kila mtu anayajua,hapa sasa ndo kipimo cha kuona mke mwema kweli,...
angekua anampenda angemshauri waende hata hosptal (kwa kuanzia )kutafuta ufumbuzi,
angeingia sehem kama hizi kutoa duku duku lake (atleast indirect kuficha kua ni mumewe) ili apate ufumbuzi,...

Sasa assume,wangeoana jamaa yuko fit afu akapata ajali na asi function tena,
zingine ni test ndogo kweli ambazo ni mtaji kwetu ku-develop character lakini
tunazikimbia kila siku

duhh!!!

lakin poa ...mavi ya kale....

amchek ,amuhoji km akionekana kweli ni tattoo tu na wala hawaendelei basi poa apotezee..ASKIP KUONA IYO TATTOO...ist pocbo?

kwa utapel uliozagaa siku izi et ..walahi ata mtu akinambia rose pls tusichunguliane mpaka ndoa ahh HAPANA..SIKUBALI....

mara nyng watu wanatumia mbinu iyo km defence flan katika UPUNGUFU WALIONAO..TEST B4 ANYTHNG IS CRUCIAL....

Kuna rafik yangu alimpata jamaa enzi izo tupo mabibo hostel ..jamaa akawa anajifanya mwema sana eti ataki tendo mpka ndoa..bas bibie akawa anajisifia ahh bfrend wangu mtumwema ..nimepata mume mwema...ahh watu wwakamwambia wewe fanya UPEKUZI YAKINIFU USIJE UKAUZIWA MBUZI KWENYE GUNIA ..AHH bwana ndoa ikafungwa usiku honey moon nakwambia jamaa bado anavuga et atak..kachoka basi bibie akalia sana ehh jamaa akasema basi poa ngoja nikupe nakwambia alivyochojoa ahh bibie kidogo atoke nduki..kitu kifup mithili ya funguo wa STARLETi nakwambia..apo ndo kimedinda..ahh bibie mwez tu akatanga ndoa imemshnda..jamaa kidudu kifuuuuuuuuuuuup km mtoto mchanga....

zaman watu walikuwa na maadili wakisema tusifanye basi ni kwa sababu ya maadili na wala hana nia mbaya ..lakinj siku izi watu wanaitumia iyo mbinu kuficha maovu...

mtu anajifanya ahh mi bikra tusidoo mpk unioe...ahh mwisho wa siku ukija kumchek unamkuta bibie ana mattattoo kila pembe ..

paja la kushoto tattoo ya juma,paja la kulia tattoo ya john titi la kushoTo kuna tattoo ya samweli ..titii la kulia tatoo ya tom...**** la kulia tatoo ya ben...ahh wewe usikubali HAKIKISHA MALI/MZIGO KM UPO KAMILI KABLA AUJAUBEBA.[/QUOTE

haaaah haaaah haaah haaaah thus y naipenda Jf yani nimecheka mpaka basi duh, kaz kwel kwel

Back
Top Bottom