"Mke wangu ana tattoo yenye jina la jamaa aliyemtoa bikira"

Sasa umeona tatoo je umechek mlango wa huani kama haujavunjwa?alikuona wewe pono ndo maana ukuchungulia mapema kwataarifa hiyo haitafutika moyoni kwako hata akifuta bado utajua pale kulikuwa na tatoo!mwambie amteme kwani alimwona boya hivyo tupa kule.

Inawezekana ikawa hiyo tatoo inamaanisha TANGO pia kwamba alikuwa anapenda TANGO la bwana ANGO

duhh!!!
lakin poa ...mavi ya kale....

amchek ,amuhoji km akionekana kweli ni tattoo tu na wala hawaendelei basi poa apotezee..ASKIP KUONA IYO TATTOO...ist pocbo?

kwa utapel uliozagaa siku izi et ..walahi ata mtu akinambia rose pls tusichunguliane mpaka ndoa ahh HAPANA..SIKUBALI....

mara nyng watu wanatumia mbinu iyo km defence flan katika UPUNGUFU WALIONAO..TEST B4 ANYTHNG IS CRUCIAL....

Kuna rafik yangu alimpata jamaa enzi izo tupo mabibo hostel ..jamaa akawa anajifanya mwema sana eti ataki tendo mpka ndoa..bas bibie akawa anajisifia ahh bfrend wangu mtumwema ..nimepata mume mwema...ahh watu wwakamwambia wewe fanya UPEKUZI YAKINIFU USIJE UKAUZIWA MBUZI KWENYE GUNIA ..AHH bwana ndoa ikafungwa usiku honey moon nakwambia jamaa bado anavuga et atak..kachoka basi bibie akalia sana ehh jamaa akasema basi poa ngoja nikupe nakwambia alivyochojoa ahh bibie kidogo atoke nduki..kitu kifup mithili ya funguo wa STARLETi nakwambia..apo ndo kimedinda..ahh bibie mwez tu akatanga ndoa imemshnda..jamaa kidudu kifuuuuuuuuuuuup km mtoto mchanga....

zaman watu walikuwa na maadili wakisema tusifanye basi ni kwa sababu ya maadili na wala hana nia mbaya ..lakinj siku izi watu wanaitumia iyo mbinu kuficha maovu...

mtu anajifanya ahh mi bikra tusidoo mpk unioe...ahh mwisho wa siku ukija kumchek unamkuta bibie ana mattattoo kila pembe ..

paja la kushoto tattoo ya juma,paja la kulia tattoo ya john titi la kushoTo kuna tattoo ya samweli ..titii la kulia tatoo ya tom...**** la kulia tatoo ya ben...ahh wewe usikubali HAKIKISHA MALI/MZIGO KM UPO KAMILI KABLA AUJAUBEBA.

yaani wewe ni kauzu zaidi ya dagaa lol

Sasa umeona tatoo je umechek mlango wa huani kama haujavunjwa?alikuona wewe pono ndo maana ukuchungulia mapema kwataarifa hiyo haitafutika moyoni kwako hata akifuta bado utajua pale kulikuwa na tatoo!mwambie amteme kwani alimwona boya hivyo tupa kule.

kama kila muoaji akijifanya anatazama mlango wa nyuma haujatumika au la ndo aoe
basi ndoa zitakuwa chache mno siku hizi trust me lol

Ze mkuu mambo simambo simambo kama unataka kuoa na unaona umeshafika dau jaribu uhani ukiona umefunguliwa na wewe nimgeni waheshima ujue geuza jeshi litatekwa lote kawaida mgeni waheshima akipotea akaingilia uhani haraka uambiwa abadani pita mbele huku nikwa wanawake!...lol!

Yaan ndugu acha tu...kwa mda huu kumchukua bila kupima hapana..HATA AKIWA BABAMCHUNGAJI..ntamwambia baba tafadhali ..sitak kukuletea watoto wasio wako..stak kukuibia nje..twende tukapime...mzigo ukiwa robo nasepa..kisa cha kupata aibu?manake watu watauliza vip jen mbona talaka?utaanzaje kujibu?

au kakazako wanaulizwa vp dadayenu kisa cha talaka?

watajibu dada kaona jamaa kiduduHABA?

ahh apana...BABA ATAKA PIMA MIMI...ATAKI DANGANYA....MI OGOPA ADUDU AFUP KM KAPET..akigoma natandaza kinuno kesho yake nampa waraka wa AREJEE ALIKOTOKA KWA KUTUMIA MWONGOZO HUSIKA..

unachek vgezo vyooote mwsho wa siku angaza mwsho wa siku PMAKIFAA..kikionyesha felia basi sifa nyngne zote znakuwa counted as ZERO...

mwanaume bora awe maskini lakin KIU IKATWE..MAHELA NGOO KIDUDU KIDUCHU YAHUU?AKWENDE ZAKE.

U made my day ile quote ya mwanzo ilikuwa kali saaana. Funguo ya star let hahahahahahahhaahah

Mwambie kama anaona uchungu,yeye achomoe aikojolee hiyo tatoo,halafu ibadilishwe iwe picha ya zabibu au kitita ha zabibu halafu waandike maneno haya baada ya picha.
"NI ZAKO ZABIBU,KULA TARATIBU."

Mwambie kama anaona uchungu,yeye achomoe aikojolee hiyo tatoo,halafu ibadilishwe iwe picha ya zabibu au kitita ha zabibu halafu waandike maneno haya baada ya picha.

"NI ZAKO ZABIBU,KULA TARATIBU."

Duh! Acha utani bwana.

duhh!!!
lakin poa ...mavi ya kale....

amchek ,amuhoji km akionekana kweli ni tattoo tu na wala hawaendelei basi poa apotezee..ASKIP KUONA IYO TATTOO...ist pocbo?

kwa utapel uliozagaa siku izi et ..walahi ata mtu akinambia rose pls tusichunguliane mpaka ndoa ahh HAPANA..SIKUBALI....

mara nyng watu wanatumia mbinu iyo km defence flan katika UPUNGUFU WALIONAO..TEST B4 ANYTHNG IS CRUCIAL....

Kuna rafik yangu alimpata jamaa enzi izo tupo mabibo hostel ..jamaa akawa anajifanya mwema sana eti ataki tendo mpka ndoa..bas bibie akawa anajisifia ahh bfrend wangu mtumwema ..nimepata mume mwema...ahh watu wwakamwambia wewe fanya UPEKUZI YAKINIFU USIJE UKAUZIWA MBUZI KWENYE GUNIA ..AHH bwana ndoa ikafungwa usiku honey moon nakwambia jamaa bado anavuga et atak..kachoka basi bibie akalia sana ehh jamaa akasema basi poa ngoja nikupe nakwambia alivyochojoa ahh bibie kidogo atoke nduki..kitu kifup mithili ya funguo wa STARLETi nakwambia..apo ndo kimedinda..ahh bibie mwez tu akatanga ndoa imemshnda..jamaa kidudu kifuuuuuuuuuuuup km mtoto mchanga....

zaman watu walikuwa na maadili wakisema tusifanye basi ni kwa sababu ya maadili na wala hana nia mbaya ..lakinj siku izi watu wanaitumia iyo mbinu kuficha maovu...

mtu anajifanya ahh mi bikra tusidoo mpk unioe...ahh mwisho wa siku ukija kumchek unamkuta bibie ana mattattoo kila pembe ..

paja la kushoto tattoo ya juma,paja la kulia tattoo ya john titi la kushoTo kuna tattoo ya samweli ..titii la kulia tatoo ya tom...**** la kulia tatoo ya ben...ahh wewe usikubali HAKIKISHA MALI/MZIGO KM UPO KAMILI KABLA AUJAUBEBA.
hahahaa sasa nimejua mnachokipenda wadada...

Yaan ndugu acha tu...kwa mda huu kumchukua bila kupima hapana..HATA AKIWA BABAMCHUNGAJI..ntamwambia baba tafadhali ..sitak kukuletea watoto wasio wako..stak kukuibia nje..twende tukapime...mzigo ukiwa robo nasepa..kisa cha kupata aibu?manake watu watauliza vip jen mbona talaka?utaanzaje kujibu?

au kakazako wanaulizwa vp dadayenu kisa cha talaka?
watajibu dada kaona jamaa kiduduHABA?
ahh apana...BABA ATAKA PIMA MIMI...ATAKI DANGANYA....MI OGOPA ADUDU AFUP KM KAPET..akigoma natandaza kinuno kesho yake nampa waraka wa AREJEE ALIKOTOKA KWA KUTUMIA MWONGOZO HUSIKA..

unachek vgezo vyooote mwsho wa siku angaza mwsho wa siku PMAKIFAA..kikionyesha felia basi sifa nyngne zote znakuwa counted as ZERO...

mwanaume bora awe maskini lakin KIU IKATWE..MAHELA NGOO KIDUDU KIDUCHU YAHUU?AKWENDE ZAKE.
kwa mtaji huu sie wenye package za ukweli tutaendelea kuwa galagaza sana hawa

........hakuwahi fanya mapenzi na mke wake huyu kabla hawajafunga ndoa. Anadai kila alipoomba tunda demu alikataa, hii ikamfanya amwamini sana huyu demu na hivyo kujitosa kuoa kabisa.

....... ila nahisi ana kinyongo maana analalama kwanini hakuambiwa mapema na demu huyu zaidi ya kunyimwa kumega pale alipohitaji.......

Ina maanisha.. Binti hakuwa muwazi kwa mtarajiwa juu ya maisha yake ya nyuma..either alikuwa anampenda na kuogopa kutoswa au kwa upande wa pili binti alikuwa hampendi mtarajiwa kwa dhati ila alikuwa anataka ndoa....

Issue ni kuwa siri ya tatoo imeonekana kwa macho na pia inaweza futika lakini .. Je kuna siri ngapi ndani ya moyo wa binti ambazo hazionekani kwa macho? Time will tell!

KDUDUKIDUCHU ni ulemavu jaman?

kwan uhalali wake ni kwwa kipimo kip?
inch 8?19?

urefu au ufup ni relativ its upon user..thats y kupima muhimu..joyce anaweza sema tom anantosha lakin grace anaweza sema ahh tom jaman kbamia..mage atasema tom mhh anamturinga...

so kila mtu na kipimo chake..hakuna formula moja like size 8 its universal accepted...

kyusa au nigchukua kimwanamke cha kichna..then limama la kinyaeria..afu wape mume mmoja..awe ametoka china..WOTE WATARIDHKA?

lazima kuna mtu atasema ahh antosh mwngne atasema yap size
Wewe unaweza kuwa ni mwanaume..na kama ni mwanamke,dada haya uyaongeayo(ndani ya chupi ya men) ni sumu mbaya mbele ya m'me..

yaani wewe ni kauzu zaidi ya dagaa lol
Msamehe bure ndugu yangu..huyu aweza kuwa men..w'me wengi hii kuwa na ukubwa tunadhani kuna tija kubwa..2.5 to 3inches za m'ke zinatosha yeye kuridhika (act of mariege by lahaye)..thats why lesb.wanatoshana..kijipiece cha ulimi kinatoshaga..

duh! Pole mkuu najua umeingiwa hofu hapo, chamsingi nawe mchole yako! teh!

huyo ni mke mzuri kwani hukumuuliza kabla kama amewahi kuduu, kwahiyo kakwambia ukweli kuwa huyo jamaa ndo aliyekufungulia mlango.....ungeumia kama hilo jina la kwenye tatoo jamaa unamfaham lakini kumbe humfaham we ipotezee

ukiamua kuoa usiangalie sana historia!waweza kuta wenye history nzuri ndio vimeo balaa!kama ana regret hiyo kitu ipotezee tu!fanya mpango wa kuifuta basi life iendelee!

Ndo maana mnaambiwa mtest kwanza, ona sasa unaishi na JINA la mme mwenzio kwenye mali zako. Huyo dada kakuzidi ujanja, ukiona mtu anajihami sana hasa wakati wa uchumba kuwa mwangalifu sana. Kuna wengine utasikia sifanyi mpaka tuzime taa, na hawi huru kabisaaaa. Angalizo hebu jaribu lucheki na banda la uani kamanda unaweza kuta njia nyeupeeeeee wlishapita watu zamaaaani, maana hayo ma tattoo yanaendana sana na mapenzi ya ajabu ajabau!!

Huyo dada nae hakuwa fair,angekua mvumilivu jamaa angekiongeza urefu kuna mazoezi yake
kwa ajili ya kurefusa (sio dawa)

km angeshirikishwa tatizo toka mwanzo poa....lakin kwa swaga izi za kuuziana mbuzi kwenye gunia afu uambiwe NIVUMILIE APANA..asi alijifanya mjanja?
yaan unatafuta aman vtan?
au vta vtan?

ANGESEMA MAPEMA ....MTU UNAAMUA kwa mapenz yako..ahh poa ntamvumilia lakin hiii ya nimekuja kugundua afu ndo beb nipe mda ahh wap..NINGEMTOA NDUKI ATA NGEKUA MIMI..KANIONAJE?
AS ALIJUA NI TATIZO NDO MAANA AKUNAMBIA MAPEMA..ahh we apa akuna excuse ni seeeeeeeeeeeepa mazima!!!!

Back
Top Bottom