Mke wangu ana tatizo kubwa msaada please

Mke wangu ana tatizo kubwa msaada please

pole saana......tafuta vitabu vya kisaikolojia mpe
aweze kujitambua taratibu
 
Mpeleke kwa daktari wa kisaikolojia akampime ugonjwa wa depression! Huenda anao! Akipewa dawa, things will be fine.
 
Kama unampenda mtu na kumuona mtu ana tatizo kama hilo kamwe huwezi kumuignore yawezekana mwenyewe anajiona yupo sawa tu...

Ila mitihani iliyomkuta huyo mdada ni mizito inatia huruma sana hadi kuathiri maisha yake

Sawa mamy
 
mimi ningekuwa ni wewe ningemwiignore .. mpaka yeye aamue kutoa kilichopo moyoni bila yeye kuwa tayar ni ngumu kumsaidia kimtazamo wangu mimi lakini sina hata reference hata moja

Mama ulivyo ji defend umenifurahisha sana
 
Yaani mpaka umemuoa na kuishi naye ulikuwa hujui historia yake? Hata kuwa wazazi wake walifariki wakati gani, hapo pana shida na hiyo ndoa itakusumbua sana

Da ningejua namba yako ya simu ningekutunia vocha ya 10000 mana umecoment vizuri. Kumbe jf kuna ma genius.
 
May b humwambii kwa njia ya upole na ukimuona yp ktk hali km hiyo muache mpaka hacra ziishe ndo umueleweshe
 
Ndugu wanajamvi.

Ndoa yangu imekuwa na mtikisiko kidogo ambao kwa kiasi fulani unanipa shida hivyo nakuona kama vile mke wangu hanifai kwa sasa.

Anaonekana ana tatizo la kisaikolojia na hivyo kugeuza jambo lolote analoambiwa kuwa negative yaani kila jambo analiona kwa mtazamo hasi.

Mfano anaweza kuwa amekosea then nikamwambia mke wangu hapa umekosea basi yatatoka maneno kumi, yaani mimi namnyanyasa, na mengine mengi.

Mwanzoni nilikuwa nachukia mpaka nampiga lakini nilivyoona bado hajirekebishi nakaanza kutafuta nini chanzo hasa,
nikajaribu kuchunguza pengine ameanza kuchepuka hakuonekana hivyo.

Pengine marafiki zake wanamjaza ujinga nikagundua hapana. Nikajaribu kufuatilia historia yake vizuri jinsi alivyo zaliwa na jinsi alivyolelewa.

Nilichokigundua wazazi wake yaani mama baba walifariki akiwa mdogo sana na hivyo kuishi na shangazi yake, lakini shangazi yake akawa anatreat vibaya hata na ndugu wengine wakawa kama vile hawamthamini

Aliamua kutoka kwa shangazi yake kwa kukimbia na kwenda kuishi kwa mama yake mdogo.
Lakini nako kukawa hivyo hivyo.

Sasa amekuwa hivyo kwenye akili akajijengea kwamba yeye hakuna wa kumthamini, hata ni kimkosea anatoa maneno ya kukata tamaa hivyo lakini namuomba msamaha then anakuwa sawa.

Naombeni ushauri nini nifanye maana kumpeleka kwa wanasaikolojia nahisi ataona kama nimetoa mambo yake nje. Anasumbuliwa na kitu asichokijua yeye.

mpeleke tu kwa mwanasaikoloji tatizo litaisha utafurahi mwenyewe
 
Onyesha upendo,Tambua ana majeraha kichwani,mshawishi amche mungu kwa ibada mara kwa mara,hii itamsaidia kusamehe.
mpe kadi yako ya ATM,uwe unaiweka pesa kwa matumizi yake binafsi,hii itampa mtazamo wa security na kuwa anajaliwa.
Ongeza Dozi kila Asubuhi,atajua kuwa anathaminiwa kama mpenzi na sio kama mke.
Pole sana,ndo msalaba wako jifunze kuu furahia
 
ndugu wanajamvi.

Ndoa yangu imekuwa na mtikisiko kidogo ambao kwa kiasi fulani unanipa shida hivyo nakuona kama vile mke wangu hanifai kwa sasa.

Anaonekana ana tatizo la kisaikolojia na hivyo kugeuza jambo lolote analoambiwa kuwa negative yaani kila jambo analiona kwa mtazamo hasi.

Mfano anaweza kuwa amekosea then nikamwambia mke wangu hapa umekosea basi yatatoka maneno kumi, yaani mimi namnyanyasa, na mengine mengi.

Mwanzoni nilikuwa nachukia mpaka nampiga lakini nilivyoona bado hajirekebishi nakaanza kutafuta nini chanzo hasa,
nikajaribu kuchunguza pengine ameanza kuchepuka hakuonekana hivyo.

Pengine marafiki zake wanamjaza ujinga nikagundua hapana. Nikajaribu kufuatilia historia yake vizuri jinsi alivyo zaliwa na jinsi alivyolelewa.

Nilichokigundua wazazi wake yaani mama baba walifariki akiwa mdogo sana na hivyo kuishi na shangazi yake, lakini shangazi yake akawa anatreat vibaya hata na ndugu wengine wakawa kama vile hawamthamini

aliamua kutoka kwa shangazi yake kwa kukimbia na kwenda kuishi kwa mama yake mdogo.
Lakini nako kukawa hivyo hivyo.

Sasa amekuwa hivyo kwenye akili akajijengea kwamba yeye hakuna wa kumthamini, hata ni kimkosea anatoa maneno ya kukata tamaa hivyo lakini namuomba msamaha then anakuwa sawa.

Naombeni ushauri nini nifanye maana kumpeleka kwa wanasaikolojia nahisi ataona kama nimetoa mambo yake nje. Anasumbuliwa na kitu asichokijua yeye.
mkuu polesana mkeo ana jini ponoko,jinihili alipendikuona mnaendelea,,so linamfanyamuda mwingi kukuonawewe muasi kama m23;;usihofu kama uamini kabla ya ndoayenu kammeoana akukuwa narabsha zakuachana,,,tenarinatishiaa utaemdamwenyewe kanisani nijui,,hayo ndîô ponokolism,,,dawayao nikufunga nakusalii,jinii hilii likinenepeanasana linageuka kuwa jinimahaba hukonako kazikubwaa kuliko hii,,,maanaa mnakuwa wanaûmewawiri kwenye ndoa wewena mwenzio spiritual husband,,,huyukumtoa garamakubwa. Wahiukmmalize asikunenepee utaishiakubeba ndoo zamajiyakuoga,,amakudeki nyumba hatamkiwa nahgl likisema dekiutadeki all thebest
 
Unmpendasanamkeo emb. Punguzalevel from d to c uwngalie nguvuzake mwanamkekamahuyu achelewikukufanya msukulè kwenyendoasamahani kama tayari,, ilaujacherewaaBATA HATA UMPE KOKOTO ATAHA.,,,,TU cc. Soft copy attached
 
Attachments

  • IMG_4085105812029.jpeg
    IMG_4085105812029.jpeg
    24 KB · Views: 66
  • IMG_16718493085443.jpeg
    IMG_16718493085443.jpeg
    36.5 KB · Views: 66
Mkuu mkemia mkuu ndoa sikia kwamwenzio,,wanasema yakwako ikiwakwako,,isookukuta siyako
 
POA, Fanya Hv, Muache Usimkosoe Kama Miez 2 Hv. Hata Akikosea Mbele Za Watu Uchune, Kua Mpole, Muoneshe Mapenz, Na U2nze Kumbukumbu Ya Makosa Yake, Toa Cku Moja Akikosea, Mwite Chumban Muhoj, Mweleze Mwanzo Wa Makosa Yake, Then Mtandike Mpaka Alainike, Baada Ya Kichapo, Mwambie Sitak Hik Na Hik Kuanzia Leo Ama Ntakurudisha Home, Majeraha Yake Usimpe Pole Wala Kumpleka Hosp, Hatagundua Kama Umechukia, Mchunie Hata Cku 2,onesha Kutomjar, Huku Ukirud Mapema Home Na Mahtaj Kama Kawaida, Ila Usimguse, Atakuomba Samahan Mwenyewe Na HATARUDIA TENA, Sote Tulikua Hvo
Wewe ni mkurya nini?
 
Back
Top Bottom