Mke wangu ana tatizo kubwa msaada please

Mke wangu ana tatizo kubwa msaada please

Pole sana mkuu kama wewe ni mkristo na unaamini habari ya maombi unakaribishwa kimara lutheran pale kila jumamosi mlete mke wako hiyo hali itaisja tu baada ya muda mfupi maana kuna kitu amebeba moyoni mwake anachohitaji kufunguliwa kwa maombi .Huduma ni bure garama yako ni nauli ya kutoka uliko kuja kanisani basi.Mungu akusaidie
 
Ah Karucee! Unajibu kwa kifupi hivyo pamoja na masaikolojia yako yote!

Of course nimejiuliza maswali mengi sana kama how much we really know about the people we are married to but haimaaidii mtoa mada.
 
Last edited by a moderator:
mh!!!!!!!!! ulikua hujui historia yake, - tena kama wazazi walisharest in peace. umewezaje kuoa na hali usijue kama wakwe zako walishaiacha hii sayari ya malavidavi. a you a real Men? take serious bana, je kama unaishi na jambazi au mchawi? men sometime u a .......... hakuna ndoa hapo
 
Mnataka kumlia tu hela huyu mkaka,tatizo la mkewe sio kubwa kihiivyo lol azidishe upendo,ampe compliments za mara kwa mara,amshirikishe kwenye mambo yake then ataona signifficant change 
Dada yangu, with all due respect: Hatufahamiani kwa sura, hata huyo Riwa simfahamu kwa sura, hata mtoa mada pia. Hakuna haja ya kunikebehi kwa ushauri wangu niliotoa. Kama unaona tatizo la mke wa jamaa ni dogo, no worries pia, ni mtazamo wako na wala siwezi kukupinga au kukuchukia kwa kuwa na mtazamo tofauti na mimi, kwa sababu hiyo ndio dunia, lazima tuwe tofauti ili iendelee. Mawazo tofauti kutoka kwa watu tofauti ndo yanaiendesha dunia. Umewahi kufikiri wote tungekuwa na mawazo sawa dunia ingekuwaje? Ulichokosea wewe dada yangu Jestina ni KUTUSHUTUMU mimi na Riwa kuwa tunataka kumlia hela huyo jamaa!! Hapo umekosea, nilitoa comment hiyo kwa nia nzuri kabisa kutoka uvunguni mwa moyo wangu. Natanguliza kuomba msamaha kama imetafsiriwa kuwa tunataka kumla mtu hela zake; sijawahi kuwa na nia hiyo.
Mwisho kabisa, kwa sababu mtoa mada ni mtu mzima, yeye atachambua kila aina ya ushauri atakaoupata humu na kwingineko, atachagua utakaomfaa na kuufanyia kazi, haina haja ya sisi watoa ushauri kukebehiana.
 
Last edited by a moderator:
Mi pia nina hilo tatizo kwangu, naye historia kidogo ifanane na ya huyo wa kwako, tho wangu inawezekana hajafika extent hyo.
 
Nnakushauri jaribu kwenda nae kwa watoa ushauri nasaha maana inaonyesha mkeo ana tatizo kubwa la kisaikolojia so ukimpeleka kwenye watu ambao wamesomea masuala hayo watakuwa wa msaada mkubwa sana kwako na kukusaidia kuokoa ndoa yako

Dear kwa hili it will take a little time kwa Kaka yetu ku mention . Trust me akianza na hili bila ya yeye kuwa karibu nae it will make worse . Sio victims wote wako okay kushare vitu vyao kwa psychologist , it takes a process and time . Kaka yetu akifanya hivi Mke atamchukia zaidi ataona kama vile anamuona amechanganyikiwa (Fikira za mke) . Na hatomuamini tena mumewe . Thanks.
 
Duh! Hilo ni Bomu zito, pole sana.
Mtafutie msaada wa wanasaikolojia itamsaidia sana.
 
POA, Fanya Hv, Muache Usimkosoe Kama Miez 2 Hv. Hata Akikosea Mbele Za Watu Uchune, Kua Mpole, Muoneshe Mapenz, Na U2nze Kumbukumbu Ya Makosa Yake, Toa Cku Moja Akikosea, Mwite Chumban Muhoj, Mweleze Mwanzo Wa Makosa Yake, Then Mtandike Mpaka Alainike, Baada Ya Kichapo, Mwambie Sitak Hik Na Hik Kuanzia Leo Ama Ntakurudisha Home, Majeraha Yake Usimpe Pole Wala Kumpleka Hosp, Hatagundua Kama Umechukia, Mchunie Hata Cku 2,onesha Kutomjar, Huku Ukirud Mapema Home Na Mahtaj Kama Kawaida, Ila Usimguse, Atakuomba Samahan Mwenyewe Na HATARUDIA TENA, Sote Tulikua Hvo
Huu ushauri kiboko haya mtoa mada kazi kwako
 
Nafikiri kulingana na maisha aliyopitia mkeo ni kweli yamesababisha majeraha kadhaa moyoni mwake . Unachoweza kufanya


  • Kusali na kuomba watu wa kiroho wawe pamoja nanyi . Najua kwenye kushare neno la Mungu na kwa vile kunakua na uwepo wa Roho mtakatifu atajikuta majeraha yake yanapona lkn si kwa siku moja .
  • Afanyiwe huduma ya inner healing . Huduma hii inasaidia sana kuponya majeraha ya ndani . Ila inapaswa kufanywa na watu wenye imani ya kweli kwa Mungu. Tena watu hao waweza kukupa maelekezo ili ikiwezekana wewe na mkeo muwe mnafanya sala flani kila siku na mwisho utaona matokeo mazuri
  • Huyu mama unapaswa kuzungumza nae yale yanayokukera ila uzungumze kwa hekima bila kumuhukumu. Naamini kama kweli anataka kuijenga ndoa yake mtaelewana na yeye atakuambia yale yanayomkera juu yako. Unajua ndoa ni muunganiko wa watu wawili ambao sio perfect hivyo husaidiana kuufikia ukamilifu . Kila mmoja akiwa na wajibu wa kumsaidia mwenzake. Mkiamini hivi basi kila mmoja atajitahidi kufanya sehemu yake.
  • Mwisho kabisa napenda tu niseme ndoa ni nzuri mno hasa mkiamua kuijenga kwa pamoja na si umuhimu wa ndoa aone mtu mmoja tu . Ingefaa muwe na role model wenu ili mnapokaa na kuzungumza muitazame hiyo ndoa na kila mmoja atamani kufika hapo.
 
Dada yangu, with all due respect: Hatufahamiani kwa sura, hata huyo Riwa simfahamu kwa sura, hata mtoa mada pia. Hakuna haja ya kunikebehi kwa ushauri wangu niliotoa. Kama unaona tatizo la mke wa jamaa ni dogo, no worries pia, ni mtazamo wako na wala siwezi kukupinga au kukuchukia kwa kuwa na mtazamo tofauti na mimi, kwa sababu hiyo ndio dunia, lazima tuwe tofauti ili iendelee. Mawazo tofauti kutoka kwa watu tofauti ndo yanaiendesha dunia. Umewahi kufikiri wote tungekuwa na mawazo sawa dunia ingekuwaje? Ulichokosea wewe dada yangu Jestina ni KUTUSHUTUMU mimi na Riwa kuwa tunataka kumlia hela huyo jamaa!! Hapo umekosea, nilitoa comment hiyo kwa nia nzuri kabisa kutoka uvunguni mwa moyo wangu. Natanguliza kuomba msamaha kama imetafsiriwa kuwa tunataka kumla mtu hela zake; sijawahi kuwa na nia hiyo.
Mwisho kabisa, kwa sababu mtoa mada ni mtu mzima, yeye atachambua kila aina ya ushauri atakaoupata humu na kwingineko, atachagua utakaomfaa na kuufanyia kazi, haina haja ya sisi watoa ushauri kukebehiana.

Km unaona nimekukebehi then SORRY...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nitonye...pole sana na tatizo la mkeo...kwa jinsi ulivyo elezea inaonyesha dhahiri kuwa mkeo ana tatizo la kisaikolojia...inaonekana tangu udogoni mwake yeye alikuwa mtu wa kulaumiwa tu..na kusemwa vibaya hali ambayo imepelekea kuwa kama unavyomuona leo...lakini nakusisitiza kitu cha muhimu sana...usipende kumfokea kwa mambo madogo madogo bali yakupasa kumwelewesha kwa upole wa hali ya juu...unapomfokea unamkumbusha mambo mabaya aliyopitia huko nyuma na anashindwa kukutofautisha na ndugu zake waliokuwa wakimnyanyasa....inakupasa uonyeshe tofauti kati yako na nduguze.....na kitu pekee kitakacho kutoutisha na watesi wake ni kumpenda na kumjali na wala sio kumlaumu....na kumsema vibaya kwani mateso aliyopitia nyuma yanatosha...na sasa anahitaji pumziko..na mtu pekee anayepaswa kumpa pumziko kwa sasa ni wewe pekee....kwa hiyo nakushauri timiza wajibu wako...uwe unamsifia akifanya jambo zuri na pia uwe unampa tumaini kila anapokata tamaa...uwe unampa furaha kila ajawapo na huzuni...na pia uwe unampa tumaini kila akatapo tamaa.....
Kila la ndugu na nakutakia ndoa njema na yenye baraka tele...
 
Last edited by a moderator:
Hata yeye mwenye huwa anamtaja taja shangazi kuwa ni mtu katili kwake




Duh kulelewa mashangazi kunahitaji moyo jamani asikwambie mtu jamani...shangazi!shangazi! Shangazi!!!!! Nina shangazi yangu tangu mwaka 2006 hadi leo hii hatuongei jamani! Nimejishusha sana lkn wapi na ukiangalia yeye ndiyo alienilea mweeeeehh!!!
 
Wan awake wengi wanasumbuliwa na Jini Mahaba (spiritual husband) hivyo anayefanya hayo yote si yeye Bali ni hilo Jini Lililoko ndani yake. Lengo la Jini ni kuwatenganisha. Hebu muulize Kama huwa anaota ndogo akifanya mapenzi.
Dawa pekee mpeleke kwenye maombi akaombewe tatizo litakwisha mara moja. Ukienda kwa waganga utazidisha tatizo
 
Mkuu nitonye, that's serious issue but you can handle it.

Umeshagundua tatizo lake kwahiyo tayari una nafasi kubwa ya kutatua ama kupunguza tatizo kwa kiasi kikubwa! Kumpeleka kwa mwanasaikolojia ingekuwa ni best option but it can turn everything upside down. Unless kama ni very understanding otherwise atakuona ndo wale wale... yaani hivi sasa ndo unamuona chizi!!! But who can be the best psychologist than the hubby himself? Find out the way, and take it slowly till she understands and later admits kwamba ana tatizo! But be careful, don't force her to understand kwamba ana matatizo. Take it slowly, step by step, husuani pale anapoonekana kuwa yupo kwenye mood mzuri! Likewise, don' ever let someone else play this important role... to make her understand and admit that she's a problem... be it your role, and no one's else! REMEMBER, you're the best psychologist in this matter hata kama you're the holder of BSc. Agriculture!

Let me tell you something! Yes, wapo watakaosema au labda tayari wameshasema humu kwamba so long as umeshajua tatizo lake then jaribu kujizuia kutofanya yale ambayo unaona yanawaletea migogoro... that's not and can never be a a best option! Ukifanya hivyo, utakuwa tu umetengeneza kiota cha kuhifadhi matatizo yake temporarily. BTW, leo yupo na wewe ambae unafahamu tatizo lake na utajizuia kutofanya yale yanayoleta migongano... now, what about tomorrow, or a day after? Hautakuwa nae milele wakati goal ni kumfanya aishi kikawaida na yeyote wakati wowote na popote!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana ndugu we una afadhali wangu anakuwa kama ana wendawazimu nikimuuzi unakuta kosa lake ila kibao kinanigeukia mimi na baada ya hapo ankiri hatorudia baada ya mwezi kitu inarudi ileile kwa kasi ya ajabu
 
Back
Top Bottom