Mke wangu ana tatizo kubwa msaada please

Mke wangu ana tatizo kubwa msaada please

Jaribu kumuunga mkono na kumtia moyo kwa kila jambo atakalo lianzisha na kulifanya. Ni wewe tu ndiye unaweza kumjengea confidence, na uonyeshe kweli kwamba unampenda kuliko kuanza kufikiria mwanamke huyu sasa hakufai. Nakupongeza kwa kufuatilia na kujua mzizi wa tatizo lake.
 
Mpe hela . Ww mpe hela tu .mpe hela Nyingi sn
Mkuu mjukuum japo ushauri wako hauwezi kutatua tatizo la Mkuu nitonye sio siri nimejikuta nacheka kwa sauti sana.... JF is never boring kweli.
 
Last edited by a moderator:
Katika vitu nilivyojifunza katika maisha ya mahusiano kuna vitu vikubwa vitatu

1. Kujitoa kwa ajili ya umpendae.
2.Kuwa mbinafsi kwa akupendaye na
3. Ni kuwa na maridhiano kwa wapendanao.

Hili la tatu ni wachache wanaojaliwa kuwa nalo wote. Wengi huwa kwenye no1. no. 2. Na kwa nature ilivyo ukikuta mtu kajitoa kwa mpenzi wake.

(1) basi mwenzi atakuwa mbinafsi.
(2). Na ili kujihami ndipo huanza kutengeneza mazingira ya kuficha uhalisia wetu hasa kwa kutafuta uchochoro wa kuwalaumu wenza wetu kwa kile tuanchokuwa tumekikosea ama kuwakoseaa. Hakuna cha psychological effect hapo bali ni ubinafsi. Maneno yangu sio sheriaa.
 
ila nakuomba usirudie tena kumpiga, hamtomaliza tatizo, hapo tu ndo umeharibu, mchape mwanao sio mkeo bro...usirudie hilo kosa.
 
Si Wote Wanaeleweshwa Kwa Upole. Ukiwa Mpole Anakupandia, Na S Wote Wanaeleweshwa Kwa Ukari, Una Angalia Upepo Wake Ndo Mana Akikosolewa Anaongea Naneno Mia. Huyo Anahtaj Awe Mkal Kdogo

Unahitaji na wewe kumuona mwanasaikolojia una sound kama mtu asiyejiamini ndio maana unafikiria kutumia nguvu ndio solution pekee badala ya akili jitofautishe na wanyama wao hawajapewa akili ila nguvu wanazo
 
Kijana Kwanza pole kwa changamoto inayokukabili, fanya yafuatayo kurekebisha, muache akosee mara 2,3 alafu msubiri akiwa Kwenye mood mchape bakora kali hakikisha anaifurahia akishatosheka mwisho kabisa msomee mashtaka yake kwa upole alaf mwambie alipokosea, then mnyuke tena bakora ya mwisho, atakaa tu mstarini huyo.

Uko Vizur, Sema Weye, Hyo Ndo Dawa,
 
[QUOTE=nitonye;
Ndugu, haya ni matatizo yanayowapata wengi na athari zake zinajitokeza kwa namna tofauti. Naomba nikuulize hivi: Mkeo aliwahi kwenda wa waganga?????

Kwa msingi wa matatizo ya mkeo uliyoorodhesha:
1. Tatizo lake ni la Tabia zaidi kuliko psychological issues
2. Its more of emotional trauma than psychological issues
3. Mkeo anajua kuongea na hajui kusikiliza! Ili ajue kusikiliza unapaswa kumfundisha Listening Skills!
4. Mkeo hana mipango ya muda mrefu katika uhusiano na inawezekana sana ana tatizo la woga! Hii inampelekea awe mtu wa kujitetea kila mara hata pale ambapo hapaswi! Anahitaji kuhakikishiwa kila mara kwamba wewe una mipango ya muda mrefu na yeye
5. Kuna maneno uliyosema kwake, na unayopaswa kuyafuta - kama wewe ama yeyote wa karibu nae mlishamwambia kwamba hana akili, hapo mlishamharibu! Hivyo aliamini. Ni wajibu yako kuyafuta haya maneno kwa kubadili matendo yako
6. Mkeo ana shida ya kutokuwa na standards! Hii imemfanya kutokufanya jitihada za makusudi za kujitoa kwenye hali ya unyonge na kuanza mwanzo mpya wa kujitambua. Mwaambie mkeo kwamba: mabaya yaliyotokea huko nyuma hakuyasababisha yeye - na asingeweza kuyazuia yasitokee. Lakini ana wajibu mkubwa sana wa kunyanyuka, kujiinua na kupaa pamoja na wewe (na familia nzima).
7. Mkeo ni sehemu yako. Huwezi kumbadilisha. Unachoweza kufanya ni kumsaidia kwenye barabara ya kuelekea mabadiliko!
8. Hongera kwamba unamuwazia mema mkeo! Sacrifice more!
 
Mke wako anahitaji kupendwa sana na kuwa karibu nae sana.
inapotokea kakosea.mrejeshe kwa upole na usirecall yaliyopita.
 
mimi ningekuwa ni wewe ningemwiignore .. mpaka yeye aamue kutoa kilichopo moyoni bila yeye kuwa tayar ni ngumu kumsaidia kimtazamo wangu mimi lakini sina hata reference hata moja


Kama unampenda mtu na kumuona mtu ana tatizo kama hilo kamwe huwezi kumuignore yawezekana mwenyewe anajiona yupo sawa tu...

Ila mitihani iliyomkuta huyo mdada ni mizito inatia huruma sana hadi kuathiri maisha yake
 
Lazima kuna sehemu una kosea..pengine umekuwa mkali sana sema umeficha! Muoneshe unampenda.
 
Ongeza upendo kwake kwani umeshangundua tatzo lake hatokusumbua tena kuishi naye,, mgonjwa ni wakusaidiwa na sikumuacha kaka....
 
Ndugu wanajamvi.

Ndoa yangu imekuwa na mtikisiko kidogo ambao kwa kiasi fulani unanipa shida hivyo nakuona kama vile mke wangu hanifai kwa sasa.

Anaonekana ana tatizo la kisaikolojia na hivyo kugeuza jambo lolote analoambiwa kuwa negative yaani kila jambo analiona kwa mtazamo hasi.

Mfano anaweza kuwa amekosea then nikamwambia mke wangu hapa umekosea basi yatatoka maneno kumi, yaani mimi namnyanyasa, na mengine mengi.

Mwanzoni nilikuwa nachukia mpaka nampiga lakini nilivyoona bado hajirekebishi nakaanza kutafuta nini chanzo hasa,
nikajaribu kuchunguza pengine ameanza kuchepuka hakuonekana hivyo.

Pengine marafiki zake wanamjaza ujinga nikagundua hapana. Nikajaribu kufuatilia historia yake vizuri jinsi alivyo zaliwa na jinsi alivyolelewa.

Nilichokigundua wazazi wake yaani mama baba walifariki akiwa mdogo sana na hivyo kuishi na shangazi yake, lakini shangazi yake akawa anatreat vibaya hata na ndugu wengine wakawa kama vile hawamthamini

Aliamua kutoka kwa shangazi yake kwa kukimbia na kwenda kuishi kwa mama yake mdogo.
Lakini nako kukawa hivyo hivyo.

Sasa amekuwa hivyo kwenye akili akajijengea kwamba yeye hakuna wa kumthamini, hata ni kimkosea anatoa maneno ya kukata tamaa hivyo lakini namuomba msamaha then anakuwa sawa.

Naombeni ushauri nini nifanye maana kumpeleka kwa wanasaikolojia nahisi ataona kama nimetoa mambo yake nje. Anasumbuliwa na kitu asichokijua yeye.

Kwanza foul number 1 uliyofanya ni kumpiga yaani unampigaje mtu mzima!! Baada ya kupata dalili za tatizo ni nyema ukam-handle vizuri. Pia kabla hujamkosoa mwambie wote ukosea halafu ndio umkosoe, na umjengee tabia ya yeye pia kukukosoa.

Mpende zaidi ili awe na amani hapa duniani kwani hapo kabla yako ameumizwa na nduguze, ukimnyima raha nduguze wasio mpenda watafurahi zaidi, hivyo punish hao nduguze kwa mapendo tele.

foul number 2 - ni kwenda kuomba ushauri nje ya ndoa yenu kwa uwazi!! ingawaje ata huu unaopewa ni ushauri!!!
 
Anahitaji kuonana na dk wakumsaidia kuondoka katika khali hiyo.

Pole
 
Tatizo lako dogo sana.

Haumridhishi, Haumfikishi.

Jitahidi.

inawezekana ni kweli... Na hawezi kumridhisha kwa sababu tayari mkewe anamegwa nje.. Sasa hizo lawama za kila siku za mkewe zinasababishwa na malalamiko ndani ya nafsi yake anajuta kwa nini aliolewa na huyo bwana... Yaani anatafuta vijisababu vitakavyoufanya moyo wake uendelee kuona kwamba ni sahihi yeye kuchepuka..
ushauri wangu ni kuwa huyu jamaa amtege vizuri mkewe na akimbananisha kwenye 18 lazima mke atabadilika..
 
Back
Top Bottom