Mke wangu ana tatizo kubwa msaada please

Mke wangu ana tatizo kubwa msaada please

Huyo kakata tamaa ya maisha. Ni tatzo sugu kweli, anaweza hata kujiua huyo
 
labda humridhishi kwa kitanda....maana ile nayo inaweza kuleta hasira bila mpangilio!
 
No woman deserves this kaka, bas dunian kuna great thinkers kwel...

POA, Fanya Hv, Muache Usimkosoe Kama Miez 2 Hv. Hata Akikosea Mbele Za Watu Uchune, Kua Mpole, Muoneshe Mapenz, Na U2nze Kumbukumbu Ya Makosa Yake, Toa Cku Moja Akikosea, Mwite Chumban Muhoj, Mweleze Mwanzo Wa Makosa Yake, Then Mtandike Mpaka Alainike, Baada Ya Kichapo, Mwambie Sitak Hik Na Hik Kuanzia Leo Ama Ntakurudisha Home, Majeraha Yake Usimpe Pole Wala Kumpleka Hosp, Hatagundua Kama Umechukia, Mchunie Hata Cku 2,onesha Kutomjar, Huku Ukirud Mapema Home Na Mahtaj Kama Kawaida, Ila Usimguse, Atakuomba Samahan Mwenyewe Na HATARUDIA TENA, Sote Tulikua Hvo
 
Usithubutu kumpiga maadam umejua ni tatizo la kisaikolojia. Hapo watakiwa kuwa ni kimbilio lake. Simama upande wake daima tena bila kujificha. Tatua shida zake unapoweza. Fedha ni kipenzi cha roho mpe.pesa nyingi uwezavyo utashangaa furaha itakapotoka.
 
Hiyo tatizo Lipo ktk subconscious mind yake
If u can try to start meditating both of you
It will release all negative energy from subconscious Na mtakuwa free
 
Mkuu nitonye, that's serious issue but you can handle it.

Umeshagundua tatizo lake kwahiyo tayari una nafasi kubwa ya kutatua ama kupunguza tatizo kwa kiasi kikubwa! Kumpeleka kwa mwanasaikolojia ingekuwa ni best option but it can turn everything upside down. Unless kama ni very understanding otherwise atakuona ndo wale wale... yaani hivi sasa ndo unamuona chizi!!! But who can be the best psychologist than the hubby himself? Find out the way, and take it slowly till she understands and later admits kwamba ana tatizo! But be careful, don't force her to understand kwamba ana matatizo. Take it slowly, step by step, husuani pale anapoonekana kuwa yupo kwenye mood mzuri! Likewise, don' ever let someone else play this important role... to make her understand and admit that she's a problem... be it your role, and no one's else! REMEMBER, you're the best psychologist in this matter hata kama you're the holder of BSc. Agriculture!

Let me tell you something! Yes, wapo watakaosema au labda tayari wameshasema humu kwamba so long as umeshajua tatizo lake then jaribu kujizuia kutofanya yale ambayo unaona yanawaletea migogoro... that's not and can never be a a best option! Ukifanya hivyo, utakuwa tu umetengeneza kiota cha kuhifadhi matatizo yake temporarily. BTW, leo yupo na wewe ambae unafahamu tatizo lake na utajizuia kutofanya yale yanayoleta migongano... now, what about tomorrow, or a day after? Hautakuwa nae milele wakati goal ni kumfanya aishi kikawaida na yeyote wakati wowote na popote!

Hii ni best option ever,hongera sana mr kwa kuongezea tenga muda wa kuongea nae mara kwa mara kumuelezea unajisikiaje kwake unavyompenda na vipi unapenda awe,mjengee hali ya kujiamin na kukuamini hiyo itamfanya awe teyari kubadilika na kujitambua kuwa sasa yuko sehemu salama wakati ukifanya haya usiogope matusi wala kejeli utakazo kumbana nazo ila one day mbeleni atakaa sawa atakukumbuka saaana ndugu,nilikua naishi na mama mkubwa niliface mengi ila kuna madam wangu shuleni alikua kila siku ananiweka chini na kunishauri matokeo yake leo namshukuru sana though that time nilikuwa namuona sie kabisa.Pole sana ndugu ila ndio ndoa na akikaa sawa utafurah sana just do something maana still unampenda na kumthamini big up bro
 
Last edited by a moderator:
Inaelekea hata wewe una tatizo ndio maana anakulinganisha na kina aunt.badili tabia kuwa nae karibu ni rafiki ,msiri wako,mpenzi,mthamini,mjali,shirikiana nae USIMTENGE!
Hawezi kumbuka ya nyuma kama humtendei ya nyuma bwana badilika acha mapenzi ya koroboi washa taa Funguka kwake kuwa muwazi utafurahia ndoa .
Onyesha tofauti kati yako na kina aunt
 
Mkuu nitonye...pole sana na tatizo la mkeo...kwa jinsi ulivyo elezea inaonyesha dhahiri kuwa mkeo ana tatizo la kisaikolojia...inaonekana tangu udogoni mwake yeye alikuwa mtu wa kulaumiwa tu..na kusemwa vibaya hali ambayo imepelekea kuwa kama unavyomuona leo...lakini nakusisitiza kitu cha muhimu sana...usipende kumfokea kwa mambo madogo madogo bali yakupasa kumwelewesha kwa upole wa hali ya juu...unapomfokea unamkumbusha mambo mabaya aliyopitia huko nyuma na anashindwa kukutofautisha na ndugu zake waliokuwa wakimnyanyasa....inakupasa uonyeshe tofauti kati yako na nduguze.....na kitu pekee kitakacho kutoutisha na watesi wake ni kumpenda na kumjali na wala sio kumlaumu....na kumsema vibaya kwani mateso aliyopitia nyuma yanatosha...na sasa anahitaji pumziko..na mtu pekee anayepaswa kumpa pumziko kwa sasa ni wewe pekee....kwa hiyo nakushauri timiza wajibu wako...uwe unamsifia akifanya jambo zuri na pia uwe unampa tumaini kila anapokata tamaa...uwe unampa furaha kila ajawapo na huzuni...na pia uwe unampa tumaini kila akatapo tamaa.....
Kila la ndugu na nakutakia ndoa njema na yenye baraka tele...

Thanks sana mkuu naamini ushauri wako utaleta mabadiliko
 
Back
Top Bottom