Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,944
- 15,711
Muache tu na vitu vidogo ivyo na mfukuze endapo kaanza uzinziKidogo nimtimue ndani...

Hi labia wanayo wanawake wengi sana, na na ukimchunguza hapo atakua lazima ana mikopo ile ya vikundi aka. kaushadamu, jaribu kuongeza pocket money yake na usiweke cash nyumbani, hii labia inaweza kwenda mbali hata kuchukua vitu nyumbani kama vyakula.Habari zenu ndugu zangu....,
Nina mke ambaye naishi nae mwaka wa 3, tuna mtoto mmoja wa kike,sasa Kuna Changamoto nimekutana nayo,,,,
Nina tabia ya kuacha pesa kwenye Wallet,,,sasa nikawa nahisi kama Hela inapungua,,,ila nikawa Sina uhakika,,,ila nikiamua kuwa makini niwe na uhakika kama pesa yangu inatolewa,,,
Siku moja niliweka 70,000/= kwenye wallet,,,baada siku kadhaa nikakuta Kuna 55,000,,,,,nakumuuliza mke wangu kuhusu Hela,akawa amekataa,baadae akakubali. ,baada ya kumbana,,,na akairudisha.,,,na ameniambia alishawahi kutoa mara nyingine.
Sasa ndugu zangu nishaurini...Kuhusu huyu mke...na
Kwani nilimtuma?Kwahiyo,,unasaport Wizi?
Mwmbie hiyo tabia mbaya aache tabia za uswaziHabari zenu ndugu zangu....,
Nina mke ambaye naishi nae mwaka wa 3, tuna mtoto mmoja wa kike,sasa Kuna Changamoto nimekutana nayo,,,,
Nina tabia ya kuacha pesa kwenye Wallet,,,sasa nikawa nahisi kama Hela inapungua,,,ila nikawa Sina uhakika,,,ila nikiamua kuwa makini niwe na uhakika kama pesa yangu inatolewa,,,
Siku moja niliweka 70,000/= kwenye wallet,,,baada siku kadhaa nikakuta Kuna 55,000,,,,,nakumuuliza mke wangu kuhusu Hela,akawa amekataa,baadae akakubali. ,baada ya kumbana,,,na akairudisha.,,,na ameniambia alishawahi kutoa mara nyingine.
Sasa ndugu zangu nishaurini...Kuhusu huyu mke...na
Hii kitu nishakihisi...mfano zamani nilikuwa nikinunua gunia la mkaa,linakaa hata miezi miwili,,, sasa hivi hata Mwezi haufiki vizuri gunia limeishaHi labia wanayo wanawake wengi sana, na na ukimchunguza hapo atakua lazima ana mikopo ile ya vikundi aka. kaushadamu, jaribu kuongeza pocket money yake na usiweke cash nyumbani, hii labia inaweza kwenda mbali hata kuchukua vitu nyumbani kama vyakula.
Mpe hela za kutosha ataacha wizi, tatizo lako humpi hela za kutosha. Ubahiri tu.Habari zenu ndugu zangu....,
Nina mke ambaye naishi nae mwaka wa 3, tuna mtoto mmoja wa kike,sasa Kuna Changamoto nimekutana nayo,,,,
Nina tabia ya kuacha pesa kwenye Wallet,,,sasa nikawa nahisi kama Hela inapungua,,,ila nikawa Sina uhakika,,,ila nikiamua kuwa makini niwe na uhakika kama pesa yangu inatolewa,,,
Siku moja niliweka 70,000/= kwenye wallet,,,baada siku kadhaa nikakuta Kuna 55,000,,,,,nakumuuliza mke wangu kuhusu Hela,akawa amekataa,baadae akakubali. ,baada ya kumbana,,,na akairudisha.,,,na ameniambia alishawahi kutoa mara nyingine.
Sasa ndugu zangu nishaurini...Kuhusu huyu mke...na
Inaudhi sana tena sana, si uombe!Wizi ni tabia za kiubinafsi na mipango ya siri.....mwenza mwenye tabia ya wizi tafsiri yake ni mbinafsi na ana mipango mingine ya nje ya muunganiko wa ndoa.......
Kaa uzungumze na umueleweshe kama bado hiyo tabia inaendelea wewe mwenyewe utajua cha kufanya......
Mwanamke mwizi kwenye mfuko wa mumewe ni sawa na wewe unajenga halafu mwenzio anabomoa.......ni agharabu sana kupiga hatua na inapunguza upendo kwa wanandoa......
Kweli kabisa ndugu,,, Kuna wakati Ile Hela kwenye wallet Ina mipango ya kifamilia,,,mwenzio anakurudisha Nyuma kumuubia mumewe,,,Wizi ni tabia za kiubinafsi na mipango ya siri.....mwenza mwenye tabia ya wizi tafsiri yake ni mbinafsi na ana mipango mingine ya nje ya muunganiko wa ndoa.......
Kaa uzungumze na umueleweshe kama bado hiyo tabia inaendelea wewe mwenyewe utajua cha kufanya......
Mwanamke mwizi kwenye mfuko wa mumewe ni sawa na wewe unajenga halafu mwenzio anabomoa.......ni agharabu sana kupiga hatua na inapunguza upendo kwa wanandoa......
Kwahiyo na mume aanze tabia za udokozi, mbugi yake vikao vya familia hadi vitahusishwa...Ndani ya miaka mitatu alikuwa mwizi ama ni tabia mpya
Sema mke na mume ni mwili mmoja...chako ni chake so logically ni "amechukua" 🥴
Unajua undani wake? Anatoka wapi na ana wategemizi wanaomtegemea kama wazazi? Una uhakika hana mtoto wake ambaye amekuficha ambaye anamtegemea?Hii tabia sio ya mara Moja shida
Alijisevia marejesho ya vicoba.Kuwa na amani mkuu.Habari zenu ndugu zangu....,