Ukiona mwanamke "anagubu sana" ujuwe hapati haki ya unyumba anayohitaji.
Wanawake na wanaume tupo wa sampuli tofauti, vijana inabidi mlielewe hilo, kuna mtu kaweka uzi wa kitabu kizuri sana cha kuwafanya vijana mjielewe na muwaelewe wanawake na njia za kutatuwa matatizo. Tatizo kuu la unyumba, vipi unalitatuwa? Bofya chini hapo:
Bustani Yenye Manukato ya Furaha ya Kihisia (1886) na Muhammad al-Nafzawi , iliyotafsiriwa kwa Kingereza na Richard Francis Burton. zinazohusiana : Ngono . Miradi Dada.miradi dada : Makala ya Wikipedia , kategoria ya Commons , bidhaa ya Wikidata . Bustani Yenye Manukato ( الروض العاطر في نزهة...
www.jamiiforums.com