Mke wangu amepanda cheo, ananidharau

Pole sana ni jambo la kawaida kwa wanawake hasa wa Kiafrica bado wanaulimbukeni wa mali na vyeo .
Ushauri wangu ni huu ,iko hivi kisaikologia mwanamke kaumbwa na ubinafsi ,mwanake yoyote ni mbinafsi ndiyo maana wanawake niwagumu kutoa kitu alichonacho. Kitendo cha yeye kuchukua mkopo bila kukuambia huo ni ubinafsi ipo siku atajenga wewe hujui. Kaanaye mueleze mabadiko yake mueleze kwamba hiyo familia ni yakwake hana haja yakuficha kitu.
 
umetoa ushauri mzuri ila sasa kuna semu umekose ,hakuna uwezekano wowote wa mwanandoa kukopa bila mweza wake kujua kwamba kinachokopwa ni nini,kinalipwaje na kinatumikaje.
Pili mtoa maada hajasema hajiamini ,ingekuwa hajiamini asingeweza kuishina naye siku zote hizo.
 
Tunawaambia kila siku. Oeni mke muhitimu wa form four tu inatosha sana
 
Kaa kimia endelea na majukumu yako, vitu alivyokopa kama gari basi jiepushe kulitumia kama unalo la kwako endelea kutumia ukisikia ana jenga kwa siri mwache aendelee kazana kuhudumia familia yako akiwemo na yeye namba moja. Ukiomba mzigo akisema kachoka vumilia siku anapotaka mshughulikie
Kama anatengeneza dharau itayeyuka mara moja akiwa na utaratibu wa kuchelewa kurudi au kuondoka bila kuaga kwa siku kadhaa hama chumba usimsemeshe, usimnunie mwambie aendelee kwa uhuru zaidi.
Mweleze ukweli kuwa familia hiyo ni yenu mliamua kuijenga ubinafsi unatoka wapi? Na ikiwa ameamua kujenga familia nyingine mruhusu kwa amani asijifiche
 
Mke wangu amepanda cheo kazini. Tangu amepata cheo anaonyesha dharau; amebadilika tabia.

Zaidi amekopa benki bila kunitaarifu. Nifanyeje?
Na wewe kopa bank na wewe mletee dharau,Jino kwa jino
 
Isee tuanzishe clinic ya ndoa mkuu tutapiga sana pesa
 
Hiyo ratio yako wewe uliipimia wapi kama siyo hisia zako tu? Acha uvivu wa kufikiria mambo. Usijastify udhaifu wako kwa assumptions!
Acha uvivu nenda kafanye itafiti japo kidogo tu si kubisha haya nakusaidia kidogo kwa Tanganyika Dar es salaam ndio mkoa unaoongoza kwa madai ya talaka nying mahakamani na nying ya madai hayo ni wanawake ndio wanaomba talaka sasa kafatilie mwenyewe nying ya talaka hzo ni za wasomi yani wengi ni wanawake waliokwenda shule pia ni wanawake wanaofanya kazi au wanaoingiza kipato
 
Cha ajabu siku hizi matatizo ya ndoa yanaletwa mtandaoni sio kwa wazee na wachungaji ...no wonder kuna talaka nyingi
 
Njoo nikubusu kwanza.... Umenena vema
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…