Mke wangu amepanda cheo, ananidharau

Mke wangu amepanda cheo, ananidharau

Maskini nilimuona mkeo ofisin kwetu akiwaonga mario pole sana vip hivi siku hizi haki yako unapata?
 
Wewe usimdharau ila mpuuzie... Muoneshe wewe ndiyo man of the house and the husband...
 
Yumkini hakudharau ila wewe umejidharau kwa kudhani unadharauliwa! Be a man!
 
Anakudharau maana yake nini? Amethyst nini hadi amekudharau, toa mifano hai
 
Mke wangu amepanda cheo kazini. Tangu amepata cheo anaonyesha dharau; amebadilika tabia.

Zaidi amekopa benki bila kunitaarifu. Nifanyeje?

Fanya upelelezi kama boss wake ni mwanamke jitahidi uanzishe uhusiano na boss wake na kama boss wake sio wa kike basi fanya mpango kwa staff mwenzie,Na ukishapiga hakikisha mkeo amejua.
Jiuri dawa yake kiburi.
 
Papachi napata tena sana ila mwez mara 3anasingizia amechoka
 
Swali la kizushi kwani mnafanya kazi moja (pamoja)?
Ukijibu hili ntakupa ushauri wa bure
 
Hii ni inferiority unaionyesha, na kamwe haitaijenga ndoa yenu; inawezekana wewe ndio unaanza mjengea mtazamo hasi, baadala ya kumpongeza na kumtia moyo; kukopa bank bila taarifa inaelekea amani kwenu haipo tena kila MTU anajiamulia mambo yake;
 
usipokuwa na msimamo kisa cheo tu,
utapewa mpaka ratiba za kuiona papuchi...

We kaa tu hapo una lia lia....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom