Mke wangu amenizidi mshahara

Mke wangu amenizidi mshahara

Ila hii kweli "USIKUBALI MKE WAKO AKUZIDI PESA ATAKUWA NA KIBURI"

cc Lala 1
 
Last edited by a moderator:
Si ndio ulikonileta?
Sio maada ni Mada na hata hivyo sioni cha kujadili hapa. Kichefuchefu

mada ndio nini? umesoma UDOM nini wewe?
kajifunze kwanza kiswahili ndio urudi jukwaani b.w.e.g.e wewe.... kama unasikia kichefuchefu karambe ndimu, hukuitwa hapa thread zipo kibao ambazo ni size yako.
 
wewe ni mfano tu wa mwanaume ila sio mwanaume. mpk hapo yaonesha bila mkeo husogezi chochote maishani. utakufa masikini na dominated by females. kalagabaho. mfyuuuh
 

If your arealy man and you want to be on top tumia jasho lako baba hangaika mwenyewe kwanza huin ukifanya ivo utakua umezidi kua ----- baba unategemea mwanamke mkigombana si anakuadhirisha amka ww huo uinga baba
 
Mkuu nimecheka sana mpango wako ni balaa, ila nikushauri usifungue kampuni kwa nia ya kumzidi kipato mkeo kwa sababu kama mnashirikiana mafanikio yake ni yenu.
 
Wadau,

mke wangu amenizidi mshahara, kwa mfano: kama mimi napokea mshahara sh laki moja basi yeye anapokea laki mbili-ukijumlisha na house allowance, transport na pesa nyingine zisizo na kichwa wala miguu.

Hii kiukweli siipendi kabisa toka muda mrefu kama mwanaume, sasa nimekuja na mkakati ufuatao wa kumzidi kipato mke wangu ntahitaji mawazo yenu.

Nataka nimshauri mke wangu aende akachukue mkopo bank (mkubwa tu kwa mshahara wake) na baada ya kumchukua mkopo ukichanganya na akiba tuliyonayo nataka tufungue kampuni( tayari nimeshaanza michakato michakato) ambayo mimi nitakuwa msimamizi mkuu wa uendeshaji wa kampuni. Mapato yote yatakayokuwa yakiingia mimi ndio nitakuwa controller kwakuwa yeye kazi yake inambana sana na hawezi kupata nafasi ya kufatilia kwa undani sana biashara inavyoenda.

Kwa mkakati huo hapo juu basi mke wangu atakuwa anakatwa pesa bank kutoka kwenye mshahara wake (kwa miaka mitano mfululizo) huku mimi mshahara wangu ukiwa vile vile-hapo nitakuwa nimeshampiga pigo la kwanza

Kwa kipindi hicho chote mi ndio nitakuwa controller wa ofisi na mpaka inaisha hiyo miaka mitano ya kukatwa pesa ya mkopo na bank basi kampuni yetu itakuwa imekwisha simama na ina generate faida nzuri hivyo hata akishamaliza mkopo na kuanza kulipwa mshahara wake mi nitakuwa naingiza pesa nyingi kwenye kampuni-Pigo la pili


Kampuni isipofanikiwa nitafanya nini?
Nitanunua kiwanja, baada ya hapo nitamwambia akachukue mkopo tena bank mkubwa mara dufu ya ule ambao atalipa hata kwa miaka 10, kisha tunajenga apartments za kupangisha mi ndio nitakuwa mpokeaji wa kodi.

MWANAUME NI MWANAUME TU WADAU, USIKUBALI MKE WAKO AKUZIDI PESA ATAKUWA NA KIBURI.
Karibuni

Duh!!!!!!!!! Umenisikitisha sana kaka yangu watu wanafikiria mambo ya maendeleo wewe unafikiria jinsi gani utamuangusha mkeo!!!!!! Hiyo njia unayotumia ni kutaka kumuangusha kimaendeleo kabisa...... Kweli wewe ni Mpum****Ba***vu
 
ili tuheshimiane mkuu, ajulikane nani baba na nani ni mama

Heshima itazidi kutokuwepo sabab
1. Kampun itakuwa ya wife sabab hela yote iliyotumika kwa ajili ya kuinvest ni yake
2. Hizo apartments zitakuwa za wife wako na wewe utakuwa Mfanyakazi wake tu ktk kusimamia.
If you won't think big utazidi kunyongonyea tuuuuuuu. ... ....
 
Unaweza kuwa msimamizi (manager) wa hiyo kampuni ya familia yeye akawa mkurugenzi yaana jioni unampelekea mahesabu yote.........na pesa isipoonekana utajuta kwa nini ulimwoa. Omba huyo mke wako asiwe mchaga
 
HII KITU INAHUSIKA.
Dada angu aliajiriwa katika taasisi ya serikali inayomlipa vizuri sambamba na marupurupu, semina hazikauki, safari kidogo na overtime. Mme wake alikuwa mwalimu.

Alikimbizwa na hiyo mikopo lakini shida matumizi yake, ilifikia hatua akaamua kwenda shule baada kuchanganywa haswaa sasa amebakiza mwaka mmoja kumaliza masomo hivyo mshahara utapanda na ule mkopo amebakiza miezi.

si hilo tu amejitambua amekuwa mkali na pakusimamia anapo, matumizi mabovu ya awali.

MY TAKE: hiyo kampuni bado itakuwa kwa nguvu ya mwanamke hivyo maisha yako yote mwanaume umewekwa mjini na mwanamke. na ukiendelea kumkera wapo wanaojua jinsi ya kuishi na wanawake waliowazidi kipato
 
hiyo ndo supu ya mawe buana hailiki hainyweki ipo tu kwenye bakuli ha ha ha
 
Unajua na yeye anawaza nini?tega sikio...surprise is on your way !!
 
Back
Top Bottom