Mke wangu amenizidi mshahara

Mke wangu amenizidi mshahara

Utakuwa na matatizo ya kisaikologia au una mapepo. Unahitaji ushauri nasaha au kuombewa mapepo
 
Badala ufikirie namna ya kuongeza kipato chako kihalali, unafikiria kurudisha nyuma familia yako!! Hivi hapo ofisini kwenu hakuna wanawake wenye pay kubwa kuliko wewe? Kama amekuzidi elimu kwa bidii yake iweje ufanye sabotage? Guarantee yako ya kuishi duniani ikoje - yeye kuanza kuondoka au wewe?

Mawazo mengine yanatokana na mtu kushindwa kufikiri nje ya box!!!
 
Akili zako we mtoa mada sijui unatoaga wapi, wanasema akili ni nywele ila nina uhakika wewe akili zako zipo kwenye nywele za kwapani au kwenye 0713 yako. Nakumbuka kuna siku ulianzia uzi ukasema hujawahi kunyoa nywele za kwenye tigo, sasa nina uhakika akili zako zimejihifadhi huko. Pole sana hii ndiyo jamiiforum, a place for great thinkers only
 
Back
Top Bottom