Mke wangu amenifanya nimkinai

Mke wangu amenifanya nimkinai

Yaani michirizi tu inakukera? na akipata ulemavu je? Mkuu relax i hope utapata dawa.

Nje ya mada kidogo, Wakuu kuna dawa ya chunusi usoni kwa mwanamke??

Zipo
 
Wakuu tumehangaika muda mrefu kutafuta dawa ambayo itamsaidia kuondoa michirizi ila kila dawa tuliojaribu haileti mabadiliko.

Kwa kweli anataka kunifanya nichepuke angali bado nampenda, naumia ila naona kabisa nitashindwa kuvumilia, hii imekuja tangu alipojifungua, AME recover ila michirizi ndio shida.

Mwenye kufahamu Tiba ya uhakika tafadhali!View attachment 2049441
Mimi huwa napenda sana hiyo mistari, naomba unipe namba zake halafu wewe nenda kachepuke hata ikibidi beba na mabegi na viatu, niachie taulo niwe najifunga nikimaliza gemu.Anaonekana mtoto mtamu sana huyo
 
Wakuu tumehangaika muda mrefu kutafuta dawa ambayo itamsaidia kuondoa michirizi ila kila dawa tuliojaribu haileti mabadiliko.

Kwa kweli anataka kunifanya nichepuke angali bado nampenda, naumia ila naona kabisa nitashindwa kuvumilia, hii imekuja tangu alipojifungua, AME recover ila michirizi ndio shida.

Mwenye kufahamu Tiba ya uhakika tafadhali!View attachment 2049441
Nitafute inbox nikuelekeze daw

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
WE CHEPUKA TU ILA UWE MWELEWA SABABU KUNA VIJANA WAPYA HAWATAKUWA NA KISUKARI AU PRESHA WAKATI WEWE UNA 50+.

Sasa hivi utachepuka tu maana unatafuta uhalali.

Akipona michirizi utakuja na nyonyo zimelala, kisha maumbile yametanuka, yaani hutakosa sababu.

Mkeo hawezi acha kubadilika umri unavyosogea na anavyokuzalia hivyo chepuka ili na yeye apate uhalali vijana wachezee michirizi hiyo wakati utakapofika.

SIMPATII PICHA ALIVYOPINDISHWA KWENYE CHUMBA CHAKO MWENYEWE WAKATI WW UNAPIMWA PRESHA. MALIPO HAPA HAPA.
 
Hali ya kawaida hiyo, huwatokea kwenye mikono(chini ya bega), miguu (mabajani), tumboni, hasa kwa wale waliokuwa wanene na kupungua kiasi; aboreshe ulaji na ajitahidi tu kuwa msafi na awe ni mtu wa kunukia nukia vizuri ili hamu yako iendelee kuwepo; lakini hayo yote yanahitaji pesa.
 
Mchuma janga hula na nduguze,
Seems utakosa wakula nao hayo majanga unayoyatafuta, all the best
 
WE CHEPUKA TU ILA UWE MWELEWA SABABU KUNA VIJANA WAPYA HAWATAKUWA NA KISUKARI AU PRESHA WAKATI WEWE UNA 50+.

Sasa hivi utachepuka tu maana unatafuta uhalali.

Akipona michirizi utakuja na nyonyo zimelala, kisha maumbile yametanuka, yaani hutakosa sababu.

Mkeo hawezi acha kubadilika umri unavyosogea na anavyokuzalia hivyo chepuka ili na yeye apate uhalali vijana wachezee michirizi hiyo wakati utakapofika.

SIMPATII PICHA ALIVYOPINDISHWA KWENYE CHUMBA CHAKO MWENYEWE WAKATI WW UNAPIMWA PRESHA. MALIPO HAPA HAPA.
JABALI LA KARNE[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Nani kakuambia nitaumwa presha? Umekariri kila MTU mzima ana pressure. Kwa taarifa yako, kwenye ukoo wetu hakuna kisukari, pressure au stroke. Sasa huyo mpaka aliwe na vijana atakosa nini? Kama ni show inaongezeka kadri ninavyozeeka, ukoo wetu tumejaliwa nguvu yaani, iwe mzee au kijana!
 
Mwl Evelyn Salt umeongea kama utani lakini ni kwa hisia sana i can feel that! [emoji24][emoji24][emoji24] maisha hayana formula wengine michirizi tunaipenda wengine wanataka kuacha mke kabisa daa
Khaaaa unaipenda michirizi? Upo kawaida mkuu? Unaonekana mpaka kitambi unakipenda aka mtumbo!
 
Malipo ni hapa hapa dunuani,subiri uje upate ajali kati ya viungo vyako vya mwili vipate shida uone matokeo yake. Ila wanawake tuna huruma mkeo atakuvumilia ukiwa kilema. Wakati wewe michirizi tu unaona kero.

Kama wataka chepuka, wewe chepuka tu ila usitafute sababu.

N.b hata akipata dawa hiyo michirizi haitoko leo inachukuwa muda mrefu kuwa mpole. Kama ukoo wao mama yake na ndugu zake wanayo inaweza isitoke kabisa.jiandae.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom