Mke wangu amelipiza kisasi,nifanye nini.

Mke wangu amelipiza kisasi,nifanye nini.

huu ni uongo mkuu acha kudanganya basi, sio dili sana kuweka thread humu ukapata wachangiaji
 
Kama ni kweli mkanyage talaka tu, utakubari vipi kuwa na mume mwenza wakati hata mifugo haiishi hivyo? Uke wenza ni kitu cha kawaida.
 
apo sameheaneni tu muanze upya..usaliti unaumiza sn
 
Nendeni mkapime kuona kama afya zenu wote hazijaathirika, kisha mkae chini muongee kama wanandoa na kusameheana ili muendelee na "pingu zenu za maisha"
 
Ukila vya watu na vyako vitaliwatu. Kwahiyo mkuu hapo samehetu!
 
Kwenye fumanizi hakuna haja ya msamaha. Hachana na huyo M.alaya, fukuza hako kadog kanakokulindia mifugo yako; kama girlfriend wako yuko tayari ku-care watoto wako; vuta huyohuyo. Kama vipi na ako ka-dog karuhusiwe kumuoa mke wako.
 
Mkeo ni mpumbavu kwa kitendo alichofanya,hakupaswa kulipiza kisasi cha kijinga kama hicho,amejivulisha heshima tena kwa house boy. Na wewe pia jaribu kutulia kama unampenda mkeo,huna right ya kupiga kazi za nje wakati wife wako yupo.Kwa upande mwingine nadhani huna haja ya kufanay kitu chochote zaidi kwa vile wote mmebalance na kama ni equation iko balanced now,kila mmoja atulie vinginevyo mtakufa na ngoma mapema wakati taifa bado linawahitaji!!!

Nafikiri ushauri sahihi ilikuwa ji kwa wote kuacha upumbavu wao kwani sio mke tu hata yeye alotoka nje ya ndoa. Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
 
naona umefikishwa lol! ndio mana sitaajir Houseboy

Sihitaji housegirl wala houseboy; tunaamka wote alfajiri wife, mimi na watoto wetu tunafanya shughuli za hapo skan then kila mmoja anaendelea na majukumu yake ya kila siku.
 
Habari wana jamvi, poleni na majukum ya mwisho wa wiki,
mimi ni baba wa familia ya watoto wawili, ni hivi majuzi tu nilidondosha uzi hapa jamvini kwa kutaka ushauri wenu
nashukuru kwa walionipa ushauri nanikaufanyia kazi japo haujasaidia kivile, uzi wenyewe nilikosea msg kuituma kwa girl friend wangu niliokua namtaka tukutane nae hotel flani, matokeo yake msg ile nikaituma kwa my wife, kilichotokea pamoja na kumuomba msamaha mke wangu, kaamua kulipa kisasi kwa kugegedwa na house boy wetu,
ilikua jana majira ya saa moja jioni nilikwenda kufuat maziwa kwani tuna mifugo nje kido ya mji tuna poishi ambako huyo house boy wetu anatake care hao mifugo, nikiwa njiani naelekea kufuata maziwa, nilimpigia sim my wife ili kujua yuko wapi, cha ajabu sim ilikua inaita bila kupopkelewa, niliamua kuachana nae. Nilipofika nikaanza kumuita yule kijana ili nijue kama kakamua maziwa au bado, hakuitika nikaamua kwenda moja kwa moja mpaka kwenye kibanda ambacho kijana yule hua analala, sikuamini macho yangu baada ya kumkuta my wife akitoa uroda kwa kijana yule bila woga, nilitaharuki nisijue chakufanya, nilikuja kushtuka mke wangu kaisha kimbia,
nilirudi nyumbani huku nisijue nini cha kufanya, nilipofika nyumbani sikumkuta mke wangu,
niliamua kulala kwa kujua atakua amekimbilia nyumbani kwao. Leo kanipigia sim kwa kuniomba msamaha kwa kitendo alichofanya na kilichomsukuma kufanya vile nikulipa kisasi cha kosa nililolifanya mim baada ya kugundua kua kumbe nina girl friend nje,
wana jamvi naombeni ushauri nifanye nini.

Msamehe but kabla hujamtamkia umemsamehe, na kabla hajarudi kwako...
- House boy aondoke kwako haraka...
- Uza Ng'ombe wote mara moja, anzisha mradi mwingine...
- Hata shamba ambalo umefugia ng'ombe uza, kama ipi tafuta sehemu nyingine kama bado unahitaji shamba...

Then mwambie mkeo arudi home...
 
Sihitaji housegirl wala houseboy; tunaamka wote alfajiri wife, mimi na watoto wetu tunafanya shughuli za hapo skan then kila mmoja anaendelea na majukumu yake ya kila siku.

Mkisafiri/ukisafiri/shem akisafiri inakuwaje mkuu?
 
Mkubaliane tu, mambo ya open marriage! Ukipata demu unagonga naye akipata basha anagongwa ila msisahau kondom...
 
Habari wana jamvi, poleni na majukum ya mwisho wa wiki,
mimi ni baba wa familia ya watoto wawili, ni hivi majuzi tu nilidondosha uzi hapa jamvini kwa kutaka ushauri wenu
nashukuru kwa walionipa ushauri nanikaufanyia kazi japo haujasaidia kivile, uzi wenyewe nilikosea msg kuituma kwa girl friend wangu niliokua namtaka tukutane nae hotel flani, matokeo yake msg ile nikaituma kwa my wife, kilichotokea pamoja na kumuomba msamaha mke wangu, kaamua kulipa kisasi kwa kugegedwa na house boy wetu,
ilikua jana majira ya saa moja jioni nilikwenda kufuat maziwa kwani tuna mifugo nje kido ya mji tuna poishi ambako huyo house boy wetu anatake care hao mifugo, nikiwa njiani naelekea kufuata maziwa, nilimpigia sim my wife ili kujua yuko wapi, cha ajabu sim ilikua inaita bila kupopkelewa, niliamua kuachana nae. Nilipofika nikaanza kumuita yule kijana ili nijue kama kakamua maziwa au bado, hakuitika nikaamua kwenda moja kwa moja mpaka kwenye kibanda ambacho kijana yule hua analala, sikuamini macho yangu baada ya kumkuta my wife akitoa uroda kwa kijana yule bila woga, nilitaharuki nisijue chakufanya, nilikuja kushtuka mke wangu kaisha kimbia,
nilirudi nyumbani huku nisijue nini cha kufanya, nilipofika nyumbani sikumkuta mke wangu,
niliamua kulala kwa kujua atakua amekimbilia nyumbani kwao. Leo kanipigia sim kwa kuniomba msamaha kwa kitendo alichofanya na kilichomsukuma kufanya vile nikulipa kisasi cha kosa nililolifanya mim baada ya kugundua kua kumbe nina girl friend nje,
wana jamvi naombeni ushauri nifanye nini.

Pole sana mkuu unajua jambo kama hilo ndio mahali pa kupima IQ yako hakuna wa kukushauri hapo ila ni ww mwenyewe na akili kama wa kiume na uliyekwenda jando la kimila kama ulienda ocean road pole na kingine fikiria wtt zaidi maana hata mkiachana utakutana na pasua kichwa ingine balaa ikawa shida zaidi.
 
Nafikiri muanze maisha upya .its not too late to start afreash mwanaume mpumbavu umevunjandoa kwa mikono yako mwenyewe!!!
 
Back
Top Bottom