Mke wangu amelipiza kisasi,nifanye nini.

Mke wangu amelipiza kisasi,nifanye nini.

Siriaz, sielewi tena maana ya ndoa na/au mapenzi.
 
Kaeni chini mtengeneze na mmurudie Mungu wenu
 
Dah moto hauzimwi kwa moto chukua hatua mapema.
Duh, mbona kuna wengine huwa wanasema dawa ya moto ni moto? Tatizo ni kwamba mke wake kafanya kosa sawasawa na alilolifanya yeye, sasa anaanzaje kumhukumu mwenzake?
 
IQ=NORMAL AGE/MENTAL AGA*100%. we mtoa mada inaonesha IQ yako iko below 25% coz umri wako na mada yako haviendani, we ni mental blotter.
 
poleee
msamehe ila nna wasiwasi uwezo wa kurudia ukawepo hasa ikiwa utamu alioupata na ma ujanja ya houseboy yanakuzidi
 
Huyo house boy ni afadhali umuondoe, hata kama mkiyamaliza na mkeo, uwepo wa huyo kijana hapo utakuwa unaleta kumbukumbu no. Kama jamaa anajua sana kucheza mayenu, basi mkeo anaweza akanogewa, na uwaminifu utakuwa mdogo sana.
 
Mmekutana wote magumegume, hata mkeo alianza zamani ulikua hujagundua na ww haujutii ulichofanya hata hutaacha kutoka nje ya ndoa. Usimwache mwambie aendelee nawe endelea na huyo ulomwita girlfriend. Hiyo nyumba itakua kwa mapumziko mkitoka kufanya umalaya wenu ww na mkeo, mtaamua kama mtafanya tendo la ndoa au kila mtu kivyake
 
IQ=NORMAL AGE/MENTAL AGA*100%. we mtoa mada inaonesha IQ yako iko below 25% coz umri wako na mada yako haviendani, we ni mental blotter.
etiiiiii........ana umri gani vile................wewe IQ yako itakuwa 120% ambalo nalo ni tatizo....
 
vumilia mbona mwenzio kavumilia? Au mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu? Kaa vipi ondoa hb then wewe na mkeo muendelee na maisha
 
Kazi kweli kweli, hadi nashindwa pa kuanzia.

Ila moja fukuza house boy, then fanya utaratibu mkae pamoja ninyi wawili myazungumze nadhani hamjachelewa.

Ninyi nyote mmekutana, hiyo ilikuwa janja tu hakuna cha kulipiza kisasi wala nini, kuna katabia hako kama wewe ulivyo pia.

Mwisho wa yote kubalini/ tukubari kuziheshimu ndoa zetu ni za thamani sana, tunaweza kuwa na tamaa ndio, lakini tusikubali tamaa itushinde na kuongoza maisha yetu ya mapenzi. Tutimize wajibu wetu kwa ndoa, tumpende Mungu na kutenda yampendezayo na kwa kufanya hivyo tutafaidi ndoa zetu katika hali ya amani.

Pole ila jitahidi yaishe ili ndoa iendelee kama awali.
 
Duh, mbona kuna wengine huwa wanasema dawa ya moto ni moto? Tatizo ni kwamba mke wake kafanya kosa sawasawa na alilolifanya yeye, sasa anaanzaje kumhukumu mwenzake?

Hapo naona mkewe kakosea sana jamaa ana haki ya kumpa talaka
 
Hapo naona mkewe kakosea sana jamaa ana haki ya kumpa talaka

kwa hiyo huyu bwana yeye kapatia kuchapa nje ya ndoa eeeeh.kunya anye kuku,akinya bata kaharisha,yeye na mkewe wote vicheche.wakae wasameheane maisha yaendelee
 
Back
Top Bottom