Mke wangu amelipiza kisasi,nifanye nini.

Mke wangu amelipiza kisasi,nifanye nini.

Bahimba

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
510
Reaction score
346
Habari wana jamvi, poleni na majukum ya mwisho wa wiki,
mimi ni baba wa familia ya watoto wawili, ni hivi majuzi tu nilidondosha uzi hapa jamvini kwa kutaka ushauri wenu
nashukuru kwa walionipa ushauri nanikaufanyia kazi japo haujasaidia kivile, uzi wenyewe nilikosea msg kuituma kwa girl friend wangu niliokua namtaka tukutane nae hotel flani, matokeo yake msg ile nikaituma kwa my wife, kilichotokea pamoja na kumuomba msamaha mke wangu, kaamua kulipa kisasi kwa kugegedwa na house boy wetu,
ilikua jana majira ya saa moja jioni nilikwenda kufuat maziwa kwani tuna mifugo nje kido ya mji tuna poishi ambako huyo house boy wetu anatake care hao mifugo, nikiwa njiani naelekea kufuata maziwa, nilimpigia sim my wife ili kujua yuko wapi, cha ajabu sim ilikua inaita bila kupopkelewa, niliamua kuachana nae. Nilipofika nikaanza kumuita yule kijana ili nijue kama kakamua maziwa au bado, hakuitika nikaamua kwenda moja kwa moja mpaka kwenye kibanda ambacho kijana yule hua analala, sikuamini macho yangu baada ya kumkuta my wife akitoa uroda kwa kijana yule bila woga, nilitaharuki nisijue chakufanya, nilikuja kushtuka mke wangu kaisha kimbia,
nilirudi nyumbani huku nisijue nini cha kufanya, nilipofika nyumbani sikumkuta mke wangu,
niliamua kulala kwa kujua atakua amekimbilia nyumbani kwao. Leo kanipigia sim kwa kuniomba msamaha kwa kitendo alichofanya na kilichomsukuma kufanya vile nikulipa kisasi cha kosa nililolifanya mim baada ya kugundua kua kumbe nina girl friend nje,
wana jamvi naombeni ushauri nifanye nini.
 
kama ni kweli basi mh hayo maisha yenu nashindwa pakuanzia.
hivi unajitoaje akili kufanya mapenzi na mtu ili umkomoe mwenzio? unless alikua anamtamani muda mrefu tu..

aah ngoja waje wakupe ushauri.
 
Mkuu pole sana kwa madhira hayo .
Alikusamehe mkeo kakini alichofanya
si kizuri kwa kulipa kisasi.

Kumbuka mna watoto sasa usiwe mtu
wa jazba zaidi unatakiwa KUSAMEHE
7 X 70 =
 
Mbona na wewe juzi ulitaka kunifanyia vivyo hivyo jamani??
kama ni kweli basi mh hayo maisha yenu nashindwa pakuanzia.
hivi unajitoaje akili kufanya mapenzi na mtu ili umkomoe mwenzio? unless alikua anamtamani muda mrefu tu..

aah ngoja waje wakupe ushauri.
 
Good for her and more power to her. Instead of getting mad, she got even. Now whatchu gon do about that? Suck it up and deal with it or head down splitsville?
 
Hapo hakuna ndoa, Kisasi ni kwa Mungu. Hapo mkeo kakosea.
 
Muasha huoshwa

Sasa unaelewa fika namna anavyojiskia ukimtenda
 
Achana naye, hiyo ndo tabia yake, ameshaanza kutafunwa na huyo house boy kitambo tu, sema ameamua tu kukuzuga!
 
Hakuna haja ya ushauri hapo na wewe msamehe maana hiyo kauli ya kisasi ameitoa tu ukute walianza siku nyingi
 
Hapo ni kumsamehe, ndoa ikishafika hapo itawachukuweni muda tena kuanza kuaminiana. Cha msingi ni kutafuta muda faragha muongee ikibidi msafiri muende zenu mbali hata week nzima mkayaongee. NB: Baada ya kuwekana sawa siyo saizi ndo ukurupuke.
 
Mkeo ni mpumbavu kwa kitendo alichofanya,hakupaswa kulipiza kisasi cha kijinga kama hicho,amejivulisha heshima tena kwa house boy. Na wewe pia jaribu kutulia kama unampenda mkeo,huna right ya kupiga kazi za nje wakati wife wako yupo.Kwa upande mwingine nadhani huna haja ya kufanay kitu chochote zaidi kwa vile wote mmebalance na kama ni equation iko balanced now,kila mmoja atulie vinginevyo mtakufa na ngoma mapema wakati taifa bado linawahitaji!!!
 
Dah moto hauzimwi kwa moto chukua hatua mapema.
 
Huyo Mama alishaanza na house boy muda mrefu tu. Kwanza jiulize imechukua muda gani tangu ulipokosea sms na ulipomkuta na HB, halafu linganisha na kitendo cha kuanza kumtongoza HB mpaka waanze mambo, maana hb akiambiwa hivi ghafla tu anashtuka kwanza. Lakini inabidi umsamehe ili maisha yaendelee kama wewe ulivyokuwa unamwomba msamaha.
 
Back
Top Bottom