Somoe
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 754
- 282
Kumsamehe tu na muendele na maisha,
Nazani hatorudia tena na wewe ushakoma kutoka nje ya ndoa.
Mkeo ni mtu mbaya sana, yaani hakuwaona wanaume wote hadi akalale na kijana wa kazi?
unaweza kufumnguliwa mashtaka ya rushwa ya ngono. Kamuaribu kijana wa watu kwa vile anaitaji kazi, masikini we