Mke wangu amekutwa HIV+

Mke wangu amekutwa HIV+

Pole sana ndugu kikubwa ni wewe umesalimikia na Mungu asaidie mtoto awe hajaambukizwa, hayo mengine utajiongeza mwenyewe kaka Baba wa Familia..

Ila tu huyo wife wako sio mwaminifu kwako mana kama angekuwa na wasi wasi na wew ndo uliyemwambukiza basi siku anaenda kupima na kupewa majibu lazima angetaka na ww Upime..

Ila kwa yeye kukaa kimya ni dhahiri kabisa ata alikouchota Ugonjwa huo anapafaham vizuri..

Mungu akupe hekima zaidi ya kutatua na kufanya maamuzi ambayo hayatamuumiza mtoto
 
Nilichogundua huyo demu anakupenda sana ndio maana akawa hataki mfanye ngono, asije akakuambukiza.

Pole sana mkuu hizo ndio changamoto za maisha. Shukuru Mungu uko salama.

Wataalamu nauliza, mtu mwenye HIV anakuwa na mapaja ya njano?
Alikuw hataki aone huo unjano mkuu;Angekuwa anampenda angemwqmbia tu baada ya kupima na kupata majibu hayo
 
Kaka pole sana... Hii ni Changamoto hasa,unahitaji kifua na msaada wa Mwenyezi Mungu kupata mwongozo kwenye kulitatua hili. Watu wanalichukulia simple lakini huu mtihani, nakuomba chukua ushauri wenye manufaa humu ambao ni positive. Maana unaweza kuua hivi hivi mkagawana majengo bure
 
Back
Top Bottom