Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,123
mpe talaka na mripoti polisi, yaani dushelele tu ndo akutoe loho?
Platinum Post!!SnowBall mi sijakataa kama jamaa hana kosa ila ninachosema ni kwamba kwanini achukue maamuzi ya kuua na si mengineyo? Hata kama jamaa kakosea kuuawa sio njia pekee kuna watu wanakamatwa na makosa makubwa ila hawauawi hivyo hiyo adhabu si sahihi kwa jamaa.
Na kwanini huyo mwanamke aende na silaha hadi kule kama hajaenda kwa shari?
Ila kwa hapa naona ni bora tu waachane hadi watakapoona hasira zao zimeisha na wana amani!
Nawashauri wamwombw Mungu awajaze Roho Mtakatifu coz dunia tunapita tu kaka!
Platinum Post!!
Hapo bold, kwenye hayo Maombi ahakikishe anamhusisha TB Joshua, Mwakasege, Kakobe, Pengo, Shaban Simba na Yohane Mbatizaji. Vinginevyo hilo pepo la mauaji la huyo mama halitokaa litoke.
Kwa tunaongalia Emmanuel TV kesi kama hii mara nyingi unakuta ni mapepo yamemuingia mtu na anaanza kuwa na behaviour za ajabu. Mpeleke kwenye maombi.
Naona mmeshindwa kuipata point yangu. Simtetei huyo mwanamke na ninasita kuhukumu kwa kusikiliza upande mmoja wa story!
Kukujibu swali lako, SIJUI kama naweza muua au la. Why, coz sijui kama anaweza ni-trigger to reach that extent. Mfano; kuna mama alimchoma kisu mumewe baada ya kumfumania akimnyonyesha mboo yake mtoto wao wa miezi 5.
I wish tungepata story ya upande wa pili. Au hata mwanaume angefunguka zaidi; maana haiingii akilini kwa mtu mwenye akili timamu kumshikia mtu kisu from nowhere au kwa ugomvi Mdogo tu! Na ndio maana nimemshauri aievaluate ndoa yake na au kuamua kubadilika (kama ana mchango kwa hayo) au watengane!
Asprin na Erickb52 siuoni UUAJI wa huyu mwanamke bila kuhusisha na TABIA za Mumewe. Angeweza kumuua tu bila kumwambia kama alishapanga Kumuua?..Mwanamke kama amepanga kukuua anakuua vizuri tu bila hata kukuambia na hii inamtoa kwenye makosa..kuliko hii ya kutangaza NIA mapema..Bado nakubali kuwa 'haikuwa njia sahihi ya kusuluhisha matatizo yao' but nakataa kumuita huyu mwanamke ni muuaji in the first place...Jamaa yetu anajua alichomfanya huyu mwanamke!!..Every human being is insane given some times and provokes!
Kesi kama hizo mara nyingi mwanaume anakuwa hajakosa. Sasa huyu hajasema kama hamkosei mkewe! Nakubaliana kuwa ndoa imeingiliwa lkn huenda sio mwanamke pekee ndio kavamiwa.
Hakuna kosa lolote lile alifanyalo binadamu ambalo adhabu yake ni kuuwawa.Asprin na Erickb52 siuoni UUAJI wa huyu mwanamke bila kuhusisha na TABIA za Mumewe. Angeweza kumuua tu bila kumwambia kama alishapanga Kumuua?..Mwanamke kama amepanga kukuua anakuua vizuri tu bila hata kukuambia na hii inamtoa kwenye makosa..kuliko hii ya kutangaza NIA mapema..Bado nakubali kuwa 'haikuwa njia sahihi ya kusuluhisha matatizo yao' but nakataa kumuita huyu mwanamke ni muuaji in the first place...Jamaa yetu anajua alichomfanya huyu mwanamke!!..Every human being is insane given some times and provokes!
SnowBall, mtoa mada anajua ali/nachofanya na ndio maana yuko kimya. Tungeweza kuchagua ushauri mwepesi na kumcondem huyo dada lkn anajua haisaidiii kwani kuna tatizo.
I dare him to leave his wife, maana najua hawezi coz mkewe si mbaya/mkorofi kama anavyompotray humu.
Hakuna kosa lolote lile alifanyalo binadamu ambalo adhabu yake ni kuuwawa.
Mkuu hebu angalia hii makitu:Unazijua HASIRA babu? ...Usipimie 'reaction' ya mtu anayehisi unamfanya kama mtoto mdogo.....anything can happen bro!
Pole sana. Kuna vitu ambavyo wewe ulishashindwa kuvitamua kwa mkeo.wadau naomba mawazo yenu kwa hili jambo nifanyeje mimi na mke wangu kwenye ndoa yetu tuna miaka sita na tumejaaliwa kupata mtoto mmoja wa kiume,kama ujuavyo mambo ya ndoa hamuwezi kuishi kama malaika ugomvi hutokea.ila kwa bahati mbaya siku moja kama miaka miwili tumewahi kugombana kidogo ila mke wangu alinitamkia kwamba siku moja ataniua kwa kisu au kwa sumu,wiki mbili zilizopita nilikuwa nimekuja mkoa mwingine kikazi ila alikuja ghafla usiku saa tano akakuta nimelala tukalala mpaka asubuhi,asubuhi akanambia kwamba anataalifa kwamba nina mahusiano na mwanamke mmoja na nimemfungulia duka,nikamkatalia kwamba jambo hili halina ukweli kabisa tulibishana kwa mda wa masaa sita tukiwa chumbani lodge wakati huo alikuwa kafunga mlango wa chumba na funguo kaficha,baada ya mimi kuendelea kukataa ghafla alichomoa kisu alichomeka kwenye suluali na kutaka kunichoma ikabidi tuendelee kupokonyana kile kisu bahati mbaya kikanikata mkononi naomba ushauri madau nifanyeje?
Sasa hapo ndo tujiulize, ilikuwaje 'kiama' kikatangazwa na mhusika asichukulie serious...alijua makosa yakeMkuu hebu angalia hii makitu:
1. Alishawahi mwambia kuwa atamuua kwa kisu au sumu
Baada ya kuona mtuhumiwa haelewi somo, ilibidi bimkubwa aje amuonyeshe kuwa alikuwa serious..nadhani mume hakuzingatia terms za kwenye namba moja2. Akatoka huko atokako na kisu chake kibindoni kwenda kuua
Nadhani mtuhumiwa hakujua namna ya kupooza hali ya hewa, na ukute ndio alizidi kuichafua3. Pamoja na kuhakikishiwa kuwa anachotuhumu si sahihi, bado mlango ukafungwa na akataka kumshindilia mijisu.
Bado nakataa kama ni mpango mahsusi, kwa sababu hata thread inavyojieleza inaonekana ni hasira za bibie tuNajua kuna hasira, lakini huu ni mpango mahususi wa mauaji, bila kujali kisingizio wala hasira.
Platinum Post!!
Hapo bold, kwenye hayo Maombi ahakikishe anamhusisha TB Joshua, Mwakasege, Kakobe, Pengo, Shaban Simba na Yohane Mbatizaji. Vinginevyo hilo pepo la mauaji la huyo mama halitokaa litoke.
Dah SnowBall km jamaa asingekomaa unadhani angepona? Siangeshauawa? Unawezake kisema huyo mwamamke sio muuaji?Asprin na Erickb52 siuoni UUAJI wa huyu mwanamke bila kuhusisha na TABIA za Mumewe. Angeweza kumuua tu bila kumwambia kama alishapanga Kumuua?..Mwanamke kama amepanga kukuua anakuua vizuri tu bila hata kukuambia na hii inamtoa kwenye makosa..kuliko hii ya kutangaza NIA mapema..Bado nakubali kuwa 'haikuwa njia sahihi ya kusuluhisha matatizo yao' but nakataa kumuita huyu mwanamke ni muuaji in the first place...Jamaa yetu anajua alichomfanya huyu mwanamke!!..Every human being is insane given some times and provokes!