Zinduna
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 2,377
- 3,394
Hii STORI inataka ufikiri zaidi ili uwe 'fair' kwenye maamuzi..Ukimsoma mleta uzi utaona anakiri kuwa wamekuwa na Maugomvi yasioisha kwenye ndoa yao kwa muda sasa... Hii inapelekea kujiuliza kuwa pengine kuna MATATIZO tayari ndani ya ndoa yao yanayohitaji 'comprehensive resolution ....na mpaka MKE aseme kuna siku 'ntakuua' on my side i guess inaonekana mume ndiye msababishi mkubwa wa haya mambo..
I second Kaunga kwamba ukiichukulia 'ntakuua' literary utaona mama ni muuaji..lakini ukisoma between lines utaona pia kwamba inawezekana huyu bwana kuna makosa anayoyafanya ambayo kwa mkewe ni 'irrevocable'..pengine ndiyo yanayopelekea huyu mama kujihami hivi..
Rafiki zangu Erickb52 Zinduna Asprin hebu jiulizeni hivi 'in the first place' mkeo/mumeo anaweza kuja kukutembelea guest akiwa na silaha tayari?...ili iweje??..Nadhani huyu jamaa pengine ndiyo amemsababishia huyu dada kuwa hivi alivo..na hiki anachofanya huyu mama, i bet ni kama 'counteractive measures' za kujidefend..It once happened to me..lakini nilijua i was the one who drove my pal to that extent..
Ntabaki kuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa huyu mama amepanga tu kumuua huyu jamaa from nowhere..otherwise, the guy needs to explain a little bit..
Wakati nyie mnajadili sababu, mie nazungumzia kitendo alichofanya huyo mwanamke.
Hapa tunatofautiana mahala padogo sana. Kumbukeni uhai ni kitu muhimu sana na kama ndoa inatishia uhai, basi hiyo ndoa haifai. nasisitiza haifai, iwe ni mume ndio mwenye makosa au mke, bado hai justify watu kutishiana visu. hawa wakiachwa watakuja uana siku moja hawa.
Hili shauri likifikishwa mahakamani, hii ndoa itavunjwa iwavyo vyovyote.