neggirl
JF-Expert Member
- Jul 30, 2009
- 4,860
- 2,149
mahango... Nafikiri ili upate ushauri mzuri, ingekuwa poa ukawa muwazi with what is
happening with ya marriage.
Nafikiri kuna tatizo kubwa sio hyo mikwaruzano midogo midogo unayosema. Inaweza kuwa ni usaliti au tatizo lingine linaloumiza sana nafsi kiasi cha kufanya mtu awe na hasira na asiwaze nini kitatokea out ya hasira zake.
Sidhani kama huyo mke wako ni mjinga kiasi hicho akutishie kisu without reason, akufate tu ulikosafiri kikazi tena aje na silaha mkononi without reason????
Whatch your ways gentleman.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Last edited by a moderator: