kaunga huyo mke ni mtu wa hasira,inaonyesha hata jambo liwe dogo vipi,atalikuza na ni kweli anaweza akaua kwa hasira zake tu.wapo watu wa aina hiyo.ni sawa na waume wanaopenda kupiga wake zao,kidogo hasira zake anapiga na kukuachia majeraha mwilini.muhimu ajaribu kumuelewesha ajaribu kuji control hasira zake otherwise hiyo ndoa itakuwa ya ugomvi kila siku.imagine mabishano lodge masaa 6.au pengine na huyo bwana na yeye hakubali kushindwa