Kusini pride
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,762
- 4,073
Nipe namba zake nami nipate ulaji mkuu.Good morning!
Huyu mwanamke nampenda sana na wala mpaka sasa sijaamini kwanini yupo na mimi aisee, jinsi mimi nikijiangalia wala hata siamini kabisa japo mimi naishi Marekani na ako pesa za kubadilishia mboga lakini siamini kabisa.
Mke wangu Adelina Kimambo kwanza ametokea familia ya kitajiri na yenye pesa sana kuizidi familia ya x wangu. Yenye alikuwa Mkerewe ila ni mnafiki, 'low standard', danga na ana uchawa fulani wa kijinga sana.
Mke wangu Adelina Kimambo ni msomi na ana PhD ya mambo ya moyo, kwa maana ni Cardiologist Bachelor Degree, amesomea University of Oxford, Masters amesomea University of Calfonia na PhD amechukulia Cambridge University huko Uingereza na anafanya kazi hospital ya Laurie's Children Hospital huko Chicago.
Mke wangu anamiliki gari tatu na appartment za kutosha sana huko huku Missouri na Minnesota.
Wakuu leo ninaondoka Qatar narejea Marekani kuna dharura imetokea ofisini kwangu Marekani, so nikasha solve nitaenda kwenye fungate sehemu nyingine, kwa maana nitaelekea Barbados [emoji1043] kwenye fungate nikamalizie mwezi huku.
Nawasilisha wakuu.
Do not compare KIDUKULILO with nonsense stuffsKiduku Lilo a.k.a Bill Lugano humfikii hata robo. We hata kuweka viungo na kuchanganganya sawasawa kwenye hizi chai zako unashindwa. Hovyo tu!
[emoji23][emoji23][emoji23]Au nimekosea, siyo wewe ulikuwa unazimia kwa warembo wa world cup Jana ?
Isije ikawa unamuonea wivu Adelina...Ujinga tuu
Hahahhah hahah eti eee inawezekana
The return of kidukulilo😂😂😂Good morning!
Huyu mwanamke nampenda sana na wala mpaka sasa sijaamini kwanini yupo na mimi aisee, jinsi mimi nikijiangalia wala hata siamini kabisa japo mimi naishi Marekani na ako pesa za kubadilishia mboga lakini siamini kabisa.
Mke wangu Adelina Kimambo kwanza ametokea familia ya kitajiri na yenye pesa sana kuizidi familia ya x wangu. Yenye alikuwa Mkerewe ila ni mnafiki, 'low standard', danga na ana uchawa fulani wa kijinga sana.
Mke wangu Adelina Kimambo ni msomi na ana PhD ya mambo ya moyo, kwa maana ni Cardiologist Bachelor Degree, amesomea University of Oxford, Masters amesomea University of Calfonia na PhD amechukulia Cambridge University huko Uingereza na anafanya kazi hospital ya Laurie's Children Hospital huko Chicago.
Mke wangu anamiliki gari tatu na appartment za kutosha sana huko huku Missouri na Minnesota.
Wakuu leo ninaondoka Qatar narejea Marekani kuna dharura imetokea ofisini kwangu Marekani, so nikasha solve nitaenda kwenye fungate sehemu nyingine, kwa maana nitaelekea Barbados 🇧🇧 kwenye fungate nikamalizie mwezi huku.
Nawasilisha wakuu.