Mke wako ana bosi wake?

Mke wako ana bosi wake?

Hoja anayo. Wewe ndie huna hoja maana umetaja fiction characters tupu. Ambao hakuna evidence kuthibitisha kama kweli wamewai kuwepo duniani.. nje ya kuandikwa kwenye vitabu vya dini.

Ila kuna newton kuna evidence nyingi zinazothibitisha kwamba ni kweli wamewai kuwepo duniani. Na hata makaburi yao yapo. Records zao za kazi walizozifanya duniani zipo zimenyooka
Watu wafia dini hawataki kushughulisha akili zao
 
Kuajiriwa ni sawa na kuolewa, inakuwa ni kutii maelekezo, kama huwezi unapigwa chini. Kwa mtu anayejielewa ataajiriwa kwa kipindi fulani, baada ya kipindi hicho kupita atafanya yake.
Kwa hiyo, kama unataka hii changamoto isikutese, jitahidi ujiajiri wewe na mwenzako.​
 
Umeandika jambo la maana sana.
 
Back
Top Bottom